Vyamavingi
JF-Expert Member
- Oct 3, 2014
- 5,818
- 5,555
Kama KUUA MTU kwa KUMPIGILIA MSALABANI SIO KOSA.
basi hata ubakaji wa watoto makanisani SIO KOSA.
Kwa mtazamao km huu Ndio maana hata hawa wahalifu hawafikishwi kwenye vyombo vya Sheria.
Dini za jadi (34.3%), Ukristo (33.5%), Uislamu (31.4%), wengineo (0.8%)
Takwimu hizi zinaweza kuwa hazina maana lakini zinatoa taswira ya imani za Watanzania.
Mkuu,bora kuwa mchawi kuliko kuabudi hizi dini za kuletewa na wazungu na warabu,wametuetea dini halafu wanatudharau
Km Uchawi ni family business we endelea tu lkn usitake ku justify huu uchafu unaosababisha mtu na mwane kulala kitanda kimoja wakiwa UCHI!
AU mama na Mwanae kwenda kutembea km makomandoo wanavizia adui. Ukicheki huku chini wote wawili wizauti!
Nyie watu wa Sumbawanga nuksi sana.
Ngoja turudushe majeshi ya sungusungu ndio mtatiwa adabu kidogo.
Mkuu huo unaozungumza wewe sio uchawi hiyo inaitwa zinaa,,,,,
wafrika kabla ya kuja wageni kama vile warabu wazungu na dini zao tulikuwa na dini zetu na zilikuwa zinafanya kazi uzuri tu,Walipokuja hawa wageni katika bara la Afrika na dini zao walishangaa walivyokuta Afrika imepiga hatua kimaendelo kuanzia Zimbabwe,Timbuktu,Misri.....
Warabu walivamia Misri walibadilisha historia na kumfanya Firauni mweupe wakati Firauni alikuwa Mnubi,,,Tunaona watu wanaabudu Mungu wa macho ya bluu wakati Yesu alikuwa mweusi ......
Hawa wageni wamefanya hivyo ili tuwaone wao bora wamejua kuwa dini ndio silaha ya kuwatawala watu,,,,Bora nikamwombe kinyamkera kuliko kwenda kuomba sanamu la yesu......Tafakari
Taasi gani iliokupa ujinga huo?Nadhani unatangulia kula mboga kabla ya ugali, takwimu ni za Tanzania, sasa wewe unataka nilete takwimu toka wapi ndipo uelewe??
Kwa hili Yericho unapotosha mkuu.
Dini za jadi 34 hawa ndio wa kweli na ndiyo wanaelewa maana halisi ya mahusiano ya mungu na binadamu. Lakini wakristu na waislam wenye chale ni wengi sana.
Huyo Ferauni mweusi na Yesu Mweusi walizaliwa Dodoma?
Unasema Walitukuta tumeendelea!
Hivi maendeleo ni kitu gani hasa?
Au Kutembea Uchi na Kwenda Kuabudu MITI MIKUBWA na kuiomba Ile miti ituletee Faraja ktk maisha yetu na kututibu maradhi yetu ndio MAENDELEO HAYO?
We huna habari mpaka leo Afrika kuna makabila yanazaa na DADA ZAO wa Tumbo moja! Na familia nzima ZINATEMBEA makende wazi mbele ya mama zao!
Nenda South Africa ukaone mwenyewe.
Mkuu bangi bila kula mbaya sana.
Mkuu dhana ya maendeleo na watu kutembea kende nje kunahusiana vipi? kuendelea ni kusitiri kende? unataka kusema SA hawajaendelea kisa wanatembea glopu nje nje?
Ha ha ha ha!
Labda hili swali nilipindue kwako.
Atembea Glopu nje KAENDELEA?
Atembea glopu nje yupo huru sana, piga mahesabu upo hewa inavyopita vizuri eneo la tukio...hahaha
Hebu tuonyeshe mfano wa huo uhuru hapa Jf tupate na sisi kuiga!
Piga picha moja YA KWAKO inayoonyesha Huo UHURU WAKO halafu ibandike hapa tupate faida!
Huu uhuru wangu ni kinyume na dhana yenu ya maendeleo, kuwa anaeficha bulb zake ndio kaendelea....
Tah ha ha ha ha!
Kwani we unajali watu watasema nini?
We mwaga radhi tuone maendeleo yako! Mbona muoga km mtoto wa kike?
Umbea utakufikisha pabaya wewe. Wanaume wanaongea wewe unainglia kati, utasutwa mpaka ukome kuzaliwa. Shauri yako. Msalimie dada kahtaan mwabie ajifunze adabu na aache ushambenga.
Umezitoa wapi izo takwimu mkuu??