Nkaburu
JF-Expert Member
- Mar 23, 2023
- 1,638
- 1,961
MhhNi wazi sasa tunapigana VITA na huyu Nyoka aliye pembeni na sisi!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MhhNi wazi sasa tunapigana VITA na huyu Nyoka aliye pembeni na sisi!!!
Mkishawaweka mtu kati, ni mizinga tu mfululizo, kama mna drone is much better maana drone hupiga picha na kurudisha mrejesho, Umakini muhimu sana, mzalendo, kila la kheri. The hero!Tuombeeni tu. Hao wajinga tunawazunguka katikati kisha tuwape kibano.
Wengine wanaingilia upande wa Bukavu na baadhi tunawapelekea moto kuanzia huu upande wa Goma.
Na wakileta ujinga tunaingia hadi Gisenyi kwake na anayewapa kiburi.
Ok, nimeona wachina wakiwa wanataka kufungwa jela kuhusiana na migodi / could be that!Hata Donald Trump ni Dictator tyu. Na ameshasema, watashughulikia wachina kwanza, halafu waje kulokota "rare earth" minerals.
Hizi sio vita zamasikini.
Wenyewe banakunywa kofi
Wapo upande wa M23. Na Hilo lipo wapo wazi kabisa na ndiyo maana kimbau mbau analeta ujeuriWakuu wa dunia wapo upande upi katika hii vita?
Sheria tu za kimataifa zinawabeba ndiyo maana mnajiona mnaweza sana. Tanzania madini si yapo pia mbona amvamii Kama mlivyovamia congo?.Kuna kipindi mlibanikwa kama ndafu mmeshasahau 😁😁
Hapawezekani hata kidogo.hawa ndugu zetu watarudi na vilema ila wanalipwa.Ku Control Nchi Likubwa Vile, Tena Limeshaingia Kwenye Machafuko kweli Sio Rahisi
TOKEA MWANZO UNATETEA HUO UJINGAKP Kakulia vitani kwa taarifa yako na ashakuwa mkuu wa kitengo cha intelligence jeshi la uganda
KP anajua vita kapigana vita maisha yake yote, sasa nyie nendeni kichwa kichwa Mtajua hamjui😁😁😁
Jamaa kawekeza sana kwenye military spy military technology na anaijua vizur East Africa;
Sasa nyie nendeni kichwa kichwa mtachinjwa kama kuku😁😁😁
Kuna kipindi mlibanikwa kama ndafu mmeshasahau 😁😁
Hiyo ni failure ya mwalimu!..Kwa maoni yangu, jeshi la Congo halifundishiki, na halisaidiki.
Inasikitisha sana.Madikteta wanasababisha shida sana hapa duniani. Shida zote hizi ni Kagame.
Madikteta aina ya Putin na Kagame wanatakiwa kupingwa kwa nguvu zote.
Alipoambiwa afanye hivyo na Kikwete, alikataa kata, akaonesha kukereka Hadi kumtukana.Kagame anaishauri serikali ya Congo ifanye mazungumzo na M23, sijui kama yeye anaweza kufanya mazungumzo na FDLR
Coward?. ....PK anasingiziwa tuu. Ongea na wanajeshi walioko watakupa mkanda kamili. Hiyo vita ni mtaji wa nchi kubwa, hata hao wanajeshi wanaoenda kulinda huko ukionekana unapeleka moto sana kwa M23. Wanakuua wewe hao walinda amani wenzako! Anyway nisiingie ndani sana ninawatoto wananitegemea
Watanzania mlivyo walaini walaini thubutuni mchakazweTuombeeni tu. Hao wajinga tunawazunguka katikati kisha tuwape kibano.
Wengine wanaingilia upande wa Bukavu na baadhi tunawapelekea moto kuanzia huu upande wa Goma.
Na wakileta ujinga tunaingia hadi Gisenyi kwake na anayewapa kiburi.
Kuingia Goma kutokea Bukavu ni kipengele sababu miji hii inatenganishwa na ziwa Kivu.Tuombeeni tu. Hao wajinga tunawazunguka katikati kisha tuwape kibano.
Wengine wanaingilia upande wa Bukavu na baadhi tunawapelekea moto kuanzia huu upande wa Goma.
Na wakileta ujinga tunaingia hadi Gisenyi kwake na anayewapa kiburi.
Congo wawe serious na mambo yao. M 23 walipofurushwa 2014?, ilibidi waandamwe huko walikokimbilia wanyimwe nafasi ya kupumua...kuwasambaratisha m23 inabidi ku-commit askari wengi kama alivyofanya Robert Mugabe / Zimbabwe walipokwenda kumsaidia Mzee Kabila.
..kuituliza DRC kunahitaji jeshi, na sio kikosi, kwenda kupigana vita, siyo kufanya operation ya muda mfupi.
..Maraisi wengi walioko madarakani ni raia, na waoga, wasioweza kuamrisha majeshi yao yaingie vitani.
..Nchi zenye viongozi wanaoweza kuamrisha majeshi yaingie vitani kwa sasa hivi ni Rwanda, Uganda, na South Sudan, ambao Maraisi wao wana historia ya kushiriki vita.