Watanzania chuki zimezidi sasa mnashindwa hata kusema pole kwa rais wenu. Tumwombe Mungu atutoe hapa

Pelekeni hilo shangingi lenzio rehab mmeua kupitiliza. Sasa ndio kamalizana na hicho kizee ili aendelee na lile tipwatipwa la Zimbabwe wakati wewe ukiendelea na lile sokwe la ccm
ndio maana nasisitiza,
unastahili kuhukumiwa rehab center gentleman 🐒
 
Binafsi sina chuki na marehemu, hakuwa kwenye platform yoyote, hakuwahi kusema chochote, pole kwa familia na walioguswa sio kitu kibaya.
 
"Kufa ni kawaida tu, kila MTU atakufa"ni nikuu ya samia siku mzee Ali kibao alipotekwa na kuuwawa na death squad ya CCM.
 
Huna akili halafu Kila siku huwa nakwambia unashida lakini bado huelewi hii ni kwasababu huna akili kwa kiwango kikubwa sana, unafurahije kifo cha mtu kwani wewe hutakufa? Pumbavu mkubwa
Ww khuma tuu, mama yenu alivyoua watu zaidi ya elfu, c mlishangilia amefanya vzr, sasa nani ana akili na nani hana akil?

Bora mama ako angepokea bao lako kwa njia ya mkungu kuliko kukuleta kuja kuwa mngese duniani
 
Sawa nyonya damu.

Endelea kushiba damu za Watanganyika.

Na humlishi yeyote humu JF.
Mvivu ni wewe unayekula kwa kulamba viatu vya watawala badala ya kufanya kazi halali.
 
Wewe ulivyomuona unahisi Kwa jinsi anavyooneka alikuwa anatia huruma kustahili pole?
 
Sawa nyonya damu.

Endelea kushiba damu za Watanganyika.

Na humlishi yeyote humu JF.
Mvivu ni wewe unayekula kwa kulamba viatu vya watawala badala ya kufanya kazi halali.
ok. Tuliza mihemko useless sasa jukwaani, okay?🐒
 
Mbona yeye hakuwapa pole wale aliowauwa 518?
Badala yake anaunda matume kusema watu wamepewa fedha.
Pia alisema kifo ni kifo. Sasa pole ya nini wakati kifo ni kifo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…