Watanzania 5 waripotiwa kufariki kwenye ajali ya Moto Afrika Kusini

Si huwa mnasema maisha ni "do or die", sasa unalalamika nini? Huo ndiyo ujinga. Nani alikwambia kwenye maisha kuna "mapigano"?

Uislam unatufundisha rizki anayetowa ni Allah, siyo wizi, ujambazi na kuuza madawa ya kulevyo. Huo ni ujinga na njia za shetani tu.

Huwezi kupigana na maisha isipokuwa uwe ni mjinga tu, usiyeona wala kujuwa unalofanya. Nakushauri anza kuingia hizo "nyumba za ibada" unazozisema ukapate mafundisho ya maisha ni nini.

Pata kilichootokea huko kutoka kwa Watanzania wanaoishi huko kihalali:

Hilo jumba lililochomwa ni la ma "criminals" watupu. Kimeanza kutiwa moto chumba kimoja cha chini, ambacho kilikuwa na walengwa (kimepigwa moto, wakafungiwa ndani, kikapigwa moto kwa makusudi kabisa. Wanne wamekufa humo humo. Waliotia moto lango la kupanda ngazi na kushuka walilifunga asitoke mtu. Wote waliokuwamo ndani ya hicho chumba cha chini wamefia humo humo ndani, mmoja alitoka wapi sijuwi akawaona waliochoma moto, na yeye wakamuuwa wakamtia moto nje ya jengo, wakaondoka zao.

Hao ni criminals tu, tuuseme ukweli. Hata kama wanatafuta maisha, walikuwa hawayatafuri kwa njia za halali.
 

Huna akili na wwe,sasa kama muhuni anashinda kesi maana yake ni halali kukaa hapo aliposhinda sasa kuna shida gani,Tafsiri ya neno muhuni ni pana sanaa msikimbilie kutoa hukumu
 

Huogopi sister? Mbona lugha kari zana hata kama ni muhalifu sio kwa kuchoma moto.
 
Kuna teja mmoja apo ni hataari
 
Umefuatilia majina Yao maana, wengi wanaozamia kwenda kwa madiba Wana majina ya kiarabu
 
Inawezekana watanzania waliofariki humo ni more than that....kuna mtu mmoja miaka ya nyuma aliniambia hilo jengo wabongo wanaishi kibao sana na wengi wao watanzania ni wauza bangi,madawa ya kulevya na magenge ya ujambazi na uporaji .
 
Usiingize vitabu vitakatifu hapa wakati wewe ni jitu katili ambazo kufa kwa watu unaona it's okay, mtoto kama wewe ulieyezaliwa na kulelewa na mbereko hujui ugumu wa maisha nje kule,watanzania wengi wamekufa kule kwa Garang, Mozambique wakisafiri pori pori na hii imesababishwa na systems ya nchi isiyotoa haki sawa, waulize wenzako wakijutusu tu kuingia kule na kupotea nje huwa tunawaelekeza beach, wakirudi wamebakiwa na chupi tu,usifikirie watu wanaingia kiwanja kwa utashi wao,tough life ndio inasababisha,endelea kula asali na achana kuchanganya imani zetu na ukatili wako
 
Sio kweli, kule kuna Doctors, Engineers, Artisans,etc etc huo uhuni umetoka wapi?,wezi wakuu wapo hapa na hamwasemi kwa fedha zetu zinazoibiwa left right na mafisadi,wale wapo kule kufight for better life kwa familia zao, ila ninyi mkiugua na kufia Netcare Millpark ni sawa, kwa nini msifie Peramiho hospital, why mnakimbilia kule?,mna uwezo baada ya kuibia nchi, but poor of the poorest anaingia kiwanja to fight, hawa ni fighters wa maisha sio wahuni, wahuni wapo pale mjengoni Dodoma
 
Inawezekana watanzania waliofariki humo ni more than that....kuna mtu mmoja miaka ya nyuma aliniambia hilo jengo wabongo wanaishi kibao sana na wengi wao watanzania ni wauza bangi,madawa ya kulevya na magenge ya ujambazi na uporaji .
It's a NO mkuu,hawa ni fighter's wa maisha
 
Mshikaji hapo naona yeye anaendelea kunyonga dawa polepole
 
Mbona nje ya mada, alafu lile jengo waliokua wanaishi mle siyo watanzania pekee, hivyo Watanzania wanaishi pale wanaweza kuwa wema ila hao wengine, kama umesikiza lipota wa BBC asbuhi nadhani muongo ni huyo, mimi nimeandika, nilichosikia.
Swala la mafisadi sidhani kama linaendana na mada hii.
 
Huna akili na wwe,sasa kama muhuni anashinda kesi maana yake ni halali kukaa hapo aliposhinda sasa kuna shida gani,Tafsiri ya neno muhuni ni pana sanaa msikimbilie kutoa hukumu
Nikiwa sina akili, sawa, ilimradi kuendesha maisha yangu, sikutegemei wewe, wala ndugu yako wa karibu hainisumbui.
Hata hivyo mimi nimeandika na nilichosikia na nimekuwekea chanzo, kuwa ni BBC leo asbuhi, sasa wewe kama una akili kweli, ulitakiwa kukanusha kwa hoja, badala ya kuziona akiliza zangu, kumbe waelewa wanaona nani ana mapungufu.
 
Jamaa wamechoka kuliko wapiga debe wa bongo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…