Subiri sasa akifa yeye au Abdul. Masherehe kila Kona Tanganyika.Ni Ujinga tu na Chuki, na wengi wao 97% ni Matanganyika na chogo zao....Wahed.
Kifo ni kifo tu acha taharuki we chawa!Huna akili halafu Kila siku huwa nakwambia unashida lakini bado huelewi hii ni kwasababu huna akili kwa kiwango kikubwa sana, unafurahije kifo cha mtu kwani wewe hutakufa? Pumbavu mkubwa
Dada naona bado unakata miuno hapahuna haja ya kujiexpose zaidi gentleman namna ulivyo athirika kisaikolojia 🐒
Yeye ameshatoa pole kwa familia zilizopoteza wapendwa wao Oct/Nov 2025?Kwa kweli comments za watanzania wengi juu ya kifo cha mume wa rais Samia Suluhu Hassan nyingi zimejaa chuki kubwa mno! Nilitegemea watu watoe pole kwa rais katika siku hii ngumu sana kwake kwa kufiwa na mumewe lakini niliyoyaona mtandaoni yameniacha na maswali mengi sana kuhusu hali ya kisiasa na uongozi nchini. Tumwombe Mungu atutoe hapa!
Mna upunguani mwingi sana, elimu yangu we waijua au kuishia kukariri hapo UDSM waona basi elimu kuubwa sioUnajionaje kuwa na kichwa flat screen ewe Mzanzibari mwenye elimu ya hapa na pale? Waache Watanganyika wafurahie kwa raha zao.
Kwani amewakosea nini ninyi Mzee Ameir? kwanza hataa kwenye siasa hayumo, vipi mfurahie kifo chake?Hapa ndipo umeonyesha chanzo cha mgawanyiko, ubaguzi na chuki zenu Wazanzibar.
Kumbe Mzanzibar hufurahia vifo vya Watanganyika na Watanganyika hufurahia vifo vya wazanzibar ? Kwa nini iwe siku hizi na sio miaka ya nyuma ???
Ukiyaita matanganyika nao watakuona takataka tu na kuwaita Mazanzibar vichwa vyao flat vya mbao.
Ungejiuliza, kwa nini wafurahie kifo ?
Wao walipofiwa kwa matukio mbalimbali, walifarijiwa na nani ?
Mkihudhunika zenj yatoshaNi Ujinga tu na Chuki, na wengi wao 97% ni Matanganyika na chogo zao....Wahed.
Amesema nani?,kuuwa watu ni ujanja?
Wewe hutokufa?Subiri sasa akifa yeye au Abdul. Masherehe kila Kona Tanganyika.
Wajinga ninyi na roho zenuMkihudhunika zenj yatosha
ShukraanBinafsi sina chuki na marehemu, hakuwa kwenye platform yoyote, hakuwahi kusema chochote, pole kwa familia na walioguswa sio kitu kibaya.
You reap what you sow, Samia anavuna alichopanda. Nothing more nothing less.Kwa kweli comments za watanzania wengi juu ya kifo cha mume wa rais Samia Suluhu Hassan nyingi zimejaa chuki kubwa mno! Nilitegemea watu watoe pole kwa rais katika siku hii ngumu sana kwake kwa kufiwa na mumewe lakini niliyoyaona mtandaoni yameniacha na maswali mengi sana kuhusu hali ya kisiasa na uongozi nchini. Tumwombe Mungu atutoe hapa!
Watu wanafurahia Samia kufiwa na mume wake kwa sababu na yeye amesababisha wanawake wengi wafiwe na waume zao, and even worse watu wamefiwa na ndugu zao na watoto wao kisa huyo kibibiKwani amewakosea nini ninyi Mzee Ameir? kwanza hataa kwenye siasa hayumo, vipi mfurahie kifo chake?
Nikifa watanganyika hawatafanya sherehe. Hapa issue siyo kufa, issue ni kifo cha Samia kuwa sherehe.Wewe hutokufa?
Binafsi sijashangilia kifo chake, nilikuwa namjibu huyo mbaguzi kichwa flat kama ubao Mzanzibure aliyetuita Matanganyika.Kwani amewakosea nini ninyi Mzee Ameir? kwanza hataa kwenye siasa hayumo, vipi mfurahie kifo chake?