Iko hivyo kaka, hata yule aliyetaka kumuua Trump risasi yake iliishia kumuua mtu mwingine kabisa asiyehusika. Hayo yametokea kwenye nchi kubwa kaabisa yenye utaalumu mwingi wa kisasa, sembuse sisi. Kinachotakiwa tuache fujo kwakuwa nyasi ndizo zinazoharibika yanapopambana mafahari wawili.
Sisi tunasonga mbeleee
View: https://www.youtube.com/live/5g9jC1GuadI?si=kmN9dl8J3SXPSCRB
mauaji mliyofanya hayana uhalali mtalipia nyie na vizazi vyenu kwanza damu zao zinamlilia Mungu mtalipia tu kwa njia yoyote.damu ya mtanganyika haiwezi kupotea hivihivi.Utakufa, mwambine mwanao Junior hivyo kuwa wizi mbaya hasa wa mali ya umma.
Wewe umekua msemaji wa wananchi? Nyie watu wajinga ndo mnaleta matatizo kwenye hiii nchi kujipa umuhimu sana kwenye maisha ya watu hata October 29 ilikua hivi hivi lini mtaacha kudharau wananchi? Kwamba waliofiwa wametulia tuKaka watanzania tunaishi wote kwenye nyumba za kupanga, mitaani, masokoni, maofisini, kwenye madaladala. Kila mtu yuko bize na maisha mengine. Umeshawahi kwenda baa ukatuta watu wanadai maridhiano?. Juzi nilikuwa kwenye parade la Simba baada ya kubeba ubingwa wa CRDB, sikusikia mtu andai maridhiano. Hebu acheni kutuyumbisha, hatuna shida ya maridhiano sie.
Ok.Mimi sitaki maridhiano usiniweke kwenye hilo kundi
Wewe chawa umo??Inashangaza kwenye hayo maelfu wewe haumo. Tuambie kwanini wewe haukuwemo, ulifanyaje?
Duuh kwanza kabisa waliouawa si Watanzania bali WaTanganyika!Kwenye tukio la October 29, 2025 Walioua ni watanzania, waliouliwa ni watanzania na mali zilizoharibiwa ni mali za watanzania wote kwa ujumla wao. Mimi sioni haja ya maridhiano; maana huku mitaani tunakoishi simuoni mtu anaedai maridhiano.
Sisi watanzania wenye mali zilizoharibiwa na watanzania wenzetu tumekubali kuwa watanzania wenzetu waliuliwa na watanzania wenzetu tuliowakabidhi kazi ya ulinzi wa mali zetu kwasababu watanzania wenzetu waliharibu mali na miundombinu yetu kwa kushawishiwa na watu (watanzania na wageni) waliokuwa na agenda zao walizotaka kuzifanikiasha kwa kutumia watanzania wenzetu. Tumeshakubali kuwa watanzania wenzetu wameshakufa na mali zetu zimeshaharibika, wote tumepata funzo.
Dalili muhimu za kuonyesha kuwa tumeshakubaliana na hali ile ya Oct29 ni kama zifuatazo:
1. Watanzania bado wanaishi pamoja kwenye nyumba na mitaa bila kujali vyama, dini, waliokufa wala miundombinu na mali zilizoharibiwa.
2. Watanzania bado wanauza na kununua bidhaa bila kujali vyama, dini, kabila, mauaji wala mali zilizoharibiwa.
3. Watoto wetu bado wanasoma shule na vyuo vilevile kabla na baada ya tukio lile. hakuna aliyehamisha mtoto wake kwaajili hiyo.
4. Usafiri: Hata baada ya tukio lile Watanzania hawabagui vyombo vya usafiri vya kupanda. tunapanda bodaboda, bajaj, mabasi, maguta, treni wala ndege za kusafiria bila kujali anavimiliki nani.
5. kazini: Hata baada ya tukio lile watanzania bado wanafanyakazi ofisi moja, idara na taasisi moja bila kujali vyama na dini zetu
6. Msiba na maziko: Hata baada ya tukio lile watanzania wanazikana bila kujali vyama vya siana, mauaji wala uharibifu uliofanyika.
7. Michezo: Watanzania wanacheza na kushabikia michezo bila kujali kilichotokea Oct29.
8. Ibada: Wote bado tunasali palepale na vilevile tulivyokuwa tukisali kabla ya tukio
Kama hali majumbani, mitaani, sokoni, kwenye usafiri, kwenye ibada na mashuleni ni shwari Nani analazimisha maridhiano? Nani anataka maridhiano? nani atafaidika na maridhiano? Ni maridhiano kati ya nani na nani?
Sisi watanzania hatuhitaji maridhiano kwakuwa tumeshajua nini kimetokea na kwanini kilitokea, na mafunzo tumeyapata.
Kusalia majumbani kila yanapoitishwa maandamano mapya ni uthibitisho kuwa watanzania tumejifunza kitu kutokana na tukio lile. Hatuhitaji kukumbushwakumbushwa kila wakati, wenyewe tumeshaanza kuyasahau na maisha yanaendelea.
Tujikite zaidi kwenye kuzuia yasitokee kama yale tena huko mbeleni kwa kuiangalia nyumba yetu.
Walikufa kibwege. Hawakufanya hesabu kabla ya kukubali ujinga wa Lissu na wenzake. Wangepata takwimu kwanza ya idadi ya kambi za majeshi. idadi ya polisi, idadi ya ofisa usalama, idadi ya polisi, askari magereza, askari wa uhamiaji na zimamoto, makomandoo walioko Tanzania na idadi ya askari wa jeshi la akiba ambao wameapa kuilinda katiba, mipaka ya nchi na kula kiapo cha utii kwa Rais na Amirijeshi Mkuu wa majeshi ya tz...hakuna mafahali wawili wanaogombana.
..tuna fahali mmoja ambaye ni Ssh hakutimiza wajibu wake sawasawa.
..Ssh angetekeleza 4R nchi ingevuka salama Oct 29.
..Jitihada zifanyike walioathirika kutokana na uzembe wa Ssh, na udhalimu wa genge lake, walipwe fidia.
Eti ni swala la muda tu, kwa sera zipi mlizonazo. Siku ya vurugu ndio mligundua kuwa kumbe hamna watu wanaowaunga mkono, ni wavuta ndumu tu. Watu wenye akili hawakujitokeza ikasababisha kazi ya kuwadhibiti ikawa nyepesi sana. Hebu fikiria ingekuwaje kama nchi nzima mpaka vitongojini wangeitikia wito wenu wa kufanya vurugu oct29.Duuh kwanza kabisa waliouawa si Watanzania bali WaTanganyika!
Na walioamrisha na kuongooza mauaji ya WaTanganyika si WaTanganyika!
Huku mtaani WaTanganyika wana wasiwasi na kila chawa na mtu asiyekuwa Mtanganyika!
WaTanganyika hawataki maridhiano ya kihuni na wahuni wasioitakia mema Tanganyika!
Ni suala la muda tu... Ngoja washike hatamu!
Mwenye nchi hawawezi kuichoma nchi yao, watakaa wapi? Waliouliwa ni mungiki tu ambao hawana tofauti na majangiri waliokuwa wanaua tembo wachukue meno yao wakauze. Adhabu zao zinafanana.Hakuna mali inayolipwa kwa Uhai, Uhai ni Uhai tu ukitoka umetoka. Yani unatoa amri Wenye nchi wauliwe alafu unataka maridhiano? Anayetaka maridhiano aweke uhai wake rehani na yeye basi.
Waliuliwa manabii na mitume sembuse hawa waliokuwa wanaichoma nchi yao makusudi kwa kushawishiwa tu? Niambie hawa vijana waliofanya vurugu wangefaidika na nini kama serikali ingeanguka? Ambao wangefaidi wangekuwa watoto wa Lissu, Heche, Mnyika, Maria Sarungi, Mange na wafadhili wao.mauaji mliyofanya hayana uhalali mtalipia nyie na vizazi vyenu kwanza damu zao zinamlilia Mungu mtalipia tu kwa njia yoyote.damu ya mtanganyika haiwezi kupotea hivihivi.
Hakuna aliyejuu ya sheria, kama unamjua kiongozi aliyeiba mali zetu kwanini kwa kushirikiana na TLS na chadema hamuwapeleki mahakamani wakajibu tuhuma zao?. hayo unayosema ni maneno ya vijiweni tu, huna ushahini kuhusu nani kaiba, kaiba nini, kaiba kiasi gani na kaibaje.Unasound kama waliokutuma.
Unakwepesha uhusika kwa kudai Mali ziliibiwa so kuuliwa kwao ni sahihi.
Hao waliokutuma hadi muda huu wanaibia na kupora mali za watanzania ulishawah kupanua bakuli lako wauwawe hapa ndani ?
Wanaotaka maridhiano ni viongozi waliopora uchaguzi na kufanya mauaji. Wanataka kujihalalisha na kusahaulisha watu mauaji yale.Kwenye tukio la October 29, 2025 Walioua ni watanzania, waliouliwa ni watanzania na mali zilizoharibiwa ni mali za watanzania wote kwa ujumla wao. Mimi sioni haja ya maridhiano; maana huku mitaani tunakoishi simuoni mtu anaedai maridhiano.
Sisi watanzania wenye mali zilizoharibiwa na watanzania wenzetu tumekubali kuwa watanzania wenzetu waliuliwa na watanzania wenzetu tuliowakabidhi kazi ya ulinzi wa mali zetu kwasababu watanzania wenzetu waliharibu mali na miundombinu yetu kwa kushawishiwa na watu (watanzania na wageni) waliokuwa na agenda zao walizotaka kuzifanikiasha kwa kutumia watanzania wenzetu. Tumeshakubali kuwa watanzania wenzetu wameshakufa na mali zetu zimeshaharibika, wote tumepata funzo.
Dalili muhimu za kuonyesha kuwa tumeshakubaliana na hali ile ya Oct29 ni kama zifuatazo:
1. Watanzania bado wanaishi pamoja kwenye nyumba na mitaa bila kujali vyama, dini, waliokufa wala miundombinu na mali zilizoharibiwa.
2. Watanzania bado wanauza na kununua bidhaa bila kujali vyama, dini, kabila, mauaji wala mali zilizoharibiwa.
3. Watoto wetu bado wanasoma shule na vyuo vilevile kabla na baada ya tukio lile. hakuna aliyehamisha mtoto wake kwaajili hiyo.
4. Usafiri: Hata baada ya tukio lile Watanzania hawabagui vyombo vya usafiri vya kupanda. tunapanda bodaboda, bajaj, mabasi, maguta, treni wala ndege za kusafiria bila kujali anavimiliki nani.
5. kazini: Hata baada ya tukio lile watanzania bado wanafanyakazi ofisi moja, idara na taasisi moja bila kujali vyama na dini zetu
6. Msiba na maziko: Hata baada ya tukio lile watanzania wanazikana bila kujali vyama vya siana, mauaji wala uharibifu uliofanyika.
7. Michezo: Watanzania wanacheza na kushabikia michezo bila kujali kilichotokea Oct29.
8. Ibada: Wote bado tunasali palepale na vilevile tulivyokuwa tukisali kabla ya tukio
Kama hali majumbani, mitaani, sokoni, kwenye usafiri, kwenye ibada na mashuleni ni shwari Nani analazimisha maridhiano? Nani anataka maridhiano? nani atafaidika na maridhiano? Ni maridhiano kati ya nani na nani?
Sisi watanzania hatuhitaji maridhiano kwakuwa tumeshajua nini kimetokea na kwanini kilitokea, na mafunzo tumeyapata.
Kusalia majumbani kila yanapoitishwa maandamano mapya ni uthibitisho kuwa watanzania tumejifunza kitu kutokana na tukio lile. Hatuhitaji kukumbushwakumbushwa kila wakati, wenyewe tumeshaanza kuyasahau na maisha yanaendelea.
Tujikite zaidi kwenye kuzuia yasitokee kama yale tena huko mbeleni kwa kuiangalia nyumba yetu.
Rais hashitakiwi nchi hii, yuko juu ya sheria na genge lake lote linatembelea hiyo kinga ya rais.Hakuna aliyejuu ya sheria, kama unamjua kiongozi aliyeiba mali zetu kwanini kwa kushirikiana na TLS na chadema hamuwapeleki mahakamani wakajibu tuhuma zao?. hayo unayosema ni maneno ya vijiweni tu, huna ushahini kuhusu nani kaiba, kaiba nini, kaiba kiasi gani na kaibaje.
Ndugu yangu naandika haya humu kwakuwa naijua thamani ya utu kwa mtu, familia, ndugu, ukoo, jamaa na kwa taifa. Demokrasia isitufanye tusahau kuwa sisi ni ndugu na taifa moja na kuombeana mabaya. Samia ni miaka 10 tu anaondoka anakuja mwingine lakini sisi na tanzania tupo hapahapa.
Inafahamika kuwa demokrasia ya vyama vingi ni njia nyingine ya kutafuta kipato, ndiyo maana wanasiasa kama Peter Msigwa, Dr. Slaa, Prof. Mkumbo, Zitto, Lyatonga, Bulaya, Mdee, Selasini, marando, Nassari, Tambwe Hiza, Lowasa, Sumaye..... wanahama kutoka chama hiki kwenda chama kile kutafuta fedha, akina sugu wana mahoteli.
Demokrasia haiwezi kunifanya mimi nichome mabasi na vituo vya mwendokasi ambavyo mimi na watanzania wenzangu wa kipato cha chini kabisa tunatumia kusafiria hapa mjini. Waatanzania wana tabia ya kushangilia hata mwizi wa simu kuchomwa moto hadi kufa sembuse aliyechoma mabasi yao wanayotumia kwenda feri?
Kijana kweli unaaminishwa na wahuni kuwa jeshi la JWTZ litakuwa upande wenu wakati mnachoma nchi yenu?
Kijana kweli unasahau kuwa nchi yako inalindwa na makomandoo.
Kijana usifanye fujo ambazo una uhakika kuwa:
1. Vijana wataumizwa na hata kuuliwa
2. Mtandao wa internet utakatwa
.3. biashara zitafungwa
4. Miundombinu na huduma zitaharibiwa
5. Ratiba za shule, michezo zitasimama
📌serikali ndiyo inadai maridhiano kwakua wamebanwa mabwana wakubwa hawatoi mpunga hali ni tete
Hata bila maridhiano watu watayasahau tu. Uzuri wenyewe watanzania wanajua kwanini watanzania wenzao walikufa. Ukisikia mtu anaeilaumu serikali kwa vifo vile ujue alikuwa sehemu ya vurugu zile; ama kwa kuchochea, ama kwa kupanga, ama kwa kutoa mafunzo, ama kwa kugharamia, ama angekuwa mnufaika kama malengo ya vurugu yangetimia.Wanaotaka maridhiano ni viongozi waliopora uchaguzi na kufanya mauaji. Wanataka kujihalalisha na kusahaulisha watu mauaji yale.