Maana ya mburumatale ni ipi, mkarukaMajina yanakuwa na maana Chikaka
Mkuu hata mimi hili nimelisema sana. Katika sheria 18 za NEC Taifa hakuna kanuni hata moja inayosema mtia nia kuanza kampeni mapema ni kuvunja sheria, hizo sheria ziko kwenye utaratibu wa CCM.Wajinga Sana hawa CCM, wanawaimbisha kutwa kucha WaTz kanuni zisizokuwepo.
Tangu lini kanuni ya chama CCM ikawa ya nchi.?!
Punguza sauti kidogoHabari wana JF,
Naomba niwaelimishe, CCM wana utaratibu wao wa siasa. Ndio walijiwekea kitu kinaitwa, "kuanza kampeni kabla ya wkt" huko kwao.
Hakuna popote hicho kitu ktk sheria za nchi ya Tanzania, wala haipo ktk kanuni za uchaguzi mkuu za nchi yetu.
Sasa kanuni za CCM nani anataka kulazimisha ziwe eti ndio za nchi?!
Hizo ni kanuni za Chama chenu, ndio hizo hizo mlitumia kumkata Lowassa huko mwaka 2015, pamoja na mambo mengine. Hizo ni za CCM, sio za nchi.
CCM ndio huwa mnatuhumiana mambo ya kampeni kabla ya muda.
Acheni kutuharibia nchi kwa kanuni zisizokuwepo.
Nashangaa watu wanashadadia tu.
Membe nae anajisemea eti katafuta wadhamini kimya kimya kuepuka kuvunja kanuni. Zipi?
Yani B. Membe bado anawaza kanuni za CCM kichwani mwake?
Kweli nimeamini ni ngumu sana mtu kusahau asili yake.
Membe, Magufuli na wenzako kajisomeeni tena, hiyo ni sheria yenu kwenye makabrasha ya CCM; haipo ktk sheria za nchi.
Full stop
Tofautisheni nchi na CCM.
Zitakuwa zile za kununua, kuungaunga, kuibaWanCcm sijui degree zao walizipataje aisee
We uoni mpaka wengine wanadiriki kumwita yethu😂😂😂Ina maana madikteta wanatabia za kumiliki hadi watu?
Nataka waliosoma hicho kitabu wanikumbushe go.Maana ya mburumatale ni ipi, mkaruka
Kwa mtazamo wangu kinachotafutwa hapa sio Lissu, bali ni mkakati wa magufuli kubaki madarakani kwa muda wa ziada.Habari wana JF,
Naomba niwaelimishe, CCM wana utaratibu wao wa siasa. Ndio walijiwekea kitu kinaitwa, "kuanza kampeni kabla ya wkt" huko kwao.
Hakuna popote hicho kitu ktk sheria za nchi ya Tanzania, wala haipo ktk kanuni za uchaguzi mkuu za nchi yetu.
Sasa kanuni za CCM nani anataka kulazimisha ziwe eti ndio za nchi?!
Hizo ni kanuni za Chama chenu, ndio hizo hizo mlitumia kumkata Lowassa huko mwaka 2015, pamoja na mambo mengine. Hizo ni za CCM, sio za nchi.
CCM ndio huwa mnatuhumiana mambo ya kampeni kabla ya muda.
Acheni kutuharibia nchi kwa kanuni zisizokuwepo.
Nashangaa watu wanashadadia tu.
Membe nae anajisemea eti katafuta wadhamini kimya kimya kuepuka kuvunja kanuni. Zipi?
Yani B. Membe bado anawaza kanuni za CCM kichwani mwake?
Kweli nimeamini ni ngumu sana mtu kusahau asili yake.
Membe, Magufuli na wenzako kajisomeeni tena, hiyo ni sheria yenu kwenye makabrasha ya CCM; haipo ktk sheria za nchi.
Full stop
Tofautisheni nchi na CCM.
Hahaha sawa watakukumbushako go.Nataka waliosoma hicho kitabu wanikumbushe go.
Maadili aliyakiuka Jiwe, kwa kununua JOGOO KWA LAKI MOJA.wayajua maadili ya uchaguzi.weye?? acha kutetea usilolijua
Habari wana JF,
Naomba niwaelimishe, CCM wana utaratibu wao wa siasa. Ndio walijiwekea kitu kinaitwa, "kuanza kampeni kabla ya wkt" huko kwao.
Hakuna popote hicho kitu ktk sheria za nchi ya Tanzania, wala haipo ktk kanuni za uchaguzi mkuu za nchi yetu.
Sasa kanuni za CCM nani anataka kulazimisha ziwe eti ndio za nchi?!
Hizo ni kanuni za Chama chenu, ndio hizo hizo mlitumia kumkata Lowassa huko mwaka 2015, pamoja na mambo mengine. Hizo ni za CCM, sio za nchi.
CCM ndio huwa mnatuhumiana mambo ya kampeni kabla ya muda.
Acheni kutuharibia nchi kwa kanuni zisizokuwepo.
Nashangaa watu wanashadadia tu.
Membe nae anajisemea eti katafuta wadhamini kimya kimya kuepuka kuvunja kanuni. Zipi?
Yani B. Membe bado anawaza kanuni za CCM kichwani mwake?
Kweli nimeamini ni ngumu sana mtu kusahau asili yake.
Membe, Magufuli na wenzako kajisomeeni tena, hiyo ni sheria yenu kwenye makabrasha ya CCM; haipo ktk sheria za nchi.
Full stop
Tofautisheni nchi na CCM.
Tatizo la kuwa CCM hata kujisomea washaacha, wao kukicha ni mapambio ya kusifu na kuabudu!!
Uyo Membe ni suala la muda tu, atarudi alipotokaBenard Membe ni mwanaccm aliyepoa makali, ila damu yake yote ina uccm, akili yake inawaza ccm.
Ukimuangalia amekaa kiujanja ujanja tu.Uyo Membe ni suala la muda tu, atarudi alipotoka
Na yale macho yake akiwa anaongea utamjua tu kuwa huyu si yeyeUkimuangalia amekaa kiujanja ujanja tu.
Wazo zuri sana hili naunga mkono.Ifike wakati sasa somo la SHERIA liwe compulsory!