PostGE2025 Watanzania hawahitaji maridhiano, nani analazimisha yawepo kwa faida ya nani?

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
..Mauaji ni jambo baya.

..Na Watanzania hawajafurahishwa na mauaji ya Oct 29 ambayo yalihusisha mpaka watoto.

..Watawala wanapaswa kulipa fidia familia zilizopoteza ndugu zao, waliopata ulemavu, na walioharibiwa mali zao.
Ni kweli kabisa, watanzania hawakufarahishwa hata kidogo na mauaji, lakini hawakurahishwa pia uharibu wa miundombinu yao na uporaji wa mali zao. Bahati nzuri watanzania wanajua kwanini waliuliwa na kwanini mali ilichomwa, na hawataki yatokee tena. ndiyo maana wakisikia kuna maandamano mengine kama yele wanaamua wanabaki majumbani mwao kuepusha yasitokee tena. Kuna jambo wamejifunza.
 
Sisi watanzania hatuhitaji maridhiano kwakuwa tumeshajua nini kimetokea na kwanini kilitokea, na mafunzo tumeyapata.
🚮
Kuna maelfu ya Watanganyika waliuawa na wengine kuumizwa vibaya wakiwa manyumbani mwao, bila kuandamana.

Mfano Shekhe Majini, wale watoto waliokuwa wakiangalia mpira ndani ya nyumba, watoto shuleni, nk. Mifano ni mingi.

Kuna huyu bibi hapa chini, mlimpiga risasi akiwa nyumbani kwake halafu mkampeleka mortuary..

View: https://youtu.be/j9yI9PAGIcA?is=GSoXA-KNssotJiUO
 
Kwenye tukio la October 29, 2025 Walioua ni watanzania, waliouliwa ni watanzania na mali zilizoharibiwa ni mali za watanzania wote kwa ujumla wao. Mimi sioni haja ya maridhiano; maana huku mitaani tunakoishi simuoni mtu anaedai maridhiano.

Sisi watanzania wenye mali zilizoharibiwa na watanzania wenzetu tumekubali kuwa watanzania wenzetu waliuliwa na watanzania wenzetu tuliowakabidhi kazi ya ulinzi wa mali zetu kwasababu watanzania wenzetu waliharibu mali na miundombinu yetu kwa kushawishiwa na watu (watanzania na wageni) waliokuwa na agenda zao walizotaka kuzifanikiasha kwa kutumia watanzania wenzetu. Tumeshakubali kuwa watanzania wenzetu wameshakufa na mali zetu zimeshaharibika, wote tumepata funzo.

Dalili muhimu za kuonyesha kuwa tumeshakubaliana na hali ile ya Oct29 ni kama zifuatazo:
1. Watanzania bado wanaishi pamoja kwenye nyumba na mitaa bila kujali vyama, dini, waliokufa wala miundombinu na mali zilizoharibiwa.
2. Watanzania bado wanauza na kununua bidhaa bila kujali vyama, dini, kabila, mauaji wala mali zilizoharibiwa.
3. Watoto wetu bado wanasoma shule na vyuo vilevile kabla na baada ya tukio lile. hakuna aliyehamisha mtoto wake kwaajili hiyo.
4. Usafiri: Hata baada ya tukio lile Watanzania hawabagui vyombo vya usafiri vya kupanda. tunapanda bodaboda, bajaj, mabasi, maguta, treni wala ndege za kusafiria bila kujali anavimiliki nani.
5. kazini: Hata baada ya tukio lile watanzania bado wanafanyakazi ofisi moja, idara na taasisi moja bila kujali vyama na dini zetu
6. Msiba na maziko: Hata baada ya tukio lile watanzania wanazikana bila kujali vyama vya siana, mauaji wala uharibifu uliofanyika.
7. Michezo: Watanzania wanacheza na kushabikia michezo bila kujali kilichotokea Oct29.
8. Ibada: Wote bado tunasali palepale na vilevile tulivyokuwa tukisali kabla ya tukio

Kama hali majumbani, mitaani, sokoni, kwenye usafiri, kwenye ibada na mashuleni ni shwari Nani analazimisha maridhiano? Nani anataka maridhiano? nani atafaidika na maridhiano? Ni maridhiano kati ya nani na nani?

Sisi watanzania hatuhitaji maridhiano kwakuwa tumeshajua nini kimetokea na kwanini kilitokea, na mafunzo tumeyapata.

Kusalia majumbani kila yanapoitishwa maandamano mapya ni uthibitisho kuwa watanzania tumejifunza kitu kutokana na tukio lile. Hatuhitaji kukumbushwakumbushwa kila wakati, wenyewe tumeshaanza kuyasahau na maisha yanaendelea.

Tujikite zaidi kwenye kuzuia yasitokee kama yale tena huko mbeleni kwa kuiangalia nyumba yetu.
Mawazo Yako na yaheshimiwe, mboga mboga ndio Naona wanataka hayo Maridhiano, wakati wameshinda Kwa asilimia 98.0!
 
Tayari umevunja Katiba kwa kusema hivyo. Naomba kila mtanzania mwenye akili timanu awe na katiba kwenye begi lake na aisome kila wakati page after page. Huwezi kuwa mjanja kama huijui Katiba.
Bora nikae hivi hivi kuliko kujuwa katiba alafu nikaona ni sahihi binadamu mwenzangu kuuliwa, kupotezwa,kubambikwa kesi,.....kama wewe ulivyo.
 
TLS fanyeni kazi ya kuelimisha raia kuhusu haki zao na namna ya kuzidai. Huyu kijana anasema kama akiwa na malalamiko na machungu ya muda mrefu ambayo anadhani yanapuuzwa basi anaruhusiwa kujichulia sheria mkononi. Yaani anaweza kumuua mke kama alimwambia ana njaa lakini mkewe akachelewa kumpokia.

..Ndio uhalisia ulivyo.

..Watawala wanaopuuza HAKI za wananchi wao husababisha wananchi hao wavunje sheria.

..Mazingira hayo yametokea maeneo mengi, na Tanzania tumewahi kuunga mkono Waafrika wenzetu waliokuwa wakikandamizwa kudai haki hizo kwa nguvu.

..Nelson Mandela na wenzake walikuwa wakiharibu miundombinu ya nchi yao kupinga watawala walioweka sheria dhalimu za kikandamizaji.

..Na Tanzania tulikuwa tukitoa hifadhi na kuwapa mafunzo Waafrika toka maeneo mbalimbali ili warudi makwao wakadai HAKI kwa kuzihujumu serikali za nchi husika.

..Ni bahati mbaya kwamba Watawala wetu walishindwa kujifunza kuhusu hatari waliyokuwa wakiitengeneza kutokana na kunyima wananchi HAKI zao.
 
kwahiyo MAFISADI wazomewe waone aibu?
Kaka sisi raia tuko bize na mambo yetu kama vile hakuna kilichotokea Oct29. Hayo maridhiano ni njia nyingine nyepesi ya upigaji fedha za wananchi ambazo tunazihitaji mahospitalini na vyuoni. Utasikia sasa hivi wametenga Tsh 200b kwaajili ya maridhiano.
 
Ni kweli kabisa, watanzania hawakufarahishwa hata kidogo na mauaji, lakini hawakurahishwa pia uharibu wa miundombinu yao na uporaji wa mali zao. Bahati nzuri watanzania wanajua kwanini waliuliwa na kwanini mali ilichomwa, na hawataki yatokee tena. ndiyo maana wakisikia kuna maandamano mengine kama yele wanaamua wanabaki majumbani mwao kuepusha yasitokee tena. Kuna jambo wamejifunza.

..wananchi wa kawaida wanaelekea kuwa wamejifunza.

..watawala sidhani kama wamejifunza kwasababu sijaona mabadiliko ktk kauli na baadhi ya matendo yao.

..Kuanzisha taratibu za kulipa fidia itakuwa ni ishara kwamba watawala wanatambua makosa yao, na wanaelekea kubadilika.

.
 
Bora nikae hivi hivi kuliko kujuwa katiba alafu nikaona ni sahihi binadamu mwenzangu kuuliwa, kupotezwa,kubambikwa kesi,.....kama wewe ulivyo.
Sio binadamu mwenzio tu, bali hata wewe kama utaenda kuchoma moto ofisi ya serikali utauliwa hapohapo.

Ogopa sana mali ya umma hata kama ni twiga au tembo. Waua tembo wetu wamekufa wengi sana huko porini. Usicheze na mali ya wote. Hata kwenye familia mali ya urithi ni hatari kwako kama ukienda kinyume na wenzako, wanaweza kukuua au kukuteka, sembuse mali ya umma.

Sisi watu wa Mbagala tulikosa usafiri wetu rahisi wa mwendokasi kwasababu yao, na wamagombeni hakuna usafiri wa Morocco mpaka sasa, who are they?
 
Kaka sisi raia tuko bize na mambo yetu kama vile hakuna kilichotokea Oct29. Hayo maridhiano ni njia nyingine nyepesi ya upigaji fedha za wananchi ambazo tunazihitaji mahospitalini na vyuoni. Utasikia sasa hivi wametenga Tsh 200b kwaajili ya maridhiano.

..mbona hulalamiki kuhusu mabilioni wanayolipwa Lobbyist Wazungu ili kuwasafisha Watawala ktk bunge na serikali ya Marekani?

..Na hata ukisema waliowawa walistahili, vipi kuhusu walioharibiwa mali zao? Kwanini hawalipwi fidia na serikali?

..Ninachokiona mimi ni watawala wenye UBINAFSI uliopitiliza.
 
Kwenye tukio la October 29, 2025 Walioua ni watanzania, waliouliwa ni watanzania na mali zilizoharibiwa ni mali za watanzania wote kwa ujumla wao. Mimi sioni haja ya maridhiano; maana huku mitaani tunakoishi simuoni mtu anaedai maridhiano.

Sisi watanzania wenye mali zilizoharibiwa na watanzania wenzetu tumekubali kuwa watanzania wenzetu waliuliwa na watanzania wenzetu tuliowakabidhi kazi ya ulinzi wa mali zetu kwasababu watanzania wenzetu waliharibu mali na miundombinu yetu kwa kushawishiwa na watu (watanzania na wageni) waliokuwa na agenda zao walizotaka kuzifanikiasha kwa kutumia watanzania wenzetu. Tumeshakubali kuwa watanzania wenzetu wameshakufa na mali zetu zimeshaharibika, wote tumepata funzo.

Dalili muhimu za kuonyesha kuwa tumeshakubaliana na hali ile ya Oct29 ni kama zifuatazo:
1. Watanzania bado wanaishi pamoja kwenye nyumba na mitaa bila kujali vyama, dini, waliokufa wala miundombinu na mali zilizoharibiwa.
2. Watanzania bado wanauza na kununua bidhaa bila kujali vyama, dini, kabila, mauaji wala mali zilizoharibiwa.
3. Watoto wetu bado wanasoma shule na vyuo vilevile kabla na baada ya tukio lile. hakuna aliyehamisha mtoto wake kwaajili hiyo.
4. Usafiri: Hata baada ya tukio lile Watanzania hawabagui vyombo vya usafiri vya kupanda. tunapanda bodaboda, bajaj, mabasi, maguta, treni wala ndege za kusafiria bila kujali anavimiliki nani.
5. kazini: Hata baada ya tukio lile watanzania bado wanafanyakazi ofisi moja, idara na taasisi moja bila kujali vyama na dini zetu
6. Msiba na maziko: Hata baada ya tukio lile watanzania wanazikana bila kujali vyama vya siana, mauaji wala uharibifu uliofanyika.
7. Michezo: Watanzania wanacheza na kushabikia michezo bila kujali kilichotokea Oct29.
8. Ibada: Wote bado tunasali palepale na vilevile tulivyokuwa tukisali kabla ya tukio

Kama hali majumbani, mitaani, sokoni, kwenye usafiri, kwenye ibada na mashuleni ni shwari Nani analazimisha maridhiano? Nani anataka maridhiano? nani atafaidika na maridhiano? Ni maridhiano kati ya nani na nani?

Sisi watanzania hatuhitaji maridhiano kwakuwa tumeshajua nini kimetokea na kwanini kilitokea, na mafunzo tumeyapata.

Kusalia majumbani kila yanapoitishwa maandamano mapya ni uthibitisho kuwa watanzania tumejifunza kitu kutokana na tukio lile. Hatuhitaji kukumbushwakumbushwa kila wakati, wenyewe tumeshaanza kuyasahau na maisha yanaendelea.

Tujikite zaidi kwenye kuzuia yasitokee kama yale tena huko mbeleni kwa kuiangalia nyumba yetu.
Mwambie Samia aache kuhangaika kuwaambia watu kuwa bado kuna mmoja hajakubali reconciliation hivyo bado wanajadili matakwa yake, mwambie aache huo ujinga hatuutaki.
 
Sio binadamu mwenzio tu, bali hata wewe kama utaenda kuchoma moto ofisi ya serikali utauliwa hapohapo.
Ujuvi wa katiba uwasaidie kuacha extrajudicial killings, ubambikaji kesi na wizi wa chaguzi. Hayo mengine ni dalili.
 
kwamba watu waliuawa kwa kuwa walivunja mali?kwamba mali zinathamani kuliko uhai?yale mauaji hayasameheki na hayakuwa na uhalali wowote na wauaji lazima mlipe.watanzania hatutasahau kamwe na sio kwamba tumenyamaza tunatusibiri wakati wa MUNGU.
Kwani nyie mwataka maridhiano ya nini? Mbona maisha yanaendelea kama kawa.
HAKUNA HAJA YA MARIDHIANO
 
Kwenye tukio la October 29, 2025 Walioua ni watanzania, waliouliwa ni watanzania na mali zilizoharibiwa ni mali za watanzania wote kwa ujumla wao. Mimi sioni haja ya maridhiano; maana huku mitaani tunakoishi simuoni mtu anaedai maridhiano.

Sisi watanzania wenye mali zilizoharibiwa na watanzania wenzetu tumekubali kuwa watanzania wenzetu waliuliwa na watanzania wenzetu tuliowakabidhi kazi ya ulinzi wa mali zetu kwasababu watanzania wenzetu waliharibu mali na miundombinu yetu kwa kushawishiwa na watu (watanzania na wageni) waliokuwa na agenda zao walizotaka kuzifanikiasha kwa kutumia watanzania wenzetu. Tumeshakubali kuwa watanzania wenzetu wameshakufa na mali zetu zimeshaharibika, wote tumepata funzo.

Dalili muhimu za kuonyesha kuwa tumeshakubaliana na hali ile ya Oct29 ni kama zifuatazo:
1. Watanzania bado wanaishi pamoja kwenye nyumba na mitaa bila kujali vyama, dini, waliokufa wala miundombinu na mali zilizoharibiwa.
2. Watanzania bado wanauza na kununua bidhaa bila kujali vyama, dini, kabila, mauaji wala mali zilizoharibiwa.
3. Watoto wetu bado wanasoma shule na vyuo vilevile kabla na baada ya tukio lile. hakuna aliyehamisha mtoto wake kwaajili hiyo.
4. Usafiri: Hata baada ya tukio lile Watanzania hawabagui vyombo vya usafiri vya kupanda. tunapanda bodaboda, bajaj, mabasi, maguta, treni wala ndege za kusafiria bila kujali anavimiliki nani.
5. kazini: Hata baada ya tukio lile watanzania bado wanafanyakazi ofisi moja, idara na taasisi moja bila kujali vyama na dini zetu
6. Msiba na maziko: Hata baada ya tukio lile watanzania wanazikana bila kujali vyama vya siana, mauaji wala uharibifu uliofanyika.
7. Michezo: Watanzania wanacheza na kushabikia michezo bila kujali kilichotokea Oct29.
8. Ibada: Wote bado tunasali palepale na vilevile tulivyokuwa tukisali kabla ya tukio

Kama hali majumbani, mitaani, sokoni, kwenye usafiri, kwenye ibada na mashuleni ni shwari Nani analazimisha maridhiano? Nani anataka maridhiano? nani atafaidika na maridhiano? Ni maridhiano kati ya nani na nani?

Sisi watanzania hatuhitaji maridhiano kwakuwa tumeshajua nini kimetokea na kwanini kilitokea, na mafunzo tumeyapata.

Kusalia majumbani kila yanapoitishwa maandamano mapya ni uthibitisho kuwa watanzania tumejifunza kitu kutokana na tukio lile. Hatuhitaji kukumbushwakumbushwa kila wakati, wenyewe tumeshaanza kuyasahau na maisha yanaendelea.

Tujikite zaidi kwenye kuzuia yasitokee kama yale tena huko mbele
Well said. Hakuna haja ya maridhiano.
 
Anayelazimisha ni Samuya aliyesema amechaguliwa kwa 98 kati ya 100 na hadi kasema anajiundia tume ya maridhiano.
 
Ng’ombe wa mama hujui kwamba hiyo ni agenda ya mfugaji wako?
 
Kwani maiti nazo ziliandamana huko monchwali kiasi Cha kupotezwa tena?

CCM nyinyi ni majinga sana
 
Sheria Gani inaruhusu serikali kuua wananchi wake Kwa risasi?Hata mahakama haitoi hukumu ya kifo Kwa bunduki!
Unataka kusema askari wasipewe bunduki na risasi maana wataua watu. unataka kusema polisi wasilinde watu na mali zao kwa kutumia bunduki zenye risasi za moto. yaani mabenki yalindwe na wamasai kwa fimbo.

Kaka bunduki ziko za kuulia wanyama na zipo za kuulia binadamu. Kuzuia uchaguzi na kuchoma mali ya umma ni kuwalazimisha askari wakuue hata hawapendi.
 
Back
Top Bottom