Watanzania fuatilieni kinachoendelea DRC. Hali kwa majirani zetu ni mbaya, ya hatari sana

Watanzania fuatilieni kinachoendelea DRC. Hali kwa majirani zetu ni mbaya, ya hatari sana

Tuombeeni tu. Hao wajinga tunawazunguka katikati kisha tuwape kibano.

Wengine wanaingilia upande wa Bukavu na baadhi tunawapelekea moto kuanzia huu upande wa Goma.

Na wakileta ujinga tunaingia hadi Gisenyi kwake na anayewapa kiburi.
MmammmAee tumfyeeke tu mpaka kwake hawezi kuuwa wakina mama na watoto wasio na Hatia .....This time TUMFUNDISHE NAMNA Y kuwa BINADAMU .....No No No imetosha!!!
 
Wakuu wa dunia wapo upande upi katika hii vita?
Hawapo upande wowote, wanaangalia maslahi ya makampuni yao yanayovuna raslimali za wakongo.
Makampuni ya mababeru hulipa serikali na waasi ili kufanikisha mambo yao.
Vita siku zote hupiganwa kwa sababu ya madaraka (serikali) au maslahi ya kiuchumi (mabeberu/wakoloni).
Mabeberu siku zote wanavuna Kongo kwa kusaidia serikali au waasi kutegemea nani mwenye nguvu eneo husika.
 
Tuombeeni tu. Hao wajinga tunawazunguka katikati kisha tuwape kibano.

Wengine wanaingilia upande wa Bukavu na baadhi tunawapelekea moto kuanzia huu upande wa Goma.

Na wakileta ujinga tunaingia hadi Gisenyi kwake na anayewapa kiburi.
Mmaee tumfyeeke tu mpaka kwake hawezi kuuwa wakina mama na watoto wasio na Hatia .....This time TUMFUNDISHE NAMNA Y kuwa BINADAMU .....No No No imetosha

Hawa walijiaanda ikibidi tuwachakaze pande zote MBILI
 
Tuombeeni tu. Hao wajinga tunawazunguka katikati kisha tuwape kibano.

Wengine wanaingilia upande wa Bukavu na baadhi tunawapelekea moto kuanzia huu upande wa Goma.

Na wakileta ujinga tunaingia hadi Gisenyi kwake na anayewapa kiburi.
Sasa mbona unauza mbinu za kivita?? Huko kombania gani mkuu 😹😹
Tunataka kuona mnawapelekea moto sio kuvunja matofali tyuu huku 9 december 🤣
 
Tuombeeni tu. Hao wajinga tunawazunguka katikati kisha tuwape kibano.

Wengine wanaingilia upande wa Bukavu na baadhi tunawapelekea moto kuanzia huu upande wa Goma.

Na wakileta ujinga tunaingia hadi Gisenyi kwake na anayewapa kiburi.
Kuna kipindi mlibanikwa kama ndafu mmeshasahau 😁😁
 
Yaani huyo kagame form four liver ana uwezo wa kupambana na PhD ya viongozi wetu kama hajapigwa mpaka anyooke na kupinduliwa juu japokuwa tutajua amepandikiza watu mpaka ikulu
KP Kakulia vitani kwa taarifa yako na ashakuwa mkuu wa kitengo cha intelligence jeshi la uganda

KP anajua vita kapigana vita maisha yake yote, sasa nyie nendeni kichwa kichwa Mtajua hamjui😁😁😁
Jamaa kawekeza sana kwenye military spy military technology na anaijua vizur East Africa;

Sasa nyie nendeni kichwa kichwa mtachinjwa kama kuku😁😁😁
 
Hivi wameshamsahau Membe muda mfupi baada ya kufatiki. Wanasema hakuna jeshi la kuwatisha mbona JWT waliwagonga wakakimbia. Sema Samia hana maamuzi magumu, angekuwa Msoga enzi zile angewagonga
 
Tuombeeni tu. Hao wajinga tunawazunguka katikati kisha tuwape kibano.

Wengine wanaingilia upande wa Bukavu na baadhi tunawapelekea moto kuanzia huu upande wa Goma.

Na wakileta ujinga tunaingia hadi Gisenyi kwake na anayewapa kiburi.
PK anasingiziwa tuu. Ongea na wanajeshi walioko watakupa mkanda kamili. Hiyo vita ni mtaji wa nchi kubwa, hata hao wanajeshi wanaoenda kulinda huko ukionekana unapeleka moto sana kwa M23. Wanakuua wewe hao walinda amani wenzako! Anyway nisiingie ndani sana ninawatoto wananitegemea
 
..kwanini tusiondoe askari wetu DRC?

..kama Tsishekedi anataka ulinzi akawakodishe Wagner, au Blackwater, wamsaidie.

..Jwtz wamekuwa Congo kwa nafasi tofauti tangu enzi za Mzee Kabila, mpaka leo bado tupo tu.

..Kwa maoni yangu, jeshi la Congo halifundishiki, na halisaidiki.
 
Back
Top Bottom