PostGE2025 Watanzania hawahitaji maridhiano, nani analazimisha yawepo kwa faida ya nani?

PostGE2025 Watanzania hawahitaji maridhiano, nani analazimisha yawepo kwa faida ya nani?

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Kwani hujui kama serikali ndio inayohitaji maridhiano na kulazimisha wengine waridhiane bila kujua kwanini wanaridhiana?

Tunachotaka kujua walikuwa wanaua ni askari wetu hawa hawa au kuna wengine, na je hao ndugu zetu waliouawa wamezikwa wapi, basi tuyaone hata makaburi yao, unasema tunaishi vizuri bila kujua machungu tuliyonayo, kwani waliouawa ni walikuwa wanaleta vurugu? Kuna madaktari waliuawa, mama wajawazito, kuna askari magereza ameuawa akiwa ametoka msikitini kuswali, Serikali imebanwa ndio inayotaka maridhiano
 
Kitakachokuongezea thamani yako as a humanbeing ni tabia yako, nothing else. Binadamu wote wanazaliwa wakiwa sawa lakini baada ya hapo ni tabia inayozaa vitendo vyake itakayomkweza au mshusha. If you will deside to behave like an animal expect consequencies similar to that of animal treatments .
In a civilized society consequences are determined by laws, not by abducting, killing, sexually abusing or fabricating hoax cases to people who have different opinions from the rulers.
 
In a civilized society consequences are determined by laws, not by abducting, killing, sexually abusing or fabricating hoax cases to people who have different opinions from the rulers.
What is law. Kuna levels na status za ku observe laws. Ignorance and poverty are the two enemies of law. Mjinga na masikini hajui sheria, anapambania the physiological needs.

The Ten commandments zipo lakini wangapi wanaziishi? Why?

Aliyetaka kumpiga risasi Trump walimuua hapohapo, why?
 
Mnataka maridhiano na nani? Kwa kosa gani mlilo lifanya? Tulieni hivyo hivyo ngoma ikivuma sana tunasubiri itakapo pasuka.
Ni ustaarabu wa Rais Samia tu. Hata wakati wa the Cast Iron JPM alikwenda kumtakia heri Mh. LISSU kule hospitalini , aliwarudisha nchini na akamlipa fedha zake. Ni ustaarabu tu.
 
What is law. Kuna levels na status za ku observe laws. Ignorance and poverty are the two enemies of law. Mjinga na masikini hajui sheria, anapambania the physiological needs.

The Ten commandments zipo lakini wangapi wanaziishi? Why?

Aliyetaka kumpiga risasi Trump walimuua hapohapo, why?
Alitaka kumpiga risasi Trump? Je hawa Gen Z waliomiminiliwa risasi walikuwa wanataka kumpiga risasi Samia au mtu gani? When the life of a president is at stake it's understandable, it's either you let the president be shot or you shoot the shooter to save the president tofauti na TZ watu mpaka wamemiminiwa risasi wakiwa vibarazani wanacheza draft wengine masebuleni mwao na hao waliokuwa wakiandamana tear gas, tear canisters and water cannons could have stopped the rioters without killing anyone.
 
Wewe ndio utuambie malengo yao yalikuwa nini? LIssu kasema wataasi siku ya uchaguzi kama njia ya haraka ya kupata mabadiliko. Unajua maana ya kuasi?

Watauliwa tu kama wataendelea kuwa na akili kama zako.

Sisi hatutaki maridhiano, ni nia tu ya kupoteza fedha tunazozihitaji kutupatia maji vijijini.

Tunajua tunajua tunajua kuwa maridhiano haya ni kati ya Kanisa la Katoliki na chadema kwa upande mmoja na serikali kwa upande wa pili. Hatutaki bhana!!

Nani hajui kama kanisa hili ni chanzo kikuu cha uchumi wa Vatican, pesa ambazo wanazitumia kuweka na kuondoa viongozi duniani hasa Afrika? Nani hajui kama kanisa linapewa misamaha ya kodi na ruzuku kutoka serikalini huku wao wakufanya biashara kamili kama wafanyabiashara wengine?
 
Cheap conspiracy theory, ambatanisha na solid facts hayo wafanyayo Vatican ili tuwaumbue if you can't then you you're just an ass-hole. Inferiority complex ndiyo huwafanya imbeciles kidhania kuwa kila kitu duniani kiko controlled na Vatican, they don't have the capabilities of controlling everything that happens around the globe, no single organization or any single country that controls the whole world.
Kwani nani aliyekwambia anataka maridhiano zaidi ya CCM and their parasites hoax political parties. CHADEMA na Catholic Church kutaka maridhiano hiyo ndiyo naisikia kwako, it's a breaking news to me so hebu ambatanisha references au links tuamini kuwa usemayo si tanatalila uchwara za kwenye vijiwe vya kahawa, vya draft au vya karata ambavyo predominantly huwa ni vya jobless people.
 
KUmbe hawa hapa ndio wanaotaka maridhiano, wameshikwa pabaya, tume inakwenda kuuanika ukweli.

View: https://youtu.be/GR3MpQ4l47w?si=SvBKJiFvXH0OAQLI

Watanzania wanahitaji umeme na maji ya uhakika, sio maridhiano wala kuombwa msamaha.

Nani aombe msamaha kwa nani; aliyetaka kupindua au aliyetaka kupinduliwa?

Watu waliouliwa wote walikuwa kwenye miji iliokuwa na vurugu kubwa za Oct29. Huku kwetu Lindi na wilaya zake zote pamoja na vitongoji vyake hakuna mtu hata mmoja alikufa kwasababu hakukua na vurugu hata moja siku ya uchaguzi n baada ya uchaguzi. Huu ni ushahidi kuwa vurugu za mapinduzi ndio chanzo cha vifo. Kwanza tuwatafute wale woooooooote waliopanga, kufadhili, kutoa mafunzo na kutekeleza vurugu zile.
 
Sawa. Na alivyo ua October alitumia ustaarabu gani?
Achana na oct29, siku i⁸⁹le walikufa watu ambao walituudhi na kutukosea sisi sote. Walituchomea na kutuharibia vitu vyetu vinavyotuhudumia sisi. Walistahili kufa na kama wasingekufa tungeiondoa serikali madarakani kwa kushindwa kulinda vitu vyetu dhidi ya wavuta bhangi.

Sisi hatutaki maridhiano bhana wewe, tunaendelea na maisha yetu mengine kwa mshikamano uleule kuanzia majumbani, mitaani, masokoni, kwenye madaladala na bodaboda, mashuleni, viwanjani, maofisini , kwenye nyumba za ibada, machimboni , na hata kwenye misiba. Nani anasema watz wanasubiri msamaha? Maqskofu wlikutana nao wapi na watz wanaosubiri kuombwa msamaha? Wako wangapi na dini na kabila gani?

Inafahamika maaskofu walikuwa sehemu ya tatizo lile, sasa wanahaha baada ya mtandao mzima kufichuliwa.
 
Kwenye tukio la October 29, 2025 Walioua ni watanzania, waliouliwa ni watanzania na mali zilizoharibiwa ni mali za watanzania wote kwa ujumla wao. Mimi sioni haja ya maridhiano; maana huku mitaani tunakoishi simuoni mtu anaedai maridhiano.

Sisi watanzania wenye mali zilizoharibiwa na watanzania wenzetu tumekubali kuwa watanzania wenzetu waliuliwa na watanzania wenzetu tuliowakabidhi kazi ya ulinzi wa mali zetu kwasababu watanzania wenzetu waliharibu mali na miundombinu yetu kwa kushawishiwa na watu (watanzania na wageni) waliokuwa na agenda zao walizotaka kuzifanikiasha kwa kutumia watanzania wenzetu. Tumeshakubali kuwa watanzania wenzetu wameshakufa na mali zetu zimeshaharibika, wote tumepata funzo.

Dalili muhimu za kuonyesha kuwa tumeshakubaliana na hali ile ya Oct29 ni kama zifuatazo:
1. Watanzania bado wanaishi pamoja kwenye nyumba na mitaa bila kujali vyama, dini, waliokufa wala miundombinu na mali zilizoharibiwa.
2. Watanzania bado wanauza na kununua bidhaa bila kujali vyama, dini, kabila, mauaji wala mali zilizoharibiwa.
3. Watoto wetu bado wanasoma shule na vyuo vilevile kabla na baada ya tukio lile. hakuna aliyehamisha mtoto wake kwaajili hiyo.
4. Usafiri: Hata baada ya tukio lile Watanzania hawabagui vyombo vya usafiri vya kupanda. tunapanda bodaboda, bajaj, mabasi, maguta, treni wala ndege za kusafiria bila kujali anavimiliki nani.
5. kazini: Hata baada ya tukio lile watanzania bado wanafanyakazi ofisi moja, idara na taasisi moja bila kujali vyama na dini zetu
6. Msiba na maziko: Hata baada ya tukio lile watanzania wanazikana bila kujali vyama vya siana, mauaji wala uharibifu uliofanyika.
7. Michezo: Watanzania wanacheza na kushabikia michezo bila kujali kilichotokea Oct29.
8. Ibada: Wote bado tunasali palepale na vilevile tulivyokuwa tukisali kabla ya tukio

Kama hali majumbani, mitaani, sokoni, kwenye usafiri, kwenye ibada na mashuleni ni shwari Nani analazimisha maridhiano? Nani anataka maridhiano? nani atafaidika na maridhiano? Ni maridhiano kati ya nani na nani?

Sisi watanzania hatuhitaji maridhiano kwakuwa tumeshajua nini kimetokea na kwanini kilitokea, na mafunzo tumeyapata.

Kusalia majumbani kila yanapoitishwa maandamano mapya ni uthibitisho kuwa watanzania tumejifunza kitu kutokana na tukio lile. Hatuhitaji kukumbushwakumbushwa kila wakati, wenyewe tumeshaanza kuyasahau na maisha yanaendelea.

Tujikite zaidi kwenye kuzuia yasitokee kama yale tena huko mbeleni kwa kuiangalia nyumba yetu.
Chalamila
 
Achana na oct29, sikule walikufa watu ambao walituudhi na kutukosea sisi sote. Walituchomea na kutuharibia vitu vyetu vinavyotuhudumia sisi. Walistahili kufa na kama wasingekufa tungeiondoa serikali madarakani kwa kushindwa kulinda vitu vyetu dhidi ya wavuta bhangi.

Sisi hatutaki maridhiano bhana wewe, tunaendelea na maisha yetu mengine kwa mshikamano uleule kuanzia majumbani, mitaani, masokoni, kwenye madaladala na bodaboda, mashuleni, viwanjani, maofisini , kwenye nyumba za ibada, machimboni , na hata kwenye misiba. Nani anasema watz wanasubiri msamaha? Alikutana nao wapi wakamwambia hayo? Wako wangapi na dini na kabila gani?
Popoma pro max kmmke
 
Popoma pro max kmmke
Walikufa vijana wapumbavu kabisa, walitumiwa na watu wwnye akili zao ambao wao binafsi walikuwa wanajua kuwa vijana wale walikuwa wanakwenda kuuliwa na kujeruhiwa na vyombo vya usalama lakini bado waliwasukumiza waende wakafe kwa maslahi yao. Mfano, Lissu alisema "tutaenda kukinukisha vibaya sana na najua watatuumiza sana lakini hiyo ndiyo njia ya kupata mabadiliko ya haraka"

Waliwavutisha bangi vijana, kuwapa fedha kidogo na ahadi lukuki kwamba nchi ikianguka wao watapata fedha na ajira za maana kabisa. Wakawahadaa kuwa jeshi litakuwa upande wao wasiogope. Nadhani watu walioandaa ule mpango wanastahili adhabu kubwa mno mno mno mno .
 
KUmbe hawa hapa ndio wanaotaka maridhiano, wameshikwa pabaya, tume inakwenda kuuanika ukweli.

View: https://youtu.be/GR3MpQ4l47w?si=SvBKJiFvXH0OAQLI

Watanzania wameshasamehe na kusameheana wenyewe kwa wenyewe hukohuko wanakolala, wanakofanyia biashara, wanakocheza, wanakosafiri, wanakozikana, wanakosali na wakofanyakazi. Hawana shida kaabisa maisha yetu yanakwenda maana washajua kuwa walioharibu mali zao ni watanzania wenzao na waliouliwa ni watanzania wenzao na waliowaua ni watanzania wenzao na sababu ya kuuliwa wanaijua na wameridhika nayo ndiyo maana hatujagawanyika mpaka sasa.

Mizizi yetu ya umoja imeenda chini sana ardhini kuliko mizizi ya kilichotokea Oct29. Kuonyesha kuwa tunaijua sababu ya wenzetu kufa Oct29 kama chadema wakiitisha maandamano sisi tunabakia majumbani kuepusha mauaji mengine.
 
Wanaoogopa maridhiano ni akina nani?
Maridhiano kuhusu nini?

Maana wako watanzania ambao hawakupenda Makamu wa Rais aapishwe kuwa Rais baada ya JPM kufa. Wapo ambao hawakutaka Bandari ibinafsishwe. Wapo ambao hawakupenda Rais Samia agombee mhura wa pili. Wapo ambao walitaka kupindua serikali, wapo ambao walichoma mali zetu na kuwa majivu. Wako ambao walifia majumbani na hospitalini kwa kukosa matibabu siku za vurugu. Wako ambao walipata hasara baada ya internet kukatwa wakati wa vurugu. Ratiba za mechi za ligi zilisimama, ratiba za shule na vyuo zilivurugwa, viwanda uzalishaji ulisimama, wakulima na wafanyabiashara walipata hasara kwa mazao yao kutofika masokoni (yaliharibika), wafugaji nao mifugo yao na nyama mabuchani hawakuuza. Kila mtanzania aliathirika.

Binafsi ningemsifia mzee Warioba kama angekuwa sababu ya kukamilisha ndoto ya Mwl ya kuwa na taifa moja lenye serikali moja ya Jamhuri ya Muungano badala yeye kuendesha harakati za kurudi nyuma kule kwa serikali 3. Hata Nyerere angemzaba vibao kama angekuwa hai.

Ndiyo maana nauliza ni maridhiano gani hayo tunayataka?
 
Back
Top Bottom