Watanzania hali ya nchi imeshabdilika hivyo mnatakiwa kubadilika haraka iwezekanavyo kama ifuatavyo

Lakini muasisi wetu Nyerere amezingua pakubwa. Aliimarisha zaidi foundation ya chama kimoja (CCM) badala ya kuangilia mustakabali wa taifa.

Hii ndiyo inanifanya nikasirike pale anapomwagiwa sifa zisizo zake.
 
Mbona Zenji kumetulia na walimwaga ya kutosha 2001? Acha porojo mkuu mambo yanaenda kuwa sawa soon! Hizi ni hangover za aliyekosa

Mimi nashauri serikali iwafuatilie wale wenye remote huko huko waliko. Mbona Saud Arabia waliweza?
Ukikua utaelewa tu usiwe na haraka.
Kwa Sasa unajua ila Bado haujaelewa
 
Nafikiri haujaelewa hapo nilipoandika vyombo vyenye weledi kidogo.
Pili Trump na Israel sio wasafi kiasi hicho kiasi kwamba tuwape uhalali wa kuwaamini wanapotuambia kwamba chombo hiki au kile Cha habari hakifai
 
uzuri hili kwa vijana wazalendo wote huo ni utaratibu wao wa kila siku

hili nafikiri ni kwajili ya vibaka waliokua wanataka kuleta vurugu wakishawishiwa na baadhi ya wazee waliokengeuka
Bila shaka kijana mzalendo unaemaanisha ni anayepinga utekaji, mauaji, ufisadi, ufiraji unaofanywa na hao watawala haramu uliopo unaoongozwa na samia
 
Nasubiri kuona hilo andiko
 
Lakini muasisi wetu Nyerere amezingua pakubwa. Aliimarisha zaidi foundation ya chama kimoja (CCM) badala ya kuangilia mustakabali wa taifa.

Hii ndiyo inanifanya nikasirike pale anapomwagiwa sifa zisizo zake.
Upo sahihi, Mzee Nyerere Kuna vitu alishaona ni vibaya kitaifa kama visipobadilishwa ila hakufanya hivyo kubadilisha na kitu hicho ni katiba.
Katiba yetu ni nzuri kama tutapata raisi mzalendo haswa, mpinga ufisadi, anayejali wananchi na rasilimali n.k
Ila katiba yetu inageuka mwiba mkali kwetu tukipata raisi fisadi, mtekaji, muuaji n.k kama alivyo samia sasa
 
Kulikua na haja gani kutaja pombe mkuu.
Pombe hata Mimi pia natumia,
ila pombe ni chanzo kikubwa Cha upotevu wa pesa, muda n.k
Pia pombe ni chanzo Cha magonjwa mengi kama Pressure, Figo, Ini, Kisukari, Ukimwi n.k
Hivyo kwa kipindi cha tahadhari kama hiki ni vyema kupunguza sana au kuacha kabisa kutumia pombe
 
Nmekusoma mkuu, na uko sahihi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…