Watanzania hali ya nchi imeshabdilika hivyo mnatakiwa kubadilika haraka iwezekanavyo kama ifuatavyo

Mkuu,
Umetisha, tayari nime copy na ku paste mahali salama, baadaye nitai digest hii dossier taratiiibu.

I hope wengine wataisoma pia.

Asante
 
Mkuu,
Umetisha, nime copy na ku paste mahali tayari, baadaye nitai digest hii dossier taratiiibu.

I hope wengine wataisoma pia.

Asante
Huo uzi kila nikiupandisha kwa vichwa vya habari tofauti JF wanaushusha.
Nauweka kwenye comment mbalimbali tu sasa
 
Mimi sijaupata mkuu hata kwenye comments fanya ku edit upande nao tupate madini kamili
 
Mkuu umetisha. Umemaliza kila kitu. Hawa jamaa wanapofikiri hivi kumbe wengine wanawaza vile.

Unapofikiri unaweza kuzuia mlipuko wa volcano, usilipuke basi jiandae kwa madhara makubwa zaidi.
 
Mkuu,
Umetisha, nime copy na ku paste mahali tayari, baadaye nitai digest hii dossier taratiiibu.

I hope wengine wataisoma pia.

Asante
Mkuu una tool yoyote uiweke hii text katika mfumo wa audio (AI)
 
Lakini muasisi wetu Nyerere amezingua pakubwa. Aliimarisha zaidi foundation ya chama kimoja (CCM) badala ya kuangilia mustakabali wa taifa.

Hii ndiyo inanifanya nikasirike pale anapomwagiwa sifa zisizo zake.
Hasa kwenye hili la muungano alizingua sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…