Uchaguzi 2020 Watanzania eleweni: Kuanza kampeni kabla ya wakati ni kanuni ndani ya CCM tu; haipo popote katika Sheria za Tanzania, wala katika Kanuni za Uchaguzi

Kwamba Nguli wa sheria Lisu hajui anachokifanya kwa mujibu wa sheria Ila sisi tunajua Sana Kuliko yeye Kwenye suala la sheria za uchaguzi?

Kwa wanaoijua sheria hiyo ya uchaguzi inayoongelea Muda wa kampeni watuwekee hapa ili tusiwe na Mambo mengi ya kujadili
 
Wajinga Sana hawa CCM, wanawaimbisha kutwa kucha WaTz kanuni zisizokuwepo.

Tangu lini kanuni ya chama CCM ikawa ya nchi.?!
Mkuu hata mimi hili nimelisema sana. Katika sheria 18 za NEC Taifa hakuna kanuni hata moja inayosema mtia nia kuanza kampeni mapema ni kuvunja sheria, hizo sheria ziko kwenye utaratibu wa CCM.
Wamekuwa wakiimba kuwa ameanza kampeni mapema kama vile TAL ni mgombea wao😂😂😂
 
Haya maccm ng'ombe yanataka kuwafanya watz wote tuonekane wajinga......

Ndio maana Mungu kamdhusha Tundu Lissu ili kukomesha huu uchafu wa ccm
 
Habari wana JF,

Naomba niwaelimishe, CCM wana utaratibu wao wa siasa. Ndio walijiwekea kitu kinaitwa, "kuanza kampeni kabla ya wkt" huko kwao.

Hakuna popote hicho kitu ktk sheria za nchi ya Tanzania, wala haipo ktk kanuni za uchaguzi mkuu za nchi yetu.

Sasa kanuni za CCM nani anataka kulazimisha ziwe eti ndio za nchi?!

Hizo ni kanuni za Chama chenu, ndio hizo hizo mlitumia kumkata Lowassa huko mwaka 2015, pamoja na mambo mengine. Hizo ni za CCM, sio za nchi.

CCM ndio huwa mnatuhumiana mambo ya kampeni kabla ya muda.
Acheni kutuharibia nchi kwa kanuni zisizokuwepo.

Nashangaa watu wanashadadia tu.
Membe nae anajisemea eti katafuta wadhamini kimya kimya kuepuka kuvunja kanuni. Zipi?
Yani B. Membe bado anawaza kanuni za CCM kichwani mwake?
Kweli nimeamini ni ngumu sana mtu kusahau asili yake.

Membe, Magufuli na wenzako kajisomeeni tena, hiyo ni sheria yenu kwenye makabrasha ya CCM; haipo ktk sheria za nchi.

Full stop

Tofautisheni nchi na CCM.
Punguza sauti kidogo
 
Kwa mtazamo wangu kinachotafutwa hapa sio Lissu, bali ni mkakati wa magufuli kubaki madarakani kwa muda wa ziada.
CCM walisha tafuta namna ya kumuongezea muda m/kiti wao kubaki madarakani, lakini kwa kuwa katiba hairuhusu na kubadilisha katiba si kipaumbele cha m/kiti wao, sasa wanakuja na mbinu nyingine. Wanajua si Rahisi kumyumbisha Lissu katika mambo ya kisheria hivyo wanataka kupindisha sheria, na wanajua wakifanya hivyo Lissu atakwenda mahakamani kuweka pingamizi la kuzuia uchaguzi adi suala hilo lipatiwe ufumbuzi. Na mahakama haitokataa pingamizi hilo kwa sababu nilakimkakati, hapo ndipo CCM ya Magufuli itakapo jiongezea muda adi mahakama itakapo toa hukumu. Je itachukua muda gani kumaliza kesi hiyo? CCM ndio wanajua.
 
Habari wana JF,

Naomba niwaelimishe, CCM wana utaratibu wao wa siasa. Ndio walijiwekea kitu kinaitwa, "kuanza kampeni kabla ya wkt" huko kwao.

Hakuna popote hicho kitu ktk sheria za nchi ya Tanzania, wala haipo ktk kanuni za uchaguzi mkuu za nchi yetu.

Sasa kanuni za CCM nani anataka kulazimisha ziwe eti ndio za nchi?!

Hizo ni kanuni za Chama chenu, ndio hizo hizo mlitumia kumkata Lowassa huko mwaka 2015, pamoja na mambo mengine. Hizo ni za CCM, sio za nchi.

CCM ndio huwa mnatuhumiana mambo ya kampeni kabla ya muda.
Acheni kutuharibia nchi kwa kanuni zisizokuwepo.

Nashangaa watu wanashadadia tu.
Membe nae anajisemea eti katafuta wadhamini kimya kimya kuepuka kuvunja kanuni. Zipi?
Yani B. Membe bado anawaza kanuni za CCM kichwani mwake?
Kweli nimeamini ni ngumu sana mtu kusahau asili yake.

Membe, Magufuli na wenzako kajisomeeni tena, hiyo ni sheria yenu kwenye makabrasha ya CCM; haipo ktk sheria za nchi.

Full stop

Tofautisheni nchi na CCM.

Mbona mnajipa kazi isiyowahusu, kwanini mnataka kuilisha NEC maneno?? Mbona ni Chadema tu na Lissu Ndio wanaojihisi?? Acheni visingizio visivyo na kichwa wala miguu, kujihami ni dalili ya kutaka uonewe huruma, je mnataka huruma kutoka kwa nani hasa?? Watanzania au Mabeberu?
 
Tatizo la kuwa CCM hata kujisomea washaacha, wao kukicha ni mapambio ya kusifu na kuabudu!!
 
Back
Top Bottom