Watanzania hatujachelewa; tuwekeze kwenye Cryptocurrencies!

Inakuwaje hizo coins zinapanda thamani hivo? Hakuna udaku kweli kwenye hayo mambo? Hizo coins zinazalisha nini hasa mpaka thamani yake inapanda hivyo?

Je wachina ni wajinga kukataa hizo coins na kuzipiga marufuku??

Nakupa ukweli hapa Doge coin na Shiba inu Tweets ya Elon Musk au Michael Cuban na Snoop dog tu wanaipeleka juu. Kwahio hizo coin mpaka sasa Tweeter za hao niliotaja ndio wanazipazisha. Kwahio kwenye wendaazimu nawe unaweza kuwa mwendazimu na kwenye hela nawe utakuwa na hela.



Lunatic [emoji2957][emoji2957][emoji2957]
 
Cjui kwann, mimi nilitoa uzi wa kupeana coin ambazo n potential tuwekeze chakushangaza ukaja unganisha na uzi miaka tele ya nyuma tena wala haviendani... Ila ipo cku tutaongea lugha moja kuhusu cryptocurrency acha watu wabeze tu
Mkuu nipe muongozo wa coin za kununua.
 
Usd 300 unapata coin ngap sasa mkuu..
 
I see de fly of bitcoin, $57,000/=per one coin

Ila mawazo yangu yananiambia hakuna future nzuri kwa bitcoin ila now ipo ktk its high peak in order to drop deeper
 
I see de fly of bitcoin, $57,000/=per one coin

Ila mawazo yangu yananiambia hakuna future nzuri kwa bitcoin ila now ipo ktk its high peak in order to drop deeper
Mawazo yako mkuu
 
Namm nataka ninunue Shiba Inu ila sijui nijiunge na wallet ipi na jinsi ya kuweka pesa ili ninunue hizo coin msaada tafadhali
 
Mkuu nakufatilia sana nyuzi zako,unajitahidi sana kuwasanua wabongo kuhusu haya mambo,wabongo wanapenda umbeya kuliko elimu
Leo hii kijana wa chuo,anapenda sana anasa,wakati ana uwezo wa kununua hata Tron 100,akaziweka tu kwa miaka 10
 
Namm nataka ninunue Shiba Inu ila sijui nijiunge na wallet ipi na jinsi ya kuweka pesa ili ninunue hizo coin msaada tafadhali
Karibu mkuu hapa ndio tunako nunuaga usd kisha tunazi convert kwenda shibainu au coin yeyoye utakayo. Bonyeza link hii hapo kuji register👇

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…