Watanzania 38 waukana uraia wa Tanzania

Uingereza washkaji kibao wana british passport na na passport ya Tanzania na wanazitumia zote.

Wahapahapa hawawezi kulijuwa hili, hizi ni siri za jandoni.
 
Mi naomba na takwimu za wanaoomba uraia WA Tanzania. Bila hivyo hii habari (na ujumbe wake uliolengwa) itakuwa imekosa kitu kimoja muhimu Sana!!
 
Hao ni “watu wetu” wako kwenye kazi maalum.
Hakuna chochote kaZi maalum haina mipaka silazima uukane uraia bwana serikali inatuchelewesha kisa inaiogopa Kenya wakenya watakuja kununua ardhi yetu
 
Habari zaidi angalia kiambatanisho

View attachment 2215523
Kupata uraia wa Marekani hushurutishwi kuukana uraia wako mwingine.

Marekani inaruhusu dual citizenship.
Tena inapenda kuwa na watu tofauti wenye historia na uraia tofauti kujenga diversity.

Labda Watanzania ndio mnalazimisha watu wanaochukua uraia wa Marekani wawe wameukana uraia wa Tanzania bila kuukana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…