Watanzania hawajahuzunika na Kipigo cha DRC, Kwanini?

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Acha siasa za kifala, halafu ninyi wanasiasa achaneni na timu yetu ya Taifa pumbavu ninyi
 
😂 😂 😂 Mama ameupiga mwingi
 
Kwakua malalamiko ya kupoteza mchezo ni mengi, maana yake walio huzunika na Matokeo ni Watanzania wengi.
 
Congo ni bora mara Mia kuliko sisi
 
“HAKI HUINUA TAIFA”
wewe unaugomvi na wenzio ukamshinde jirani?Mioyo ya watanzania wengi inalia ndani kwa ndani.
 
Usikute hawajatutia kwa kuwa hamasa za mashabiki wengi zimemezwa na Usimba na Uyanga.
Timu ya Taifa inaonekana ni kama timu ya Serikali inayotumia wachezaji wengi wa Simba na Yanga.
Na hata kama tungefunga mjadala ungehamia kuwa aliyefunga ametoka kwenye Timu yetu na sisi ndio tumemfanya kufikia kiwango hicho n.k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…