Watanzania fuatilieni kinachoendelea DRC. Hali kwa majirani zetu ni mbaya, ya hatari sana

Watanzania fuatilieni kinachoendelea DRC. Hali kwa majirani zetu ni mbaya, ya hatari sana

..kwanini tusiondoe askari wetu DRC?

..kama Tsishekedi anataka ulinzi akawakodishe Wagner, au Blackwater, wamsaidie.

..Jwtz wamekuwa Congo kwa nafasi tofauti tangu enzi za Mzee Kabila, mpaka leo bado tupo tu.

..Kwa maoni yangu, jeshi la Congo halifundishiki, na halisaidiki.
Tatizo kubwa la Congo ni "weak state", hawa wanajeshi wa DRC hata mgambo wanaweza kuwatandika tu.
 
..kuwasambaratisha m23 inabidi ku-commit askari wengi kama alivyofanya Robert Mugabe / Zimbabwe walipokwenda kumsaidia Mzee Kabila.

..kuituliza DRC kunahitaji jeshi, na sio kikosi, kwenda kupigana vita, siyo kufanya operation ya muda mfupi.

..Maraisi wengi walioko madarakani ni raia, na waoga, wasioweza kuamrisha majeshi yao yaingie vitani.

..Nchi zenye viongozi wanaoweza kuamrisha majeshi yaingie vitani kwa sasa hivi ni Rwanda, Uganda, na South Sudan, ambao Maraisi wao wana historia ya kushiriki vita.
Hivi Museveni Ameshawahi Kuvaa Gwanda? Sikua Nalifahamu Hili!
 
Hivi Museveni Ameshawahi Kuvaa Gwanda? Sikua Nalifahamu Hili!

..Museveni alikuwa kiongozi wa waasi wa Uganda miaka ya 80. Alishiriki vita vya msituni. Sasa mchango wake ktk uwanja wa mapambano ulikuwa mkubwa kiasi gani hilo bado sijatafiti.
 
Kuingia Goma kutokea Bukavu ni kipengele sababu miji hii inatenganishwa na ziwa Kivu.

Hapa wanatakiwa kuingilia Nyiragongo. Uzuri hesabu za kuingilia wapi hazipo sababutayari wapo Gomba.

Kinachotakiwa ni kuwapelekea kipigo cha haja, lazima tu watarudi nyuma na mji pekee watakao retreat ni Gisenyi.

Wakikimbilia Gisenyi , maana yake tayari wapo Rwanda (na siku zote ndipo wanapotokea na kukimbilia). Hapa watatakiwa kuongeza nguvu na kasi ya mashambulizi na kutojali mpaka, maana yake na wenyewe watavuka, wakivuka Rwanda itapaniki na kujibu, kitedo cha kujibu inakuwa tayari wameshai drug rasmi Rwanda vitani.

Rwanda ikishakuwa rasmi in war mode, na wenyewe wana activate vikosi vilivyopo kule Bukavu ili viingie Rwanda wakiuvuka mto Ruzizi. Hapo ngoma inakuwa inogile.

Ili Goma itulie inatakiwa watu anaoweza kujitoa ufahamu. Ukijifanya ni mtu wa kutaka ku make sense kamwe eneo lile halitatulia.

Siku zote M23 wakizidiwa, mji wanaokimbilia ni Gisenyi, wakikimbilia Gisenyi wanawaacha. Yaani majeshi ya waasi wakimbilie nchi nyingine na silaha zao halafu nchi hiyo inabaki kiwaaminisha kuwa haihusiki? Ujinga huu.

Ku deal na Kagame inahitaji watu wanaoweza kujifyatua akili kama JK na General Mwakibolwa, an Kagame akishajua anakabiliana watu wa aina ile huwa anakuwa muoga sana. Huufyata mapema.
Tshekedi ni kiongozi wa hovyo sana anashindwaje kuoganise majeshi yake kufanya hivyo, ukishaona kiongozi anaingiliwa mpaka chumbani mwake ujue ni wa hovyo sana
 
Tanzania hakuna jeshi la kupambana na M23,
Ili Goma itulie ni lazima......... Asiwepo madarakani.
Kustawisha nchi kwa kutumia damu za wasio na hatia, evils of the world, it's must backfire karma must work
 
..Museveni alikuwa kiongozi wa waasi wa Uganda miaka ya 80. Alishiriki vita vya msituni. Sasa mchango wake ktk uwanja wa mapambano ulikuwa mkubwa kiasi gani hilo bado sijatafiti.
Asante kwa Taarifa Mkuu
 
Back
Top Bottom