Yaani wewe ungekua ndio mshauri wa raisi ungemuingiza shimoni mchana kweupe, maana rangi unaiona ni blue unang'ang'ania iwe nyeupe, hivi unashida gani mkuu? Hivi sio vitu vya kuviletea mzaha hata kidogo, kwa maana hata jipu huwa linaanza kama kakipele tu kadogo.Gentleman,
hali ya kisiasa nchini ni shwari sana, licha ya comments nyingi unazodai kutolewa na waTanzania, kuonyesha wazi kwamba kuna changamoto ya kisaikolojia inayowatesa wengi wanaotumia mitandao ya kijamii.
Nadhani kama taifa,
inafaa kujipanga na rehab centers za kutosha kuaccomodate wanaopitia changamoto hiyo kwasababu mbalimbali.
Serikali sikivu ya CCM chini ya Dr Samia Suluhu Hassan iendelee kuchapa kazi tu na itapendeza zaidi.
Kwangu mimi,
kuishi ni Kristo na kufa ni faida
R.I.P hayati Hafidhi Ameir 🐒
Ni Ujinga tu na Chuki, na wengi wao 97% ni Matanganyika na chogo zao....Wahed.Kwa kweli comments za watanzania wengi juu ya kifo cha mume wa rais Samia Suluhu Hassan nyingi zimejaa chuki kubwa mno! Nilitegemea watu watoe pole kwa rais katika siku hii ngumu sana kwake kwa kufiwa na mumewe lakini niliyoyaona mtandaoni yameniacha na maswali mengi sana kuhusu hali ya kisiasa na uongozi nchini. Tumwombe Mungu atutoe hapa!
in fact chuki ni miongoni mwa changamoto za kisaikolojia ambayo inapelekea na kufanya binadamu kua na tabia kama za wanyama pori, mithili ya nyani kucheka kalio za nyani mwingine.Yaani wewe ungekua ndio mshauri wa raisi ungemuingiza shimoni mchana kweupe, maana rangi unaiona ni blue unang'ang'ania iwe nyeupe, hivi unashida gani mkuu? Hivi sio vitu vya kuviletea mzaha hata kidogo, kwa maana hata jipu huwa linaanza kama kakipele tu kadogo.
Huwezi kusolve tatizo kama huwezi kulikubali kwanza.
Kwa aina ya comment ambazo watu wanazitoa juu ya maswala ya aina hii inaonesha kabisa dhahiri ipo haja ya viongozi kuangalia wapi walikosea ili waweze kurekebisha ule umoja na mshikamano urudi.
Kazi ipo😅😅in fact chuki ni miongoni mwa changamoto za kisaikolojia ambayo inapelekea na kufanya binadamu kua na tabia kama za wanyama pori, mithili ya nyani kucheka kalio za nyani mwingine.
Taifa letu limejengwa katika msingi wa utu, heshima, umoja na mshikamano. Na waTanzania wote tupo hivyo tangu uhuru wa taifa letu, but wewe na mtoa hoja mnajaribu kuzifanya changamoto zenu za kisaikolojia hususani chuki binafsi, kanakwamba ni tatizo la taifa zima, huo ni upotoshaji useless kabisa gentleman.
Rehab centers zitajengwa na mtaenda kupata tiba huku waTanzania wengine wachapakazi, wakiendelea kupiga kazi za kulijenga taifa lao 🐒
I
Yes,Kazi ipo😅😅
Sawa sawa😅Yes,
kutibu changamoto za kisaikolojia sio kazi ndogo gentleman hasa chuki 🐒
ok.🐒Sawa sawa😅
Msiba wa Pengo alikuwepo kanisani.Uliwahi kuona amehudhulia msiba wapi
Watz wamevulugwa sana , hii haijawahi tokea, aisee ,wanatembea na hasira sana nyoyoni mwaoKwa kweli comments za watanzania wengi juu ya kifo cha mume wa rais Samia Suluhu Hassan nyingi zimejaa chuki kubwa mno! Nilitegemea watu watoe pole kwa rais katika siku hii ngumu sana kwake kwa kufiwa na mumewe lakini niliyoyaona mtandaoni yameniacha na maswali mengi sana kuhusu hali ya kisiasa na uongozi nchini. Tumwombe Mungu atutoe hapa!
Mbona unaombq samahani mkuu?Samahani mkuu!
Samia mwenyewe kawafundizha watu msemo wa kifo ni kifo tu.Kwa kweli comments za watanzania wengi juu ya kifo cha mume wa rais Samia Suluhu Hassan nyingi zimejaa chuki kubwa mno! Nilitegemea watu watoe pole kwa rais katika siku hii ngumu sana kwake kwa kufiwa na mumewe lakini niliyoyaona mtandaoni yameniacha na maswali mengi sana kuhusu hali ya kisiasa na uongozi nchini. Tumwombe Mungu atutoe hapa!
Mimi nimefurahi sana huyo mume wake kufa.Kwa kweli comments za watanzania wengi juu ya kifo cha mume wa rais Samia Suluhu Hassan nyingi zimejaa chuki kubwa mno! Nilitegemea watu watoe pole kwa rais katika siku hii ngumu sana kwake kwa kufiwa na mumewe lakini niliyoyaona mtandaoni yameniacha na maswali mengi sana kuhusu hali ya kisiasa na uongozi nchini. Tumwombe Mungu atutoe hapa!
Hivi kwanini wazanzibari huchonga visogo?Ni Ujinga tu na Chuki, na wengi wao 97% ni Matanganyika na chogo zao....Wahed.
Chinjachinja hastahili kuonewa huruma. Huyu mzee aliyefariki, hajawahi kutukosea Watanganyika. Tunamuomba Mungu aikwanyue roho ya Abduli, aguse panapouma ili huyu mama mpumbavu ajue uchungu walioupata maelfu ya kina mama ambao watoto wao waliuawa kwa amri yake, ili azime mtandao na ajitangaze kuwa raisKwa kweli comments za watanzania wengi juu ya kifo cha mume wa rais Samia Suluhu Hassan nyingi zimejaa chuki kubwa mno! Nilitegemea watu watoe pole kwa rais katika siku hii ngumu sana kwake kwa kufiwa na mumewe lakini niliyoyaona mtandaoni yameniacha na maswali mengi sana kuhusu hali ya kisiasa na uongozi nchini. Tumwombe Mungu atutoe hapa!