Watanzania fuatilieni kinachoendelea DRC. Hali kwa majirani zetu ni mbaya, ya hatari sana

Tatizo kubwa la Congo ni "weak state", hawa wanajeshi wa DRC hata mgambo wanaweza kuwatandika tu.
 
Hivi Museveni Ameshawahi Kuvaa Gwanda? Sikua Nalifahamu Hili!
 
Hivi Museveni Ameshawahi Kuvaa Gwanda? Sikua Nalifahamu Hili!

..Museveni alikuwa kiongozi wa waasi wa Uganda miaka ya 80. Alishiriki vita vya msituni. Sasa mchango wake ktk uwanja wa mapambano ulikuwa mkubwa kiasi gani hilo bado sijatafiti.
 
Tshekedi ni kiongozi wa hovyo sana anashindwaje kuoganise majeshi yake kufanya hivyo, ukishaona kiongozi anaingiliwa mpaka chumbani mwake ujue ni wa hovyo sana
 
Tanzania hakuna jeshi la kupambana na M23,
Ili Goma itulie ni lazima......... Asiwepo madarakani.
Kustawisha nchi kwa kutumia damu za wasio na hatia, evils of the world, it's must backfire karma must work
 
..Museveni alikuwa kiongozi wa waasi wa Uganda miaka ya 80. Alishiriki vita vya msituni. Sasa mchango wake ktk uwanja wa mapambano ulikuwa mkubwa kiasi gani hilo bado sijatafiti.
Asante kwa Taarifa Mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…