Uchaguzi 2020 Watanzania eleweni: Kuanza kampeni kabla ya wakati ni kanuni ndani ya CCM tu; haipo popote katika Sheria za Tanzania, wala katika Kanuni za Uchaguzi

Uchaguzi 2020 Watanzania eleweni: Kuanza kampeni kabla ya wakati ni kanuni ndani ya CCM tu; haipo popote katika Sheria za Tanzania, wala katika Kanuni za Uchaguzi

Maadili ya uchaguzi ni wkt wa kuanza kwa wagombea, na hakuna kitu kama hicho saivi. Wewe ni MATAGA hujui hata kanuni moja.

Weka hapa hiyo kanuni...

Mnaudhi sana nyie CCM.
okey ni.namba 13 kuhususiana na mapingamizi, jiongeze tena ujiite CWT kabisa ili uendane sawa na hobi yako ya kikekike
 
Hivi ni kweli hii kwamba hii kanuni haipo??!!,yaani mmenikata stimu,nilijua tundu lisu tutambania hii kanuni....😫😫😫
 
Uchaguzi upi. Wa CCM au wa Nchi?
Mkuu, naona unadunga sindano kwenye kidonda. Lazima akuelewe tu. Swali lenyewe kauliza kinyoooooooonge kuonyesha ukweli ameupata. Kidogo kidogo tutaelewana tu.
 
CCM ndio watakuwa wa kwanza kuharibu nchi yetu na kutuvuruga.

Wanalazimishaje kanuni Zao za ndani ndio ziwe za nchi.?!

Ajabu sana.
Swali ni, Je, kama tume ya Taifa ya uchaguzi NEC nayo ikaingia mkenge ikazichukua hizo taratibu na kuzifanyia kazi, nini itakua suluhisho la huu mgogoro?
 
Yan MaCCM huwa yanatuaminisha kuwa Wajumbe wa Nyumba 10 pia ni Viongozi wa Serikali[emoji3]
Tatizo ni ule mfumo wa enzi ya chama kimoja. Huo mfumo kutoka vichwani mwa watu, inataka akili kubwa. Kwa wale wenye akili ndogo huwezi kuwabadilisha mawazo yao.
 
Hivi ni kweli hii kwamba hii kanuni haipo??!!,yaani mmenikata stimu,nilijua tundu lisu tutambania hii kanuni....😫😫😫
Haipo, tafuteni nyingine..
Ni kanuni ya nyie CCM kupigana marufuku kufanya siasa kwa muda.
 
Hivi ni kweli hii kwamba hii kanuni haipo??!!,yaani mmenikata stimu,nilijua tundu lisu tutambania hii kanuni....[emoji31][emoji31][emoji31]
Kwani Tundu Lisu anaogopwa hadi kutafuta namna ya kumkata? Kura zake ambazo hazitatosha ndani ya sanduku la kura hazifai kumkata? Kwanini ukatwe stimu?
 
Kwani Tundu Lisu anaogopwa hadi kutafuta namna ya kumkata? Kura zake ambazo hazitatosha ndani ya sanduku la kura hazifai kumkata? Kwanini ukatwe stimu?
Si wamuache kama atapungukiwa kura, ndo tutajua.
Kama JPM anapendwa, uoga wa kukata wapinzani wa nini?
 
Back
Top Bottom