PostGE2025 Watanzania hawahitaji maridhiano, nani analazimisha yawepo kwa faida ya nani?

PostGE2025 Watanzania hawahitaji maridhiano, nani analazimisha yawepo kwa faida ya nani?

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Kwani maiti nazo ziliandamana huko monchwali kiasi Cha kupotezwa tena?

CCM nyinyi ni majinga sana
Kwani kuna watoto wa wansasiasa waliokufa pia? Mimi nilimkataza mwanangu asiende kuandamana kama vile Lema, Lissu, Heche, mnyika, Gwajima, na Maria walivyowakataza watoto wao wasiende kuandamana.; ngoma droo na wao. kazi ilikuwepo kwa watoto wa makabwela na mazuzu waliojiingiza kichwakichwa.
 
Ng’ombe wa mama hujui kwamba hiyo ni agenda ya mfugaji wako?
Sisi hatutakii maridhiano; hakuna utafiti unaoonyesha wananchi wanataka maridhiano. Tuko vizuri tu mitaani. Mimi muislam nina demu mkatoliki, tuko vizuri tu kama zamani. Tz hii sio CCM na cdm. Huwezi kuridhiana na mtu aliyetaka kukupindua hadi pale utakapojua kwanini walitaka kukupindua. La sivyo utaziba tundu la panya kwa mkate. Utakaribisha mtesi wako chumbani, utakukaba kirahisi sana.
 
TUNATAKA MARIDHIANO NA KATIBA MPYA.
nadhani hauko tz, sisi huku shambani tunahangaishwa na kuvuna mazao yaetu kabla ya mvua kuanza. Nani kakwambia mambo ya katiba, ulikutana nae wapi? Shida yetu huku ni bei ndogo ya mahindi na masoko ya kuuza mazao yetu. Hizo fedha za kuandika Katiba na maridhiano tuleteeni pembejeo za kutosha.
 
Sisi hatutakii maridhiano; hakuna utafiti unaoonyesha wananchi wanataka maridhiano. Tuko vizuri tu mitaani. Mimi muislam nina demu mkatoliki, tuko vizuri tu kama zamani. Tz hii sio CCM na cdm. Huwezi kuridhiana na mtu aliyetaka kukupindua hadi pale utakapojua kwanini walitaka kukupindua.
Wewe ni wa kuswagwa—tulia zizini usubiri mfugaji wako akuswage!
 
Ujuvi wa katiba uwasaidie kuacha extrajudicial killings, ubambikaji kesi na wizi wa chaguzi. Hayo mengine ni dalili.
Sisi katiba tunayo, tena nzuri sana. Levels zetu za ustaarabu, uelewa, uchumi na maendeleo bado tunahitaji kiongozi dikiteta mwaminifu na mwadilifu. Kitakachotufikisha nchi ya ahadi sio demokrasia bali udikteta na maono ya kiongozi aliyeko madarakani. Watu maskini wasiokuwa na elimu huwezi kuwapa uhuru mpana, watautumia kuvutia bange na kuchezea pool wakati wa kazi.

Najisikia kichevuchevu kuona tunataka kutumia fedha nyiiiiingi kuandika katiba mpya ambayo haitatusaidia kurusha satellite yetu angani. Tunahitaji kiongozi dikteta mwenye maono aliswage taifa letembee kwa nguvu kuelekea maendeleo ya haraka. Rais magufuli alitumia ubabe kuhamishia serikali Dodoma, kujenga reli na madaraja marefu. Katiba hii inakosa kitu kimoja tu; kuwanyonga wabadhilifu na wezi wa rasilimali zetu.
 
🚮
Kuna maelfu ya Watanganyika waliuawa na wengine kuumizwa vibaya wakiwa manyumbani mwao, bila kuandamana.

Mfano Shekhe Majini, wale watoto waliokuwa wakiangalia mpira ndani ya nyumba, watoto shuleni, nk. Mifano ni mingi.

Kuna huyu bibi hapa chini, mlimpiga risasi akiwa nyumbani kwake halafu mkampeleka mortuary..


View: https://youtu.be/j9yI9PAGIcA?is=GSoXA-KNssotJiUO

Inashangaza kwenye hayo maelfu wewe haumo. Tuambie kwanini wewe haukuwemo, ulifanyaje?
 
H
..mbona hulalamiki kuhusu mabilioni wanayolipwa Lobbyist Wazungu ili kuwasafisha Watawala ktk bunge na serikali ya Marekani?

..Na hata ukisema waliowawa walistahili, vipi kuhusu walioharibiwa mali zao? Kwanini hawalipwi fidia na serikali?

..Ninachokiona mimi ni watawala wenye UBINAFSI uliopitiliza.
Hao ni lazima watalipwa tu kwakuwa ni serikali iliyopewa jukumu la kulinda ustawi wa raia, mali za umma na watu na mali zao. Baada ya kuwaua wahalifu sasa lazima fidia ya uhalifu itolewe. Someni katiba. Wenye bima watalipwa na bima zao na ambao hawana bima kifuta machozi. Na hayo ndio maridhiano ya kweli yanayotakiwa, sio haya ya kukaa na mange kimambi meza moja mlidhiane.
 
kwamba watu waliuawa kwa kuwa walivunja mali?kwamba mali zinathamani kuliko uhai?yale mauaji hayasameheki na hayakuwa na uhalali wowote na wauaji lazima mlipe.watanzania hatutasahau kamwe na sio kwamba tumenyamaza tunatusibiri wakati wa MUNGU.
Kweli kabisa maana wale waliokua wanafanya fujo walikua wanachoma tu mali za watu na umma .Pia walikua wanaiba tu mali,pombe nk maana ni haki ya mtanzania kuiba na kuharibu.
 
Kwani kuna watoto wa wansasiasa waliokufa pia? Mimi nilimkataza mwanangu asiende kuandamana kama vile Lema, Lissu, Heche, mnyika, Gwajima, na Maria walivyowakataza watoto wao wasiende kuandamana.; ngoma droo na wao. kazi ilikuwepo kwa watoto wa makabwela na mazuzu waliojiingiza kichwakichwa.

..hata wanaotumika kuteka na kuuwa wenzetu huwezi kukuta ni watoto wa wakubwa na matajiri wa Ccm. Ni walalahoi na mafukara ndio wanaotumikishwa kuteka na kuuwa wenzao.
 
Achana na matukio ya Oct29 lakini hata leo jioni hebu nenda kachome moto benki yoyote uone kama kesho utaiona. Acheni mambo ya mkumbo (mob psychology) majonsi, mateso na msiba utaupeleka nyumbani kwenu. Fikiria familia yako, wazazi wako hata kama wewe umeshakata tamaa. Unakubali kupewa 30,000 ili ukavamie kituo cha polisi, eti kwasababu mko wengi (mob), mkumbo na kusahau kuwa vidonda utampelekea mama yako na mkeo.
Mama Yako kwa Nini aliitenga mbunye babako akapiga bao uzaliwe wewe??Bila maridhiano unafikiri wewe ungekuwepo???
 
H

Hao ni lazima watalipwa tu kwakuwa ni serikali iliyopewa jukumu la kulinda ustawi wa raia, mali za umma na watu na mali zao. Baada ya kuwaua wahalifu sasa lazima fidia ya uhalifu itolewe. Someni katiba. Wenye bima watalipwa na bima zao na ambao hawana bima kifuta machozi. Na hayo ndio maridhiano ya kweli yanayotakiwa, sio haya ya kukaa na mange kimambi meza moja mlidhiane.

..kuna WATOTO wadogo wameuwawa kuwa makini unaposema ni wahalifu.
 
Kweli kabisa maana wale waliokua wanafanya fujo walikua wanachoma tu mali za watu na umma .Pia walikua wanaiba tu mali,pombe nk maana ni haki ya mtanzania kuiba na kuharibu.
kwamba ukiiba au kuharibu mali unauawa?yale mauaji hayana uhalali na kila muuaji atalipia kwa muda wake.mauaji ya watanganyika hayakubaliki kabisa
 
Ungekuwa umekufa wewe au ndg yako 29oct na uhakika usingeandika pumba kama hizi!
 
Mama Yako kwa Nini aliitenga mbunye babako akapiga bao uzaliwe wewe??Bila maridhiano unafikiri wewe ungekuwepo???
matusi ndiyo dalili kuu ya kuishiwa na kushindwa. Mkiitisha maandamano sisi tunabaki nyumbani kwetu tunagegedana na wenza wetu ili risasi zisiende kwa watu wema.

Tz inasongambele nyie endeleeni na maombolezo ya waliokufa kwa uzembe wa kuharibu mali za watanzania bila sababu za msingi. Mlidhani nchi nzima itaandamana siku ile kuunga mkono upuuzi wenu badala yake ukawapata wavuta bhangi tu.
 
Ungekuwa umekufa wewe au ndg yako 29oct na uhakika usingeandika pumba kama hizi!
Nilikuwa na watoto nikawakemea wasishiriki kama vile Heche alivyokemea wa kwake wasishiriki.
 
Nilikuwa na watoto nikawakemea wasishiriki kama vile Heche alivyokemea wa kwake wasishiriki.
Na wale walipigwa risasi wakiwa majumbani mwao walikuwa ni watoto wa Heche
wee ni pimbi empty pumpkin head!

ama out.
 
Back
Top Bottom