Sio siasa sema ufisadi ni Biashara haramu inayofanywa na wanasiasa.Tanzania ni nchi ya ajabu sana. Siasa ni biashara kubwa sana kuzidi biashara zingine.
Nchi yetu hii ndugu, hatuna nchi nyingine bali Tanzania pekee.Mkuu umetisha. Umemaliza kila kitu. Hawa jamaa wanapofikiri hivi kumbe wengine wanawaza vile.
Unapofikiri unaweza kuzuia mlipuko wa volcano, usilipuke basi jiandae kwa madhara makubwa zaidi.
Kusema ukweli Nyerere hakuwa mtu wa kutafuna Mali ya uma. Mtafunaji mkubwa ni Jakaya na nahisi ndiyo anayemshinikiza kubakiza madarakani Ili apate mwanya wa kuiba kirahisi.Sio siasa sema ufisadi ni Biashara haramu inayofanywa na wanasiasa.
Sababu kama siasa zinafaida mtu wa kwanza alitakiwa kuwa bilionea kwa njia ya siasa ni Mzee Nyerere aliekua raisi kwa miaka zaidi ya 20 na aliachia madaraka kwa hiali yake,
lakini hadi leo familia yake wanauchumi wa kawaida
Amini usiamini 😎.Uongo
Kuna Uzi humu niliandika kwamba jakaya ni mbuyu mkubwa ulioficha mashetani, wachawi na majambazi ambao wanafisadi mali za nchi, utekaji na mauaji kwa watanzania.Kusema ukweli Nyerere hakuwa mtu wa kutafuna Mali ya uma. Mtafunaji mkubwa ni Jakaya na nahisi ndiyo anayemshinikiza kubakiza madarakani Ili apate mwanya wa kuiba kirahisi.
Jakaya Yuko tayari kumweka taahira kama raisi (kwa sababu ana ushawishi huo) ili yeye na familia yake aendelee kunufaika.Kuna Uzi humu niliandika kwamba jakaya ni mbuyu mkubwa ulioficha mashetani, wachawi na majambazi ambao wanafisadi mali za nchi, utekaji na mauaji kwa watanzania.
Hivyo mbuyu huo utakapokatwa na watanzania au kuanguka kwa neema za Mungu na hayo mashetani, wachawi na majambazi waliojificha watapotea.
We Cheka tu!😂😂😂😂😂
Kwa kifupi jakaya ndio tatizo kuu la hii nchi ndio maana nikamuita mbuyu unaohifadhi mashetani, wachawi, majambazi, mafisadi n.kJakaya Yuko tayari kumweka taahira kama raisi (kwa sababu ana ushawishi huo) ili yeye na familia yake aendelee kunufaika.
Magufuli alimpoteza Jakaya kwenye ramani hadi huruma ndiyo maana alifanya juhudi zote kumwangamiza Magu hadi akafanikiwa.
Ukitaka kuamini hilo angalia jinsi Samia alivyoanza akwenda kinyume na yale aliyokuwa akiyafanya Magu muda mfupa baada ya kutwaa madaraka.
Hilo unalosema halina pingamizi mkuu. Jamaa anamseti Riziwani awe Rais kuanzia 2030.Kwa kifupi jakaya ndio tatizo kuu la hii nchi ndio maana nikamuita mbuyu unaohifadhi mashetani, wachawi, majambazi, mafisadi n.k
Huyo Mzee anatamaa isiyo kawaida huyo hadi kijijini kwake msoga wanamchukia kwa roho mbaya yake.Hilo unalosema halina pingamizi mkuu. Jamaa anamseti Riziwani awe Rais kuanzia 2030.
Ukimwona kwa nje unaweza ukasema wa maana, ndani ana roho ya kutu sana huyu Mzee.Huyo Mzee anatamaa isiyo kawaida huyo hadi kijijini kwake msoga wanamchukia kwa roho mbaya yake.
Ukienda chalinze kwa wakwere wenzake wanamkubali Magufuli kuliko huyo mtu.
Kwa tamaa zake anafikiri ataishi milele.
Huu ulikua wakati wake kufanya Toba kwa umri wake kama ilivyokua kwa Mzee Mwinyi marehemu ila yeye anapuyanga na ufisadi, hovyo kabisa
Ngoja aendelee kumwingiza Chaka chura kiziwi.Hana maana hata kidogo Jakaya, ameichosha hii nchi kwa mambo yake ya hovyo
Tusubiri tuone.Hatari sana