Watani wa Jadi: Wanaume wa Dar vs wa Mikoani

Watani wa Jadi: Wanaume wa Dar vs wa Mikoani

.
525571e0df1b6f9cff4567ce7926af9a.jpg
 
Dah!!hii imebidi niijibu...We kuna sehem mikoani hata Dispensary hakuna ndugu afu eti ukikaa dar unaweza survive popote...

Watu maji ya kunywa tu masafi labda wasubiri ya mvua.

Unalala usiku unasikia sauti ya mnyama na choo ni cha nje...

Anyway kila sehem na chamgamoto zake...uwe town au mkoani..
Kuna watu mnachangia lkn mnatia mashaka uwezo wenu wa kuelewa au mpo Dar lakin hamkwenda shule kabisa yani Hamna elimu kichwani. Ni lazima mjue kutofautisha dhana ya Mikoani na Kijijini pia swala la Maisha bora na maisha ya kimaskini. Si kweli kwamba kuwa mkoani tafsiri yake ni kuwa masikini au kuwa mkoani basi ni kuwa kijijini.
 
Wanaume wa mikoani wana magaga miguuni mpaka ukiweka mia mbili inaingia kwenye kisigino...
 
Wanaume wa mikoani wana magaga miguuni mpaka ukiweka mia mbili inaingia kwenye kisigino...
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji3][emoji3][emoji30][emoji30][emoji30][emoji24][emoji23][emoji23][emoji23]

Jr[emoji769]
 
Back
Top Bottom