Kahama ni sehemu yenye muingiliano mkubwa wa watu sababu ya biashara. Wageni ni wengi sana!Hivi hao wasukuma unaowaongelea wanaishi mikoa gani huku kahama wenye huo ukarimu sijawaona. Niliowaona wanapenda Kupokea sio kutoa
Me nadhani ni kabila pekee lenye watu wakarimu nchini Tanzania
Hivi hao wasukuma unaowaongelea wanaishi mikoa gani huku kahama wenye huo ukarimu sijawaona. Niliowaona wanapenda Kupokea sio kutoa
Kahama wahaya ni wengi na waganda , roho mbaya na ujanja ndio vimetawala.Hivi hao wasukuma unaowaongelea wanaishi mikoa gani huku kahama wenye huo ukarimu sijawaona. Niliowaona wanapenda Kupokea sio kutoa
Inaelekea ubweche ndio dessert (kimalizia mlo) kwa wenzetu!Hatuamini kama ‘ubweche’ ni chakula cha kushiba bali ni ladha tu, so huwa ni muhimu kuanza na ugali kama stata kisha ubweche hasa siku za ugeni au tukio..... halafu usiseme ni uharibifu kwa maana hakuna namna yoyote ile kuwa ubweche unatupwa.
Ni pwani ndio ,we ulijua ni kanda ya kati ?Morogoro ni pwani ?
nimecheka sana hizo nundu za ubweche.Mnajifanya wajuaji kumbe mnaharibu
Wakuu habari zenu leo nitaongelea hawa watani zangu wasukuma japo mimi ni mkazi wa morogoro, juzi juzi tulikua kijijini kwao na rafikiangu kwakweli tulipokelewa vizuri familia nzima ilikua na furaha ni familia yenye watu wengi tulionekana kua wageni kweli kweli niliona jogoo wawili wakubwa wamefungwa kamba
Badae rafikiangu alinitembeza kwenye mashamba yao hadi kwenye mbuga za mipunga jioni saa1 tulirudi nyumbani nikiwa nauchovu nikapewa maji ya kuoga saa2:30 msosi ulikua tayari na nilikua na njaa kinoma tulikua tumekaa pembeni kidogo na mwenzangu tukiwa tunachezea simu kupoteza mda alikuja dada mmoja akatukaribisha tukale,
Wasukuma wanadestuli ya kula kwa pamoja wanaume peke yao na wanawake nawao pia upande wao, upande wetu wanaume zilikuja sahani mbili za ugali kubwa na bakuli zilizo jaa nyama na maziwa mgando kwa pembeni, tukala navile mimi navoyapenda maziwa mgando nilikula sana, sasa mimi hapo mawazo yangu yalinituma nimalizie nyama niliokua nmeshikilia mkononi nitoshe
chakushangaza walikuja wadada watatu kutoka kule kwenye upande wa wanawake wakachukua vyombo vyote[emoji38][emoji38][emoji38] badae walikuja kiupya na sinia zilizo jaa nundu za ubwabwa(ubweche) na mabakuli makubwa yaliyojaa nyama za kutosha na soda moja moja kila mtu dah nilibaki naangalia tu maana mwanzo nlikua nmefukia vyakutosha rafikiangu akaniambia mbona umepoa tuendelee[emoji38][emoji38] niliutamani ubweche niligusagusa rakini sikua na namna, noma sana
Wasukuma nawapongeza mnamapokezi mazuri kwa wageni ila kwenye chakula hua mnaharibu maana najua chakula kilichobaki ni kingi mno isitoshe na asubuhi tulipikiwa chakula kingine nundu za ubweche.
=Exalioth
Morogoro ni pwani ?
Chakula usukumani ni kitu cha kawaida mno,tunalima sana usitufananishe na wazaramo wa dar wakiona mgeni wanazima jikoMnajifanya wajuaji kumbe mnaharibu
Wakuu habari zenu leo nitaongelea hawa watani zangu wasukuma japo mimi ni mkazi wa morogoro, juzi juzi tulikua kijijini kwao na rafikiangu kwakweli tulipokelewa vizuri familia nzima ilikua na furaha ni familia yenye watu wengi tulionekana kua wageni kweli kweli niliona jogoo wawili wakubwa wamefungwa kamba
Badae rafikiangu alinitembeza kwenye mashamba yao hadi kwenye mbuga za mipunga jioni saa1 tulirudi nyumbani nikiwa nauchovu nikapewa maji ya kuoga saa2:30 msosi ulikua tayari na nilikua na njaa kinoma tulikua tumekaa pembeni kidogo na mwenzangu tukiwa tunachezea simu kupoteza mda alikuja dada mmoja akatukaribisha tukale,
Wasukuma wanadestuli ya kula kwa pamoja wanaume peke yao na wanawake nawao pia upande wao, upande wetu wanaume zilikuja sahani mbili za ugali kubwa na bakuli zilizo jaa nyama na maziwa mgando kwa pembeni, tukala navile mimi navoyapenda maziwa mgando nilikula sana, sasa mimi hapo mawazo yangu yalinituma nimalizie nyama niliokua nmeshikilia mkononi nitoshe
chakushangaza walikuja wadada watatu kutoka kule kwenye upande wa wanawake wakachukua vyombo vyote[emoji38][emoji38][emoji38] badae walikuja kiupya na sinia zilizo jaa nundu za ubwabwa(ubweche) na mabakuli makubwa yaliyojaa nyama za kutosha na soda moja moja kila mtu dah nilibaki naangalia tu maana mwanzo nlikua nmefukia vyakutosha rafikiangu akaniambia mbona umepoa tuendelee[emoji38][emoji38] niliutamani ubweche niligusagusa rakini sikua na namna, noma sana
Wasukuma nawapongeza mnamapokezi mazuri kwa wageni ila kwenye chakula hua mnaharibu maana najua chakula kilichobaki ni kingi mno isitoshe na asubuhi tulipikiwa chakula kingine nundu za ubweche.
=Exalioth
Yaani natamani ningekua msukuma ukitengewa msosi kula kwa kudeshi[emoji3][emoji3] asubuhi tu ugali nyama ngombe iliyobanikwa saa4asubuhi hiyo, saa6mchana viazi karanga maziwa Mgando, saa2usku ugali nyama mbuzi nyama kuku nundu bweche aka cheka na watoto kwa maharageKaribu mkuu... Ndo maana sisi hatuoei mwanamke asopenda kulaa..tunaamini atakua ni mchoyo wa chakula.
Kuna jamaa, Na familia yake. Tuliwapelekaga kwa Babu zetu, hawakuamin pale walipochinjiwa Ng'ombe..mbuzi na kuku kuku, maziwa kama yote.
Ile asubuh tu mida ya saa nne..wameshiba mpaka wamechapa mboji[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
UshetuChief upo Kahama sehemu gani?