Watanzania 34.3% ni wachawi, hawaamini Mungu, Mtume wala Jah

Dini za jadi (34.3%), Ukristo (33.5%), Uislamu (31.4%), wengineo (0.8%)

Takwimu hizi zinaweza kuwa hazina maana lakini zinatoa taswira ya imani za Watanzania.

Ndio maana CDM haishindagi! Kumbe wakristo ni wachache hivyo?
 
Dini za jadi (34.3%), Ukristo (33.5%), Uislamu (31.4%), wengineo (0.8%)

Takwimu hizi zinaweza kuwa hazina maana lakini zinatoa taswira ya imani za Watanzania.

hapa mkuu umechemka na inaonesha uelewa wako ni finyu kwa hili. mchawi ni nani? je haujui mtu anaweza kuwa muislam, mkristo au dini nyingine na bado akawa mchawi? hao wasioamin mungu waache kwenye kundi lao, wao hawana imani yoyote ya kidini na hawana imaginary fathers!
 
Omba m/mungu(Allah) akuongoze kabla haujafa vinginevyo utaenda pabaya

mungu yupi? mungu kwa kuja kwa mashua?!!....yaani isingekuwa mwanadamu kugundua mashua basi huyo mungu hakuwa na mpango wa kuja afrika? yaani mungu aliamua kujionesha kwa wayahudi na waarabu tu kwa nini asishukie loliondo?....hivi unafahamu toka mamilioni ya miaka kumekuwa na maelfu ya jamii zikiamini maelfu ya miungu na kila moja kudai mungu wao ndiyo wa kwelli? nini kinamfanya mwafrika kusombwa na upepo wa mbumbumbu wa kiyahudi na kiarabu? ONDOA AKILI YAKO KWENYE KIFUNGO KWANZA KISHA WAZA UKIWA HURU.
 
umetisha mkuu,dini tumeletewa tu
 
Dini za jadi (34.3%), Ukristo (33.5%), Uislamu (31.4%), wengineo (0.8%)

Takwimu hizi zinaweza kuwa hazina maana lakini zinatoa taswira ya imani za Watanzania.

Hii ni sensa iliyofanyika kwa mara ya mwisho mwaka 1967 baada ya ile ya mwaka 1957 kipindi cha ukoloni ikionyesha waislamu walikuwa asilimia 57% kama sijasahau. Miaka kumi mbele Nyerere akaja na takwimu hizo hapo juu zinazoonyesha watanzania zaidi ya millioni 36 wameacha uislamu wakaenda ukristoni na kwenye dini za jadi. Ambapo millioni kama nne wamehamia kwenye ukristo na waliobakia walienda kwenye upangani Ajabu kubwa ya mwl Nyerere. Duh!? Miaka iliyofuatia akufuta kipengele cha dini ili sasa kupitisha agenda zake za kuwadhulumu waislamu vizuri bila watu wengine kugundua. MUNGU AKULIPE UNACHOSTAHILI.
 
Japo mgeni hapa lakini naunga mkono takwimu hizi huwezi ukawa hujui kusoma na picture
ukashindwa kuangalia wewe utakua haupo sawa. NAUNGA MKONO TAKWIMU
 
Hii ni sensa iliyofanyika kwa mara ya mwisho mwaka 1967 baada ya ile ya mwaka 1957 kipindi cha ukoloni ikionyesha waislamu walikuwa asilimia 57% kama sijasahau. Miaka kumi mbele Nyerere akaja na takwimu hizo hapo juu zinazoonyesha watanzania zaidi ya millioni 36 wameacha uislamu wakaenda ukristoni na kwenye dini za jadi. Ambapo millioni kama nne wamehamia kwenye ukristo na waliobakia walienda kwenye upangani Ajabu kubwa ya mwl Nyerere. Duh!? Miaka iliyofuatia akufuta kipengele cha dini ili sasa kupitisha agenda zake za kuwadhulumu waislamu vizuri bila watu wengine kugundua. MUNGU AKULIPE UNACHOSTAHILI.

Somalia 100% ni waislamu je na kule wanadhurumiwa na nani?

Anyway angalau umetambuwa kuna Mungu na Allah ni tofauti hawa.
 
Dini za jadi (34.3%), Ukristo (33.5%), Uislamu (31.4%), wengineo (0.8%)

Takwimu hizi zinaweza kuwa hazina maana lakini zinatoa taswira ya imani za Watanzania.

Hata kati ya waislam na wakistu wengi wao ni majina tu ilahawaamini chochote zaidi ya pesa
 
Yericko ndio bado haujatafuta matibabu ya hako kaugonjwa kako?
Mental disorder inakusumbua wewe mzee! Na hako kaugonjwa kanaitwa TD or FTD!
Embu soma hapa chini:

"In psychiatry, thought disorder (TD) or formal thought disorder (FTD) refers to disorganized
thinking as evidenced by disorganized speech."
 
Yericko Nyerere Ukishavuta Bangi zako usijione kuwa wewe ni bonge la mtafiti. Huu ulioandika hapa ni utumbo mtupu. Hakuna ushahidi wa kusapoti ujinga wako!

Bangi mbaya sana na sidhani kama huyu mzee humtoka stimu za bange!
Ningemshauri siku moja stimu zikimtoka apitie alichokiandika huku!
 
Last edited by a moderator:
Don't you know that not believing in God is witchcraft
 
Umezitoa wapi izo takwimu mkuu??Niliona kwenye Atlas muda kidogo kuhusu takwimu za nchi hii,Waislamu 48%,Wakristo48%,dini za jadi 1% na nyinginezo 1% kwa maana ya dini zingine duniani.
 
Back
Top Bottom