Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 21,572
- 15,610
Duniani siku zote hutofautiana kwa mitazamo ikiwemo ya Vigo. Binafsi Lissu akihukumiwa kunyongwa hadi kufa nitapiga Konyagi hadi basi. Lakini Kuna watakaosikitika na kulia! Kwahiyo ndio hivyo!Kwa kweli comments za watanzania wengi juu ya kifo cha mume wa rais Samia Suluhu Hassan nyingi zimejaa chuki kubwa mno! Nilitegemea watu watoe pole kwa rais katika siku hii ngumu sana kwake kwa kufiwa na mumewe lakini niliyoyaona mtandaoni yameniacha na maswali mengi sana kuhusu hali ya kisiasa na uongozi nchini. Tumwombe Mungu atutoe hapa!
In fact,Yeah kwa hiyo tusizue taharuki
Mmezoea sana kuua watu unatamani mumnyonge Lissu wenyewe.Duniani siku zote hutofautiana kwa mitazamo ikiwemo ya Vigo. Binafsi Lissu akihukumiwa kunyongwa hadi kufa nitapiga Konyagi hadi basi. Lakini Kuna watakaosikitika na kulia! Kwahiyo ndio hivyo!
Yes,Nyumbu wanaoteseka sanaπ€£π€£π€£
Inasikitisha lakini haishangazi.
Usitupangie jinsi ya kuonyesha furaha zetu.Kwa kweli comments za watanzania wengi juu ya kifo cha mume wa rais Samia Suluhu Hassan nyingi zimejaa chuki kubwa mno! Nilitegemea watu watoe pole kwa rais katika siku hii ngumu sana kwake kwa kufiwa na mumewe lakini niliyoyaona mtandaoni yameniacha na maswali mengi sana kuhusu hali ya kisiasa na uongozi nchini. Tumwombe Mungu atutoe hapa!
Lissu ATANYONGWA tu. Hizo blah blah zenu peleka kwa wazazi wenu. Watawavumilia!Mmezoea sana kuua watu unatamani mumnyonge Lissu wenyewe.
Huyu sweetheart wa Samia amekufa mwenyewe, hajauliwa na mtu. Tofauti kati yenu na watu wanaopinga maovu yenu ndio hiyo
Hahahahaaaaaa!Yes,
na hakuna haja kabisa ya kubabaika na mateso yao ya kujitakia π
Unasema ni matatizo ya kisaikolojia? Inamaana haufahamu kabisa sababu?Gentleman,
hali ya kisiasa nchini ni shwari sana, licha ya comments nyingi unazodai kutolewa na waTanzania, kuonyesha wazi kwamba kuna changamoto ya kisaikolojia inayowatesa wengi wanaotumia mitandao ya kijamii.
Nadhani kama taifa,
inafaa kujipanga na rehab centers za kutosha kuaccomodate wanaopitia changamoto hiyo kwasababu mbalimbali.
Serikali sikivu ya CCM chini ya Dr Samia Suluhu Hassan iendelee kuchapa kazi tu na itapendeza zaidi.
Kwangu mimi,
kuishi ni Kristo na kufa ni faida
R.I.P hayati Hafidhi Ameir π
ni kubebwa kwako ufala wa kifikra na vibaka wa siasa Tanzania na kufuata kwako mkumbo kinyumbu ndio maana una matatizo hayo ya kisaikolojia yanayokutesa hivi sasa huku ukidai ni chuki πUnasema ni matatizo ya kisaikolojia? Inamaana haufahamu kabisa sababu?
Acha kukariri kitabu kitakatifu Biblia huku unanuka damu za Watanganyika mlizomwaga na unashangilia kila siku mateso yao. Hadi unawawekea picha ya nyani kwenye kila comments zako.Yes,
na kuishi ni Kristo na kufa ni faida.
kumbuka ,
mwanadamu aliezaliwa na mwanamke, siku zake si nyingi na tena hujaa taabu π
huenda wewe ndie uliekaririshwa upotofu na chuki binafsi na huyo mtoa hoja useless na mfuata mkumbo mwenzako.Acha kukariri kitabu kitakatifu Biblia huku unanuka damu za Watanganyika mlizomwaga na unashangilia kila siku mateso yao. Hadi unawawekea picha ya nyani kwenye kila comments zako.
Sawa. Sasahivi acha watu washerehekee msiba ambao umeshatokea tayari πLissu ATANYONGWA tu. Hizo blah blah zenu peleka kwa wazazi wenu. Watawavumilia!
Pelekeni hilo shangingi lenzio rehab mmeua kupitiliza. Sasa ndio kamalizana na hicho kizee ili aendelee na lile tipwatipwa la Zimbabwe wakati wewe ukiendelea na lile sokwe la ccmin fact mtu kama wewe ni wazi unahitajika rehab center, kwasababu unazo sifa na dalili zote kamili za wanaohitajika huko π