Watanzania chuki zimezidi sasa mnashindwa hata kusema pole kwa rais wenu. Tumwombe Mungu atutoe hapa

Anayehitaji rehab ni hilo kahaba lenu lilo ua watu zaidi ya elfu kumi
 
Akimaliza tu huu msiba wa mumewe na hiyo habari ya kukaa eda/ hitma Siku 40 atajirudi. Ataelewa alipo jikwaa… hizi chuki kaziasisi yeye Kwa kauli zake ( kifo ni kifo ) na hajawapa pole wafiwa wa 29/10, Ali kibao na wengine.
Kwa nini watu wasimtende kama anavyo watenda wengine?
Ajirudi tu ndipo ataeleweka… vinginevyo Zamu yake ikifika watoto na familia yake watakuwa na hali mbaya zaidi… karma is a bitch…
 
Kwa nia njema tu nakushauri bro. Tatizo lipo na muelezeni ukweli meenyekiti wenu ndani ya chama kuwa utekaji na mauaji yale yameleta mpasuko mkubwa miongoni mwetu.

Inasikitisha kwa kweli kwa hapa tulipofikishwa na CCM yenu.
 
Kusema kweli katika vifo vilivyoniuma ni cha mzee kibao. Dah, yule mzee aliuliwa vibaya then akakashifiwa na huyu mama.

Dah, Mungu amsaidie.
 
Mimi nimefurahi sana, tusipangiane pa kufurahi
Huna akili halafu Kila siku huwa nakwambia unashida lakini bado huelewi hii ni kwasababu huna akili kwa kiwango kikubwa sana, unafurahije kifo cha mtu kwani wewe hutakufa? Pumbavu mkubwa
 
Muombee wewe mwenyewe chawa wake. Mie naomba atangulie haraka akaishi na mumewe kipenzi.
 
Ni Ujinga tu na Chuki, na wengi wao 97% ni Matanganyika na chogo zao....Wahed.
Unajionaje kuwa na kichwa flat screen ewe Mzanzibari mwenye elimu ya hapa na pale? Waache Watanganyika wafurahie kwa raha zao.
 
Singo maza kaongezeka πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Jibu mujarabu kabisa. Isitoshe, watanzania wa kweli mbona tumempa pole nyingi tu. Hayo manyumbu machache yenye akaunti kibaaao kwenye social media walizoziandaa kwa ajili hiyo tu Wala hazimstui mtu.
 
Jibu mujarabu kabisa. Isitoshe, watanzania wa kweli mbona tumempa pole nyingi tu. Hayo manyumbu machache yenye akaunti kibaaao kwenye social media walizoziandaa kwa ajili hiyo tu Wala hazimstui mtu.
Yes,
yaani hawa majamaa wanadhani eti kuna mtu atababaika na chuki binafsi zao, ambazo ni wazi chimbuko la chuki hizo ni maamuzi yao mabaya ya kususia uchaguzi mkuu na matokeo yake hivi sasa wanateseka kisaikolojia, na kuona kila mtu alie kinyume na maoni yao anaoneka mbaya na adui kwao.

In fact,
kila kitu wanaona ni kibaya kwao.
Hata na hivyo, Rais amefiwa na mume wake, lakini yupo imara katika kuongoza nchi na kuwatumikia wananchi. Na kwakua ni mtu wa imani, anajua fika kwamba, mwanadamu aliezaliwa na mwanamke, siku zake za kuishi si nyingi, tena hujaa taabu.

Na kwasababu hiyo,
kama wazalendo wa taifa hili, tunaendelea kua bega kwa bega nae katika kipindi hiki kigumu cha kumpoteza mume wake, na tutaendelea kua pamoja nae zaidi hata baada ya msiba huu mzito kumalizika, regardless ya chuki za wafuata mkumbo πŸ’
 
Ni Ujinga tu na Chuki, na wengi wao 97% ni Matanganyika na chogo zao....Wahed.
Hapa ndipo umeonyesha chanzo cha mgawanyiko, ubaguzi na chuki zenu Wazanzibar.

Kumbe Mzanzibar hufurahia vifo vya Watanganyika na Watanganyika hufurahia vifo vya wazanzibar ? Kwa nini iwe siku hizi na sio miaka ya nyuma ???

Ukiyaita matanganyika nao watakuona takataka tu na kuwaita Mazanzibar vichwa vyao flat vya mbao.

Ungejiuliza, kwa nini wafurahie kifo ?

Wao walipofiwa kwa matukio mbalimbali, walifarijiwa na nani ?
 
Kifo ni kifo tu
 
Nyumbu wanaoteseka sana🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…