Trump alishasema ni "shithole countries"!Wakuu wa dunia wapo upande upi katika hii vita?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Trump alishasema ni "shithole countries"!Wakuu wa dunia wapo upande upi katika hii vita?
Mkuu unataka kusema uko site mpk muda huu, au unamfyeka Kwa njia ya keyboard?MmammmAee tumfyeeke tu mpaka kwake hawezi kuuwa wakina mama na watoto wasio na Hatia .....This time TUMFUNDISHE NAMNA Y kuwa BINADAMU .....No No No imetosha!!!
Kwa hiyo hapa unashauri nini? Kama wakae mbali wahame nchi?Hapo Wananchi wa Kongo wakae mbali hiyo ni Vita ya Mafisadi ndani ya Serikali ya congo.
Sio vita dhidj ya wananchi.
Ni muhimu sana Wacongo kama raia wasijihusishe na mambo yasiyowahusu
Wasijihusishe na vita vya matajiri na viongozi wakati wao ni wanyonge hawanufaiki na chochote kwenye vita hiyoKwa hiyo hapa unashauri nini? Kama wakae mbali wahame nchi?
Hahaha..wanaojadili vita vya Ukraine, Gaza, Iran, siwaoni hapa. WHY?
WAZO ZURI CHISEKEDI ATUPE MATRANKA YA DHAHABU KAMA 20 HIVI KILA MWAKA. TUMSAIDIE KUWEKA KAMBI HATA NNE HAPO ESTERN CONGO!!!Jeshi letu linawasaidia Wacongo lakini na wenyewe inatakiwa wajitambue. Haiingii akilini nchi yenye utajiri na diaspora wengi miji yake kutekwa na kikundi tu cha watu. Congo kama wako serious waingie mkataba na Tanzania na South Africa ili kwa malipo/makubaliano maalum tuwalinde walau kwa muda wa miaka 20 huku wakiendelea kujenga upya mifumo yao ya kiuulinzi. Vinginevyo Tanzania na South Africa nazo zitauchoka mgogoro huu na hapo ndipo Congo itakapo pata hasara kubwa zaidi.
Sasa hivi MONUSCO na FLDR INTERAHAMWE SADC na Jeshi la DRC wanapigana bega kwa bega ili kuwarudisha Rwanda Raia wa Wakongo wenye asili ya Kitutsi.Blood money,
Nashauri drone zitumike zaidi.
Unaweza kuthibitisha uusika wa kagame??Inachukua congo Sasa kwanini mnakataa kagame hausiki
Fake news!!Ni wazi sasa tunapigana VITA na huyu Nyoka aliye pembeni na sisi!!!
LIVE UPDATES:
Tumewafyeka n sasa wakimbia kumapori na Goma ipo salama kabisa .BM masàa 7 bila kupumzika zimefanya kazi nzuri huku ni mizoga tu ikipigwa n mvua ....salamu mpaka Kigali
Kipindi wanapigwa enzi kikwete na alibweka zaidi kuhusu m23.Unaweza kuthibitisha uusika wa kagame??
Rwanda hausiki na kinacho endelea kongoSasa hivi MONUSCO na FLDR INTERAHAMWE SADC na Jeshi la DRC wanapigana bega kwa bega ili kuwarudisha Rwanda Raia wa Wakongo wenye asili ya Kitutsi.
Halafu kuna watu wanailaumu Rwanda.
Shida hapo ni Nan sasa kagame , wazungu au wakongo wenyeweNimetoka hapo peacekeeper lakin withn few days nitalud tena hali inatia simanzi sana
Lakin wananch wanaish kwa iman kubwa na peacekeeping.......Za UN,Sadic,monusco
Lakin kwa mikakati hawatoweza ikamata kivu yote .......
Na nini?Wawe tu makini 🙏
Tujuze mkuu si muingie mpaka kaikulu kake ka hapo kigali. Napo mumtembezee fyekeeo mwanzo mwishoNi wazi sasa tunapigana VITA na huyu Nyoka aliye pembeni na sisi!!!
LIVE UPDATES:
Tumewafyeka n sasa wakimbia kumapori na Goma ipo salama kabisa .BM masàa 7 bila kupumzika zimefanya kazi nzuri huku ni mizoga tu ikipigwa n mvua ....salamu mpaka Kigali
Uzuri na sisi vita tunaijua vyedi acha kututisha akiambiwa na JK atukie la sivyo kamkoa hako tunakachukua akatulia shwaaaaKP Kakulia vitani kwa taarifa yako na ashakuwa mkuu wa kitengo cha intelligence jeshi la uganda
KP anajua vita kapigana vita maisha yake yote, sasa nyie nendeni kichwa kichwa Mtajua hamjui😁😁😁
Jamaa kawekeza sana kwenye military spy military technology na anaijua vizur East Africa;
Sasa nyie nendeni kichwa kichwa mtachinjwa kama kuku😁😁😁
Mnavomsifiaga huyo PK kama Mungu Kumbe ushubwada tu.KP Kakulia vitani kwa taarifa yako na ashakuwa mkuu wa kitengo cha intelligence jeshi la uganda
KP anajua vita kapigana vita maisha yake yote, sasa nyie nendeni kichwa kichwa Mtajua hamjui😁😁😁
Jamaa kawekeza sana kwenye military spy military technology na anaijua vizur East Africa;
Sasa nyie nendeni kichwa kichwa mtachinjwa kama kuku😁😁😁