Watanzania hatujachelewa; tuwekeze kwenye Cryptocurrencies!


Price Update: 01/11/2021

1. Matic Polygon (1.9 usd per coin)

2. Enjin (2.46 usd per coin)

3. Cardano (1.94 usd per coin)

4. Fantom (2.84 usd per coin)

5. Zilliqa (0.107 usd per coin)

Cardano pekee ndio imeshuka kidogo katika hizo sarafu ulizotaja! Respect mkuu, uko vizuri. Kama kuna watu walikuamini na kununua hizo Crypto, basi ungekuta leo hii wameshapiga pesa!!!
 
Pamoja mkuu! Hizi ndizo coin/project ambazo zina future nzuri na bei yake sio mbaya! Lets HODL mpaka kieleweke!
 

Wamekataza muda mrefu lakini bado hizo exchanges zinafanya kazi China! Ni kweli YCC ipo chini ya serikali, lakini wamei-list wapi??? Si kwenye cryptocurrencies exchanges!!! Kama kweli wangetaka kukataza hizo mambo kwao, wangeanza kwa kuondoa sarafu yao kwenye Cryptocurrency exchanges kwanza, labda hapo wangeleta maana!

Hayo maneno yako ya red hayana maana, tunaelimishana tu hapa! Cool down 😎
 
Crackdown za nyuma hazikuzuia shughuli za mining China, kitu ambacho kilikuwa kinazuiwa ni mabenki ya China kufanya exchange za cryptocurrency.

Ni tofauti na marufuku ya sasa ambapo kila kitu kinachohusiana na cryptocurrency ni haramu nchini china ndio maana hiyo huobi imebidi wakimbie.

Kwa hiyo unajaribu kusema digital yuan inafanana na bitcoin?
 

Digital Yuan haifanani na Bitcoin, kwa sababu Bitcoin haisimamiwi na serikali ila Digital Yuan ipo chini ya serikali ya China. Lakini Digital Yuan ni version ya Yuan native currency ambayo imekuwa deployed kwenye mfumo wa blockchain, yaani imekuwa backed na real Yuan currency.

Walichokitaka serikali ya China ni kuwa na sarafu dijiti kwenye mfumo wa Blockchain lakini iwe inasimamiwa na benki ya china, kwahiyo huo ndio utofauti wake na cryptocurrencies za kawaida kwasababu hazisimamiwi na benki yoyote ila digital Yuan inasimamiwa na benki ya China. Yaani walitaka waweze kukocontrol kila muamala utakaofanywa na Digital Yuan na ndio maana ikawa backed na real Yuan, ila imekuwa deployed kwa Blockchain technolgy, tena kwa kutumia Ethereum network.

Iangalie vizuri Digital Yuan kwenye Coinmarketcap utaona SMART CONTRACT yake! Lakini pia unaweza kuiangalia moja kwa moja kwenye Etherscan ili uamini kuwa Digital Yuan ni cryptocurrency.


 
Hip utofauti ndio China anaotaka na lengo kuu ni kudhibiti speculations activities ambazo zimesababisha matatizo mwaka 1997 Huko Asia.

Kwa kifupi Tu hiwezi linganisha digital yuan na currency zingine na siwezi kuita digital yuan ni cryptocurrency Kwa sababu haitumii Blockchain.

Hii ni statement toka Reuters inawekezwa jinsi digital yuan inavyofanya KAZI.

Commercial banks will have a role in distributing the digital currency to users, and to do so they must deposit exactly the same amount of their reserves with the PBOC as the digital yuan they distribute.


Both commercial bank distributors and the central bank will keep databases tracking the flows of digital yuan from user to user, something that they cannot do as effectively with coins or banknotes.


Unlike cryptocurrencies like bitcoin, the digital yuan will not use blockchain, distributed ledger technology which allows transactions to be validated without the need for banks.
Halafu angalia Cryptocurrency.

A cryptocurrency, crypto-currency, or crypto is a collection of binary data which is designed to work as a medium of exchange wherein individual coin ownership records are stored in a ledger which is a computerized database using strong cryptography to secure transaction records, to control the creation of additional coins, and to verify the transfer of coin ownership


Ufanyaji KAZI WA digital yuan na Cryptocurrency ni tofauti kabisa.
 

Nenda youtube kuna video jamaa ameelezea kwa undani kwann ali burn na kwann ali donate baadhi india!

Kwa kifupi ku burn sio kwamba hakuona thamani yake ila alifanya hivyo kama njia ya kusupport shib token.. maana yake ni kwamba alipunguza supply baada kuzichoma!

NB: Unapo muongelea Vitalik sio mtu mwenye njaa jua kwamba ni mvumbuzi wa ETH Coin! So kwake kuchoma au ku donate dola bilioni kadhaa sio shida!
 
Vitalik nimemjua Covid ilivyoanza. Nakubali sana kazi yake ingawa sijaitumia ngoja nimfatilie
 
Nadhani umemsoma haraka haraka. Maswali yako yana majibu kwenye maelezo yake jaribu kurudia
 

Kampuni siku ina collapse, utafanya matanga hapo kwenu
 
Nilitaka kufanya hii business lakini wataalam wa hizi biashara ni wachache na kuijua ya kweli ni ipi maana angalizo ni kubwa wapigaji ni wengi.

Sent from my TECNO B1g using JamiiForums mobile app
 
Tapeli on the beat...
 
Nilikosa kununua Solana ikiwa $20,...niliogopa yaani......ila nikajilipua na DOT akiwa $12.5....anytime is the perfect time to buy cryptocurrencies
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…