okey ni.namba 13 kuhususiana na mapingamizi, jiongeze tena ujiite CWT kabisa ili uendane sawa na hobi yako ya kikekikeMaadili ya uchaguzi ni wkt wa kuanza kwa wagombea, na hakuna kitu kama hicho saivi. Wewe ni MATAGA hujui hata kanuni moja.
Weka hapa hiyo kanuni...
Mnaudhi sana nyie CCM.
Mkuu, naona unadunga sindano kwenye kidonda. Lazima akuelewe tu. Swali lenyewe kauliza kinyoooooooonge kuonyesha ukweli ameupata. Kidogo kidogo tutaelewana tu.Uchaguzi upi. Wa CCM au wa Nchi?
Swali ni, Je, kama tume ya Taifa ya uchaguzi NEC nayo ikaingia mkenge ikazichukua hizo taratibu na kuzifanyia kazi, nini itakua suluhisho la huu mgogoro?CCM ndio watakuwa wa kwanza kuharibu nchi yetu na kutuvuruga.
Wanalazimishaje kanuni Zao za ndani ndio ziwe za nchi.?!
Ajabu sana.
Tatizo ni ule mfumo wa enzi ya chama kimoja. Huo mfumo kutoka vichwani mwa watu, inataka akili kubwa. Kwa wale wenye akili ndogo huwezi kuwabadilisha mawazo yao.Yan MaCCM huwa yanatuaminisha kuwa Wajumbe wa Nyumba 10 pia ni Viongozi wa Serikali[emoji3]
Haipo, tafuteni nyingine..Hivi ni kweli hii kwamba hii kanuni haipo??!!,yaani mmenikata stimu,nilijua tundu lisu tutambania hii kanuni....π«π«π«
Kwani Tundu Lisu anaogopwa hadi kutafuta namna ya kumkata? Kura zake ambazo hazitatosha ndani ya sanduku la kura hazifai kumkata? Kwanini ukatwe stimu?Hivi ni kweli hii kwamba hii kanuni haipo??!!,yaani mmenikata stimu,nilijua tundu lisu tutambania hii kanuni....[emoji31][emoji31][emoji31]
Si wamuache kama atapungukiwa kura, ndo tutajua.Kwani Tundu Lisu anaogopwa hadi kutafuta namna ya kumkata? Kura zake ambazo hazitatosha ndani ya sanduku la kura hazifai kumkata? Kwanini ukatwe stimu?