Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 11,640
- 24,066
Ndio maana nimeweka hapa jamvini Kama Kuna wenye access na ubalozi wetu huko ama ndugu pia kama huna taarifa zozote ni kheli kukaa kimya.............Lete habari kamilifu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio maana nimeweka hapa jamvini Kama Kuna wenye access na ubalozi wetu huko ama ndugu pia kama huna taarifa zozote ni kheli kukaa kimya.............Lete habari kamilifu
Tayari FaizaFoxy keshatujuza😂😂Ndio maana nimeweka hapa jamvini Kama Kuna wenye access na ubalozi wetu huko ama ndugu pia kama huna taarifa zozote ni kheli kukaa kimya.............
Kuna jamaa wawili mtu na mdogo ake tumetaaarifiwa Jana kua walikua wanakaa hapo wameteketeaSawa, walienda kutafuta, wamekufa wakitafuta, inasikitisha sana ajali hiyo
Si huwa mnasema maisha ni "do or die", sasa unalalamika nini? Huo ndiyo ujinga. Nani alikwambia kwenye maisha kuna "mapigano"?Acha upumbavu huu, kwako maisha yamekua bora kwa kudhulumu poor of the poorest, kesho unajifanya ni muumini mkubwa mwenye imani wakati umejaa roho ya kikatili, sijui hizi nyumba za ibada mnafanya nini mle,mchawi mkubwa, wewe unajua Mapigano na mahangaiko ya maisha? Endelea kuishi kwenye hiyo AC,but one day upepo utageuka tu, rambi rambi kwa waliofiwa na ndugu zao waliokwenda ku fight for better life, salute kwao wamekufa in the battleground, Amina
Upumbavu wake nini ndugu yangu, hoja hupingwa kwa hoja, wala siyo kwa kumshambulia mtoa hoja, mimi nimesikia toka BBC asbuhi, wengi wanaishi humo ni wahuni wasio kuwa na makazi, serikali imeenda mahamani mara kadhaa kwa ajili ya kuwaondoa ila ikawa inashindwa kesi.
Baada ya kuiona habari hii nimeongea na Mtanzania kwa njia ya simu, yupo Johannesburg. Anasema hao wengi wao ni majambazi, vibaka na wanajihusisha na uhalifu ikiwemo madawa ya kulevya.
Wa Afrika kusini wamewachoma makusudi, walishapewa "warning" mara nyingi wao wakawa wanachukulia powa tu.
View attachment 2735421
Watu wasiopungua 70 wamepoteza maisha na wengine 52 wamejeruhiwa kufuatia moto uliozuka katika jengo la ghorofa tano katikati ya mji wa Johannesberg nchini Afrika Kusini.
Moto huo umetokea katika jengo lililopo katika eneo lenye shughuli nyingi za kibiashara la jiji hilo kubwa la Johannesburg.
Kwa mujibu wa taarifa ya msemaji wa Kitengo cha Huduma za Dharura cha jiji la Johannesburg, Robert Mulaudzi, moto huo umesababishapia watu wengine takriban 52 kujeruhiwa.
Hata hivyo Mulaudzi amesema idadi ya vifo inaweza kuongezeka zaidi kwa kuwa jitihada ya kutafuta miili ya watu kutoka ghorofa moja kwenda nyingine inaendelea.
Katika taarifa yake ya ziada aliyoitoa kupitia ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa X, kampuni ya awali iliyokuwa ikijulikana kama Twitter, msemaji huyo amesema watu kadhaa wameokolewa.
Jengo lililozuka moto ni makazi holela ya watu.
Pamoja na hiyo, akinukuliwa na vyombo tofauti vya habari nchini Afrika Kusini msemaji huyo amesikika akisema jengo hilo lililowaka moto lilikuwa linafanywa makazi kwa wasio na majumba.
Lakini pia mbali ya vifo vilivyotokana na moto, vipo vya baadhi ya watu ambao wanatajwa kufanya jaribio la kuruka kutoka katika jengo hilo refu,katika nyakati za usiku, kipindi ambacho moto huo unaendelea kwa lengo la kutaka kunusuru uhai wao.
View attachment 2735426
Umefuatilia majina Yao maana, wengi wanaozamia kwenda kwa madiba Wana majina ya kiarabuBaada ya kuiona habari hii nimeongea na Mtanzania kwa njia ya simu, yupo Johannesburg. Anasema hao wengi wao ni majambazi, vibaka na wanajihusisha na uhalifu ikiwemo madawa ya kulevya.
Wa Afrika kusini wamewachoma makusudi, walishapewa "warning" mara nyingi wao wakawa wanachukulia powa tu.
Usiingize vitabu vitakatifu hapa wakati wewe ni jitu katili ambazo kufa kwa watu unaona it's okay, mtoto kama wewe ulieyezaliwa na kulelewa na mbereko hujui ugumu wa maisha nje kule,watanzania wengi wamekufa kule kwa Garang, Mozambique wakisafiri pori pori na hii imesababishwa na systems ya nchi isiyotoa haki sawa, waulize wenzako wakijutusu tu kuingia kule na kupotea nje huwa tunawaelekeza beach, wakirudi wamebakiwa na chupi tu,usifikirie watu wanaingia kiwanja kwa utashi wao,tough life ndio inasababisha,endelea kula asali na achana kuchanganya imani zetu na ukatili wakoSi huwa mnasema maisha ni "do or die", sasa unalalamika nini? Huo ndiyo ujinga. Nani alikwambia kwenye maisha kuna "mapigano"?
Uislam unatufundisha rizki anayetowa ni Allah, siyo wizi, ujambazi na kuuza madawa ya kulevyo. Huo ni ujinga na njia za shetani tu.
Huwezi kupigana na maisha isipokuwa uwe ni mjinga tu, usiyeona wala kujuwa unalofanya. Nakushauri anza kuingia hizo "nyumba za ibada" unazozisema ukapate mafundisho ya maisha ni nini.
Pata kilichootokea huko kutoka kwa Watanzania wanaoishi huko kihalali:
Hilo jumba lililochomwa ni la ma "criminals" watupu. Kimeanza kutiwa moto chumba kimoja cha chini, ambacho kilikuwa na walengwa (kimepigwa moto, wakafungiwa ndani, kikapigwa moto kwa makusudi kabisa. Wanne wamekufa humo humo. Waliotia moto lango la kupanda ngazi na kushuka walilifunga asitoke mtu. Wote waliokuwamo ndani ya hicho chumba cha chini wamefia humo humo ndani, mmoja alitoka wapi sijuwi akawaona waliochoma moto, na yeye wakamuuwa wakamtia moto nje ya jengo, wakaondoka zao.
Hao ni criminals tu, tuuseme ukweli. Hata kama wanatafuta maisha, walikuwa hawayatafuri kwa njia za halali.
Sio kweli, kule kuna Doctors, Engineers, Artisans,etc etc huo uhuni umetoka wapi?,wezi wakuu wapo hapa na hamwasemi kwa fedha zetu zinazoibiwa left right na mafisadi,wale wapo kule kufight for better life kwa familia zao, ila ninyi mkiugua na kufia Netcare Millpark ni sawa, kwa nini msifie Peramiho hospital, why mnakimbilia kule?,mna uwezo baada ya kuibia nchi, but poor of the poorest anaingia kiwanja to fight, hawa ni fighters wa maisha sio wahuni, wahuni wapo pale mjengoni DodomaUpumbavu wake nini ndugu yangu, hoja hupingwa kwa hoja, wala siyo kwa kumshambulia mtoa hoja, mimi nimesikia toka BBC asbuhi, wengi wanaishi humo ni wahuni wasio kuwa na makazi, serikali imeenda mahamani mara kadhaa kwa ajili ya kuwaondoa ila ikawa inashindwa kesi.
It's a NO mkuu,hawa ni fighter's wa maishaInawezekana watanzania waliofariki humo ni more than that....kuna mtu mmoja miaka ya nyuma aliniambia hilo jengo wabongo wanaishi kibao sana na wengi wao watanzania ni wauza bangi,madawa ya kulevya na magenge ya ujambazi na uporaji .
Salute mkuu, yes walienda kutafuta better life kwa maisha ya familia zaoSawa, walienda kutafuta, wamekufa wakitafuta, inasikitisha sana ajali hiyo
Mshikaji hapo naona yeye anaendelea kunyonga dawa polepoleView attachment 2735421
Watu wasiopungua 70 wamepoteza maisha na wengine 52 wamejeruhiwa kufuatia moto uliozuka katika jengo la ghorofa tano katikati ya mji wa Johannesberg nchini Afrika Kusini.
Moto huo umetokea katika jengo lililopo katika eneo lenye shughuli nyingi za kibiashara la jiji hilo kubwa la Johannesburg.
Kwa mujibu wa taarifa ya msemaji wa Kitengo cha Huduma za Dharura cha jiji la Johannesburg, Robert Mulaudzi, moto huo umesababishapia watu wengine takriban 52 kujeruhiwa.
Hata hivyo Mulaudzi amesema idadi ya vifo inaweza kuongezeka zaidi kwa kuwa jitihada ya kutafuta miili ya watu kutoka ghorofa moja kwenda nyingine inaendelea.
Katika taarifa yake ya ziada aliyoitoa kupitia ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa X, kampuni ya awali iliyokuwa ikijulikana kama Twitter, msemaji huyo amesema watu kadhaa wameokolewa.
Jengo lililozuka moto ni makazi holela ya watu.
Pamoja na hiyo, akinukuliwa na vyombo tofauti vya habari nchini Afrika Kusini msemaji huyo amesikika akisema jengo hilo lililowaka moto lilikuwa linafanywa makazi kwa wasio na majumba.
Lakini pia mbali ya vifo vilivyotokana na moto, vipo vya baadhi ya watu ambao wanatajwa kufanya jaribio la kuruka kutoka katika jengo hilo refu,katika nyakati za usiku, kipindi ambacho moto huo unaendelea kwa lengo la kutaka kunusuru uhai wao.
View attachment 2735426
Mbona nje ya mada, alafu lile jengo waliokua wanaishi mle siyo watanzania pekee, hivyo Watanzania wanaishi pale wanaweza kuwa wema ila hao wengine, kama umesikiza lipota wa BBC asbuhi nadhani muongo ni huyo, mimi nimeandika, nilichosikia.Sio kweli, kule kuna Doctors, Engineers, Artisans,etc etc huo uhuni umetoka wapi?,wezi wakuu wapo hapa na hamwasemi kwa fedha zetu zinazoibiwa left right na mafisadi,wale wapo kule kufight for better life kwa familia zao, ila ninyi mkiugua na kufia Netcare Millpark ni sawa, kwa nini msifie Peramiho hospital, why mnakimbilia kule?,mna uwezo baada ya kuibia nchi, but poor of the poorest anaingia kiwanja to fight, hawa ni fighters wa maisha sio wahuni, wahuni wapo pale mjengoni Dodoma
Nikiwa sina akili, sawa, ilimradi kuendesha maisha yangu, sikutegemei wewe, wala ndugu yako wa karibu hainisumbui.Huna akili na wwe,sasa kama muhuni anashinda kesi maana yake ni halali kukaa hapo aliposhinda sasa kuna shida gani,Tafsiri ya neno muhuni ni pana sanaa msikimbilie kutoa hukumu
Jamaa wamechoka kuliko wapiga debe wa bongo.View attachment 2735421