Duu uko nchi gani wewe, kazi yenu mnasikiliza bongo flava tu kutwa nzima hamjui kinachotokea nchiniWanaotaka maridhiano ni viongozi waliopora uchaguzi na kufanya mauaji. Wanataka kujihalalisha na kusahaulisha watu mauaji yale.
Hizo 30,000 nani alizitoa? Zilipitia benki ipi? Mnasingizia vijana walipewa fedha, mlisema wageni waliwashawishi etc. Je, yuko wapi mgeni hata mmoja alikamatwa kuhusika ktk maandamano yale? Uko wai ushahidi wa vijana kupewa 30,000?Achana na matukio ya Oct29 lakini hata leo jioni hebu nenda kachome moto benki yoyote uone kama kesho utaiona. Acheni mambo ya mkumbo (mob psychology) majonsi, mateso na msiba utaupeleka nyumbani kwenu. Fikiria familia yako, wazazi wako hata kama wewe umeshakata tamaa. Unakubali kupewa 30,000 ili ukavamie kituo cha polisi, eti kwasababu mko wengi (mob), mkumbo na kusahau kuwa vidonda utampelekea mama yako na mkeo.
Wanajua watanzania wenzao walikufa ili Samia akae madarakani kwa shuruti. Na hakuna uwezekano wa kusahau bali kutulia. Na kutulia haimaanishi watu wamesahau.Hata bila maridhiano watu watayasahau tu. Uzuri wenyewe watanzania wanajua kwanini watanzania wenzao walikufa. Ukisikia mtu anaeilaumu serikali kwa vifo vile ujue alikuwa sehemu ya vurugu zile; ama kwa kuchochea, ama kwa kupanga, ama kwa kutoa mafunzo, ama kwa kugharamia, ama angekuwa mnufaika kama malengo ya vurugu yangetimia.
Duu uko nchi gani wewe, kazi yenu mnasikiliza bongo flava tu kutwa nzima hamjui kinachotokea nchini
View: https://www.youtube.com/live/5g9jC1GuadI?si=N_7QOJ7JGJzEo_6-
Tume itakuja na majibu ya maswali yako uchwara. Tutajua nani alikuwa nani na alifanya nini wakati wa vuruguHizo 30,000 nani alizitoa? Zilipitia benki ipi? Mnasingizia vijana walipewa fedha, mlisema wageni waliwashawishi etc. Je, yuko wapi mgeni hata mmoja alikamatwa kuhusika ktk maandamano yale? Uko wai ushahidi wa vijana kupewa 30,000?
Tunataka waliohusika kutoa amri na waliotekeleza mauaji wawajibike. Tunataka miili iliyouliwa irudishwe kwa ndugu wazikwe kwa heshima. Tunataka katiba mpya nzuri na tume huru ya uchaguzi- uhuru wa tume sio kwa jina bali kwa muundo. Haiwezekani mwenyekiti wa ccm ateue tume halafu iwe huru.
Tunataka uchafu ule ulioitwa uchaguzi ufutwe, nu ufanyike uchgazi huru na wa haki. Kokosekana uchaguzi huru na wa haki ndio chanzo cha vurugu zile.
Serikali inayowajibika kwa wananchi wake haingetumia risasi za moto kuvunja maamdamano. Kwa nini hao askari hawakulinda maandano badala yake wakauwa watu? Watu wengine walifuatwa mpaka majumbani- kwanini?
Kama WaTanganyika hawataamka kipindi hiki basi tarajia matatizo mengi zaidi!Duuuu, lini iyo. Sema wavuta misuba wataamka. Lete sera zinazosisimua na bora kuliko hizi tulizozizoea
Kwahiyo kuiba,kubaka na kuharibu kuna uhalali? Yaani CHADEMA mnataka kudanganya umma kua ata nyie mgekua madarakani mgekubali watu wafanye mipango ya kuasi,kuharibu na kuipindua serikali mkiwa mnaangalia eti.kwamba ukiiba au kuharibu mali unauawa?yale mauaji hayana uhalali na kila muuaji atalipia kwa muda wake.mauaji ya watanganyika hayakubaliki kabisa
Huwezi kiwakabidhi wavuta misuba, nchi otachomwa na kugeuzwa mahame. Vijana wamenyooka, ukiwaita kwenye maandamano wanaingia uvunguni kujificha na kuiacha mitaa ikiwa meupe peee.Kwahiyo kuiba,kubaka na kuharibu kuna uhalali? Yaani CHADEMA mnataka kudanganya umma kua ata nyie mgekua madarakani mgekubali watu wafanye mipango ya kuasi,kuharibu na kuipindua serikali mkiwa mnaangalia eti.
Mwambie Samia aache kuhangaika kuwaambia watu kuwa bado kuna mmoja hajakubali reconciliation hivyo bado wanajadili matakwa yake, mwambie aache huo ujinga hatuutakiKwenye tukio la October 29, 2025 Walioua ni watanzania, waliouliwa ni watanzania na mali zilizoharibiwa ni mali za watanzania wote kwa ujumla wao. Mimi sioni haja ya maridhiano; maana huku mitaani tunakoishi simuoni mtu anaedai maridhiano.
Sisi watanzania wenye mali zilizoharibiwa na watanzania wenzetu tumekubali kuwa watanzania wenzetu waliuliwa na watanzania wenzetu tuliowakabidhi kazi ya ulinzi wa mali zetu kwasababu watanzania wenzetu waliharibu mali na miundombinu yetu kwa kushawishiwa na watu (watanzania na wageni) waliokuwa na agenda zao walizotaka kuzifanikiasha kwa kutumia watanzania wenzetu. Tumeshakubali kuwa watanzania wenzetu wameshakufa na mali zetu zimeshaharibika, wote tumepata funzo.
Dalili muhimu za kuonyesha kuwa tumeshakubaliana na hali ile ya Oct29 ni kama zifuatazo:
1. Watanzania bado wanaishi pamoja kwenye nyumba na mitaa bila kujali vyama, dini, waliokufa wala miundombinu na mali zilizoharibiwa.
2. Watanzania bado wanauza na kununua bidhaa bila kujali vyama, dini, kabila, mauaji wala mali zilizoharibiwa.
3. Watoto wetu bado wanasoma shule na vyuo vilevile kabla na baada ya tukio lile. hakuna aliyehamisha mtoto wake kwaajili hiyo.
4. Usafiri: Hata baada ya tukio lile Watanzania hawabagui vyombo vya usafiri vya kupanda. tunapanda bodaboda, bajaj, mabasi, maguta, treni wala ndege za kusafiria bila kujali anavimiliki nani.
5. kazini: Hata baada ya tukio lile watanzania bado wanafanyakazi ofisi moja, idara na taasisi moja bila kujali vyama na dini zetu
6. Msiba na maziko: Hata baada ya tukio lile watanzania wanazikana bila kujali vyama vya siana, mauaji wala uharibifu uliofanyika.
7. Michezo: Watanzania wanacheza na kushabikia michezo bila kujali kilichotokea Oct29.
8. Ibada: Wote bado tunasali palepale na vilevile tulivyokuwa tukisali kabla ya tukio
Kama hali majumbani, mitaani, sokoni, kwenye usafiri, kwenye ibada na mashuleni ni shwari Nani analazimisha maridhiano? Nani anataka maridhiano? nani atafaidika na maridhiano? Ni maridhiano kati ya nani na nani?
Sisi watanzania hatuhitaji maridhiano kwakuwa tumeshajua nini kimetokea na kwanini kilitokea, na mafunzo tumeyapata.
Kusalia majumbani kila yanapoitishwa maandamano mapya ni uthibitisho kuwa watanzania tumejifunza kitu kutokana na tukio lile. Hatuhitaji kukumbushwakumbushwa kila wakati, wenyewe tumeshaanza kuyasahau na maisha yanaendelea.
Tujikite zaidi kwenye kuzuia yasitokee kama yale tena huko mbeleni kwa kuiangalia nyumba yetu.
Yeye ni miongoni mwa ambao hawakuuawa, waliouwa si sixty million plus bali ni maelfu tu.Inashangaza kwenye hayo maelfu wewe haumo. Tuambie kwanini wewe haukuwemo, ulifanyaje?
UNaweza kusema hapa ni wapi?, picha hizi nazionaga sana kwenye taarifa za Goma, Congo maeneo ya Ruchuru kwenye mapigano ya M23 wanaoungwa mkono na Rwanda. Kuzileta huku kwetu ni kuhangaika tu.Mwambie Samia aache kuhangaika kuwaambia watu kuwa bado kuna mmoja hajakubali reconciliation hivyo bado wanajadili matakwa yake, mwambie aache huo ujinga hatuutaki
Yeye ni miongoni mwa ambao hawakuuawa, waliouwa si sixty million plus bali ni maelfu tu.
View attachment 3644771
Hawa👆🏾ni miongoni mwa Watanganyika waliouawa mercilessly na Mzanzibari Samia.
Kama hawa ni watanzania waliotekeleza zile vurugu basi walikuwa watu wabaya sana kuwa nao nchini.Mwambie Samia aache kuhangaika kuwaambia watu kuwa bado kuna mmoja hajakubali reconciliation hivyo bado wanajadili matakwa yake, mwambie aache huo ujinga hatuutaki
Yeye ni miongoni mwa ambao hawakuuawa, waliouwa si sixty million plus bali ni maelfu tu.
View attachment 3644771
Hawa👆🏾ni miongoni mwa Watanganyika waliouawa mercilessly na Mzanzibari Samia.
Comparing material things and human lives, this exposes where you stand when it comes to humanity.Kama hawa ni watanzania waliotekeleza zile vurugu basi walikuwa watu wabaya sana kuwa nao nchini.
Walisababisha shule, vyuo, hospitali, usafiri, masoko, interneti , ligi, viwanda, baa, na huduma nyingi kufungwa na kuvurugika. Ni hasara ya mabilioni taifa na watu walipata. Wangestahili hiki na kuchapwa viboko hata baada ya kufa. Maana kuna watu mahospitalini walikosa matibabu na kufa na kuna waliofia majumbani kwa kukosa dawa zao na tiba, kuna waliojifungulia majumbani kwa kukosa hospitali. Ni mbegu mbaya.
Muulize Chande hao aliowanena 500 plus nao ni wa DRC au ni AI? That rubbish you're putting here ndiyo mlikuwa mkisema waliouawa ni Wakenya mara ni AI sasa na hii ni picha ya DRC lakini Chande anakubali kuwa watu waliuawa unless kama unaipinga na ripoti ya Chande. What if those boys are among those mentioned by Chande?UNaweza kusema hapa ni wapi?, picha hizi nazionaga sana kwenye taarifa za Goma, Congo maeneo ya Ruchuru kwenye mapigano ya M23 wanaoungwa mkono na Rwanda. Kuzileta huku kwetu ni kuhangaika tu.
Hata hivyo kama hawa ni wale waliochoma vituo vya polisi, TRA na kuvunja ATM ni sawa tu kufa wote. Lissu alisema ataasi na dawa ya aliyeasi ni risasi tu.
Usifanye vurugu kwa kutegemea taasisi za nje zikukinge, utajidanganya sana.
Huyo Samia unamuonea tu hapa, tumempigia kura sisi amalizie miaka 5 yake, tena kura za kishindo.
Napenda msimamo wa Kitima.Kwenye tukio la October 29, 2025 Walioua ni watanzania, waliouliwa ni watanzania na mali zilizoharibiwa ni mali za watanzania wote kwa ujumla wao. Mimi sioni haja ya maridhiano; maana huku mitaani tunakoishi simuoni mtu anaedai maridhiano.
Sisi watanzania wenye mali zilizoharibiwa na watanzania wenzetu tumekubali kuwa watanzania wenzetu waliuliwa na watanzania wenzetu tuliowakabidhi kazi ya ulinzi wa mali zetu kwasababu watanzania wenzetu waliharibu mali na miundombinu yetu kwa kushawishiwa na watu (watanzania na wageni) waliokuwa na agenda zao walizotaka kuzifanikiasha kwa kutumia watanzania wenzetu. Tumeshakubali kuwa watanzania wenzetu wameshakufa na mali zetu zimeshaharibika, wote tumepata funzo.
Dalili muhimu za kuonyesha kuwa tumeshakubaliana na hali ile ya Oct29 ni kama zifuatazo:
1. Watanzania bado wanaishi pamoja kwenye nyumba na mitaa bila kujali vyama, dini, waliokufa wala miundombinu na mali zilizoharibiwa.
2. Watanzania bado wanauza na kununua bidhaa bila kujali vyama, dini, kabila, mauaji wala mali zilizoharibiwa.
3. Watoto wetu bado wanasoma shule na vyuo vilevile kabla na baada ya tukio lile. hakuna aliyehamisha mtoto wake kwaajili hiyo.
4. Usafiri: Hata baada ya tukio lile Watanzania hawabagui vyombo vya usafiri vya kupanda. tunapanda bodaboda, bajaj, mabasi, maguta, treni wala ndege za kusafiria bila kujali anavimiliki nani.
5. kazini: Hata baada ya tukio lile watanzania bado wanafanyakazi ofisi moja, idara na taasisi moja bila kujali vyama na dini zetu
6. Msiba na maziko: Hata baada ya tukio lile watanzania wanazikana bila kujali vyama vya siana, mauaji wala uharibifu uliofanyika.
7. Michezo: Watanzania wanacheza na kushabikia michezo bila kujali kilichotokea Oct29.
8. Ibada: Wote bado tunasali palepale na vilevile tulivyokuwa tukisali kabla ya tukio
Kama hali majumbani, mitaani, sokoni, kwenye usafiri, kwenye ibada na mashuleni ni shwari Nani analazimisha maridhiano? Nani anataka maridhiano? nani atafaidika na maridhiano? Ni maridhiano kati ya nani na nani?
Sisi watanzania hatuhitaji maridhiano kwakuwa tumeshajua nini kimetokea na kwanini kilitokea, na mafunzo tumeyapata.
Kusalia majumbani kila yanapoitishwa maandamano mapya ni uthibitisho kuwa watanzania tumejifunza kitu kutokana na tukio lile. Hatuhitaji kukumbushwakumbushwa kila wakati, wenyewe tumeshaanza kuyasahau na maisha yanaendelea.
Tujikite zaidi kwenye kuzuia yasitokee kama yale tena huko mbeleni kwa kuiangalia nyumba yetu.
Nilifundishwa kuwa nikiona mtu anazungumzia watu ambao hawajamtuma wasemewe, mtu huyo ni tapeli.Unaaishi wapi, bado unatumia hospitali hizihizi alizojenga samia au umehama nchi? Mbona mtaani hatukuoni ukisema hivyo?. Ni watanzania wenyewe ambao tulinunua bunduki na risasi tukawakabidhi watanzania wenzetu (askari) ili wazitumie kutulinda sisi, mali zetu na mipaka yetu kwa gharama yoyote hata ikibidi wapoteze uhai wao. Ahsante Mungu waliifanya vizuri kazi tuliyowapa. Hata mbwa wako ukimkosea anaweza kukung'ata. Watanzania tunajua kwanini watanzania wenzetu waliuliwa; hatuna neno kaaabisa na hilo, ila tunachotaka lisitokee tena balaa kama lile iwe kwa kuanadika katiba mpya au kutoa elimu au nini
Kitakachokuongezea thamani yako as a humanbeing ni tabia yako, nothing else. Binadamu wote wanazaliwa wakiwa sawa lakini baada ya hapo ni tabia inayozaa vitendo vyake itakayomkweza au mshusha. If you will deside to behave like an animal expect consequencies similar to that of animal treatments .Comparing material things and human lives, this exposes where you stand when it comes to humanity.