The Businessman
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 7,397
- 9,255
Umezitoa wapi izo takwimu mkuu??Niliona kwenye Atlas muda kidogo kuhusu takwimu za nchi hii,Waislamu 48%,Wakristo48%,dini za jadi 1% na nyinginezo 1% kwa maana ya dini zingine duniani.
Hata kati ya waislam na wakistu wengi wao ni majina tu ilahawaamini chochote zaidi ya pesa
Walmushirkina finari jehanam....
Hii ni sensa iliyofanyika kwa mara ya mwisho mwaka 1967 baada ya ile ya mwaka 1957 kipindi cha ukoloni ikionyesha waislamu walikuwa asilimia 57% kama sijasahau. Miaka kumi mbele Nyerere akaja na takwimu hizo hapo juu zinazoonyesha watanzania zaidi ya millioni 36 wameacha uislamu wakaenda ukristoni na kwenye dini za jadi. Ambapo millioni kama nne wamehamia kwenye ukristo na waliobakia walienda kwenye upangani Ajabu kubwa ya mwl Nyerere. Duh!? Miaka iliyofuatia akufuta kipengele cha dini ili sasa kupitisha agenda zake za kuwadhulumu waislamu vizuri bila watu wengine kugundua. MUNGU AKULIPE UNACHOSTAHILI.
Kaazi kweli kweliAtlas toleo la mwaka gani? hakuna takwimu sahihi kuwa
wakristo wako wangapi?
waislamu wako wangapi?
wapagani wako wangapi?
na dini zingine
CHA MSINGI HAPA NI KUHESABIANA.
Mkuu,bora kuwa mchawi kuliko kuabudi hizi dini za kuletewa na wazungu na warabu,wametuetea dini halafu wanatudharau
Absolutely true, hizi dini mbona Ibilisi haziogopi!
Yesu Kristo mwenyewe aliuwawa na Maaskofu, Mashehewa na wafuasi wa dini wakati ule.
Hata leo watu wanauana na kuuwa wenzao kwa kigezo cha dini hizihizi.
uchaguzi umekaribia ona jinsi vitoto vinavyochinjwa na unavyozidi kukaribia ndio maafa yatakavyozidi kutisha! be aware! watu wanatafuta madaraka ktk kwa kupitia nguvu za hells
Mkuu Sama Ndugu?
Bravooooooooooo Mtumishi. In fact, Satan do worship Allah.Shetani haogopi dini hata siku moja ndo maana ht kwenye nyumba za ibada yumo.....yeye anaogopa Blood of Jesus
Mkuu Sama Ndugu?
Absolutely true, hizi dini mbona Ibilisi haziogopi!
Yesu Kristo mwenyewe aliuwawa na Maaskofu, Mashehewa na wafuasi wa dini wakati ule.
Hata leo watu wanauana na kuuwa wenzao kwa kigezo cha dini hizihizi.