Uchaguzi 2020 Watanzania eleweni: Kuanza kampeni kabla ya wakati ni kanuni ndani ya CCM tu; haipo popote katika Sheria za Tanzania, wala katika Kanuni za Uchaguzi

CWR2016

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2017
Posts
2,773
Reaction score
6,349
Habari wana JF,

Naomba niwaelimishe, CCM wana utaratibu wao wa siasa. Ndio walijiwekea kitu kinaitwa, "kuanza kampeni kabla ya wkt" huko kwao.
atika
Hakuna popote hicho kitu ktk sheria za nchi ya Tanzania, wala haipo katika kanuni za uchaguzi mkuu za nchi yetu.

Sasa kanuni za CCM nani anataka kulazimisha ziwe eti ndio za nchi?

Hizo ni kanuni za Chama chenu, ndio hizo hizo mlitumia kumkata Lowassa huko mwaka 2015, pamoja na mambo mengine. Hizo ni za CCM, sio za nchi.

CCM ndio huwa mnatuhumiana mambo ya kampeni kabla ya muda.
Acheni kutuharibia nchi kwa kanuni zisizokuwepo.

Nashangaa watu wanashadadia tu.
Membe nae anajisemea eti katafuta wadhamini kimya kimya kuepuka kuvunja kanuni. Zipi?
Yani B. Membe bado anawaza kanuni za CCM kichwani mwake?
Kweli nimeamini ni ngumu sana mtu kusahau asili yake.

Membe, Magufuli na wenzako kajisomeeni tena, hiyo ni sheria yenu kwenye makabrasha ya CCM; haipo ktk sheria za nchi.

Full stop

Tofautisheni nchi na CCM.
 
Ngoja tuone kama kuna mtu atakatwa. Na wasipo mkata mtu, basi wame mugopa na kama wanamuogopa najua watamuiba kula, ili kumpokonya ushindi wake..
 
Habari wana JF,

Naomba niwaelimishe, CCM wana utaratibu wao wa siasa. Ndio walijiwekea kitu kinaitwa, "kuanza kampeni kabla ya wkt" huko kwao.

Hakuna popote hicho kitu ktk sheria za nchi ya Tanzania, wala haipo ktk kanuni za uchaguzi mkuu za nchi yetu.

Sasa kanuni za CCM nani anataka kulazimisha ziwe eti ndio za nchi?!

Hizo ni kanuni za Chama chenu, ndio hizo hizo mlitumia kumkata Lowassa huko mwaka 2015, pamoja na mambo mengine. Hizo ni za CCM, sio za nchi.

CCM ndio huwa mnatuhumiana mambo ya kampeni kabla ya muda.
Acheni kutuharibia nchi kwa kanuni zisizokuwepo.

Nashangaa watu wanashadadia tu.
Membe nae anajisemea eti katafuta wadhamini kimya kimya kuepuka kuvunja kanuni. Zipi?
Yani B. Membe bado anawaza kanuni za CCM kichwani mwake?
Kweli nimeamini ni ngumu sana mtu kusahau asili yake.

Membe, Magufuli na wenzako kajisomeeni tena, hiyo ni sheria yenu kwenye makabrasha ya CCM; haipo ktk sheria za nchi.

Full stop

Tofautisheni nchi na CCM.
Haa! unanikumbusha kwamba nchi siyo kampuni 'a country is not a company or running a goverment is not like family matters'
 
Membe hajawahi kuwa mpinzani wa kweli ni mvurugaji tu kama Lowassa, CDM wangefanya kosa kubwa sana kumpokea.

Umamluki wake umejidhihirisha katika hili la kutaka kupotosha kwa makusudi, kanuni za huko CCM haziwezi kuwa ndio kanuni za Tume ya Uchaguzi (labda kwa vile imewekwa MFUKONI NA RAIS).
 
Maadili ya uchaguzi ni wkt wa kuanza kwa wagombea, na hakuna kitu kama hicho saivi. Wewe ni MATAGA hujui hata kanuni moja.

Weka hapa hiyo kanuni...

Mnaudhi sana nyie CCM.
kasome ~ pingamizi ~namba 13, na kwakuwa umenitukana utakuwa unapigwa behind
 
Habari wana JF,

Naomba niwaelimishe, CCM wana utaratibu wao wa siasa. Ndio walijiwekea kitu kinaitwa, "kuanza kampeni kabla ya wkt" huko kwao.

Hakuna popote hicho kitu ktk sheria za nchi ya Tanzania, wala haipo ktk kanuni za uchaguzi mkuu za nchi yetu.

Sasa kanuni za CCM nani anataka kulazimisha ziwe eti ndio za nchi?!

Hizo ni kanuni za Chama chenu, ndio hizo hizo mlitumia kumkata Lowassa huko mwaka 2015, pamoja na mambo mengine. Hizo ni za CCM, sio za nchi.

CCM ndio huwa mnatuhumiana mambo ya kampeni kabla ya muda.
Acheni kutuharibia nchi kwa kanuni zisizokuwepo.

Nashangaa watu wanashadadia tu.
Membe nae anajisemea eti katafuta wadhamini kimya kimya kuepuka kuvunja kanuni. Zipi?
Yani B. Membe bado anawaza kanuni za CCM kichwani mwake?
Kweli nimeamini ni ngumu sana mtu kusahau asili yake.

Membe, Magufuli na wenzako kajisomeeni tena, hiyo ni sheria yenu kwenye makabrasha ya CCM; haipo ktk sheria za nchi.

Full stop

Tofautisheni nchi na CCM.
Benard Membe ni mwanaccm aliyepoa makali, ila damu yake yote ina uccm, akili yake inawaza ccm.
 
Habari wana JF,

Naomba niwaelimishe, CCM wana utaratibu wao wa siasa. Ndio walijiwekea kitu kinaitwa, "kuanza kampeni kabla ya wkt" huko kwao.

Hakuna popote hicho kitu ktk sheria za nchi ya Tanzania, wala haipo ktk kanuni za uchaguzi mkuu za nchi yetu.

Sasa kanuni za CCM nani anataka kulazimisha ziwe eti ndio za nchi?!

Hizo ni kanuni za Chama chenu, ndio hizo hizo mlitumia kumkata Lowassa huko mwaka 2015, pamoja na mambo mengine. Hizo ni za CCM, sio za nchi.

CCM ndio huwa mnatuhumiana mambo ya kampeni kabla ya muda.
Acheni kutuharibia nchi kwa kanuni zisizokuwepo.

Nashangaa watu wanashadadia tu.
Membe nae anajisemea eti katafuta wadhamini kimya kimya kuepuka kuvunja kanuni. Zipi?
Yani B. Membe bado anawaza kanuni za CCM kichwani mwake?
Kweli nimeamini ni ngumu sana mtu kusahau asili yake.

Membe, Magufuli na wenzako kajisomeeni tena, hiyo ni sheria yenu kwenye makabrasha ya CCM; haipo ktk sheria za nchi.

Full stop

Tofautisheni nchi na CCM.

Ni hatua njema kufahamika kuwa haipo sheria wala kanuni inayozuia kampeni za mapema bado mgombea Lissu hajaanza kampeni zake zaidi ya kusalimiana na wananchi wenye shauku kubwa ya kumwona mfufuka wao.
 
Membe hajawahi kuwa mpinzani wa kweli ni mvurugaji tu kama Lowassa, CDM wangefanya kosa kubwa sana kumpokea.

Umamluki wake umejidhihirisha katika hili la kutaka kupotosha kwa makusudi, kanuni za huko CCM haziwezi kuwa ndio kanuni za Tume ya Uchaguzi (labda kwa vile imewekwa MFUKONI NA RAIS).
Wa ovyo tu huyo. Anajianika mapema pamoja na kwamba tunajua alichotumwa. Membe ni penetration officer, afanye kazi yake aliyotumwa kule zanzibar.

Ujinga ni yeye kutuimbia kanuni za CCM as if ni za nchi yetu.
Mpinzani gani dormant vile anazidiwa hata Lowassa.
 
Back
Top Bottom