Watanzania hampo kwenye vyuo bora ukanda huu. Kenya na Uganda zaongoza

Mkibanwa huwa mnakimbilia kuinanga CCM as if CCM ndo imeleta njaa nchini kwenu, mnasema nyie mna miradi sio mna miradi sema miradi tuliyofadhiliwa usione aibu [emoji3][emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90]
 
Dah!!!! we ni fala kabisa ,subirini chakula tuwalimie ,endeleeni kujifungia ndani kama mabwana zenu walivyo waambia.
 
Hicho kizungu nilishakisoma zamani sana wakati wewe bado unaokota punje za githeri hapo Kibera.

Ndio maana wala sibabaiki nacho!....

Huko Kenya nasikia hata machokoraa wanaongea kizungu huku wakijipa matumaini kwamba wao ni wasomi... Hahahahaha...
Makenya ya siku hizi ni mamburula wala yasikuongopee, hayajui kingereza wala kiswahili yamekazana kujua lugha za makabila yao, hata muanzisha huu uzi ndugu MAHINA pia hajui kingereza ila angalau kiswahili anakijua jua kdg [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Hicho kizungu nilishakisoma zamani sana wakati wewe bado unaokota punje za githeri hapo Kibera.

Ndio maana wala sibabaiki nacho!....

Huko Kenya nasikia hata machokoraa wanaongea kizungu huku wakijipa matumaini kwamba wao ni wasomi... Hahahahaha...

Haujasoma kingereza, waliosoma kingereza huwa na akili zaidi ya ulivyo, tafuta sehemu upate darasa la kingereza.....hehehe napenda namna English huwakamata hadi raha, kinawatesa sana lakini.
 
Dah!!!! we ni fala kabisa ,subirini chakula tuwalimie ,endeleeni kujifungia ndani kama mabwana zenu walivyo waambia.

Elimu imewagomea, kingereza kimewagomea hehehehe raha sana....
 
Acha kujishongondoa na kudeka. Ona humo minyang'au inavyojifia kwa njaa... hahah....View attachment 1689860

Halafu hizo English medium naskia ni dili sana huko, hata mawaziri na wakulu wote wanahudhuria kimya kimya ili kuepuka aibu ya ze ze ze....
Wewe baki hapo Buza unachelewa...hehehehe
 
Heheheheee nahisi kuogopwa humu ndani kudadadeki, atokee mkunya wa kupinga kwa facts hii [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205][emoji90][emoji90]
 
Kiingereza wanachozungumza hawa nyang'au ni second hand (makapi ya kizungu).

Lafudhi yenyewe ngumu kama kokoto! Sijui lafudhi ya Kikuyu ile? Hahahaaaa....

Kiswahili hawajui. Kizungu hawajui.... ni tafrani.

Huwa nawasikia wanazungumza ile takataka inaitwa sijui sheng... ni kichefuchefu.

Huyu zumbukuku muokota makopo wa kibera MK254 amejifunza Kiswahili humu Jamiiforums— tena kwa mbinde mno!

Mara ya kwanza alikuja na Kiswahili kichefuchefu sana. Kwa sasa anaandika huku kashika kamusi anakopi na kupesti hahahaaa....
 
Sheng ndo nn kwn mana huwa nawaskia hawa kenge wakiongea kuhusu sheng kwn ndo nn?
 
Sema huwa pana aibu fulani lizee lote umekaa unafundishwa kingereza cha msingi, labda ndio maana unapata aibu ya kujiunga, lakini jikaze tu, siku utakijua yaani utajiamini na utapunguza hizi hasira hukuhangaisha kila siku.
 
Hivi unajua unaongea na nani,kwa taarifa yako tuu elimu niliyo nayo ni "official statistics" kwa ngazi ya masters ,ambayo wakenya na waganda uja kusomea Tanzania ,kwa sababu kwenu hakuna ,pia kwa elimu yangu hii naweza fanya kazi NBS yeyote africa.

Nimewaambia muache hasira mkajifunze kingereza.... nenda kasome ndio uje ujibizane na Wakenya.
 
🤣🤣🤣You on a killing spree..... watch out or else bensouda will come for you
 
Nimewaambia muache hasira mkajifunze kingereza.... nenda kasome ndio uje ujibizane na Wakenya.
Icho kiingereza tunakipiga we nyang'au sema hatupendi shobo.kazi tunazofanya Lugha hii kawaida Sana ndo yamazungumzo.wewe piga kelele urudi kambini slums za kibera.
 
Icho kiingereza tunakipiga we nyang'au sema hatupendi shobo.kazi tunazofanya Lugha hii kawaida Sana ndo yamazungumzo.wewe piga kelele urudi kambini slums za kibera.

Chenyewe kilishawakataa...kimewapiga chenga tangu kitambo... kutema yai kuna raha yake asikuambie mtu.
 
Chenyewe kilishawakataa...kimewapiga chenga tangu kitambo... kutema yai kuna raha yake asikuambie mtu.
Niko kalemii-Congo apa nafurahia lingara ya hawa wenyeji ,wanapiga pia kiswahili japo sio kwa lafudhi nzuri.ila wanapenda Sana hii Lugha ,sijutii sababu kiingereza nakitumia kwa kazi na issue ndogondogo mambo mengine Swahili Kama kawa.sasa wewe icho kiingereza unachojua kina kupa pesa ngapi per month?Au ndo inakufanya uwe royal family basi
 
Chenyewe kilishawakataa...kimewapiga chenga tangu kitambo... kutema yai kuna raha yake asikuambie mtu.
Hahahaaa hili jamaa huwa ni jinga sana, huwa linanichekesha sn sometimes [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Ukishabanwa sana unaleta ile Video ya Ombaomba[emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…