Watanzania hawajahuzunika na Kipigo cha DRC, Kwanini?

Watanzania hawajahuzunika na Kipigo cha DRC, Kwanini?

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Baada ya kufuatilia nimegundua kwamba wengi hawajafurahishwa na kipigo, lakini pia hawajahuzunishwa.

Kauli zao hazionyeshi kama wamehuzunishwa, Wengi wanasema timu yao ni Timu ya Serikali au ni timu ya viongozi, ni kama wanadhani haiwahusu kiviiiiilee.

Hivi ni Kwanini Watanzania hawaumizwi na Timu yao kuboronga?
Acha siasa za kifala, halafu ninyi wanasiasa achaneni na timu yetu ya Taifa pumbavu ninyi
 
WhatsApp Image 2024-10-15 at 1.59.43 PM.jpeg
 
Kwakua malalamiko ya kupoteza mchezo ni mengi, maana yake walio huzunika na Matokeo ni Watanzania wengi.
 
Baada ya kufuatilia nimegundua kwamba wengi hawajafurahishwa na kipigo, lakini pia hawajahuzunishwa.

Kauli zao hazionyeshi kama wamehuzunishwa, Wengi wanasema timu yao ni Timu ya Serikali au ni timu ya viongozi, ni kama wanadhani haiwahusu kiviiiiilee.

Hivi ni Kwanini Watanzania hawaumizwi na Timu yao kuboronga?

Soma Pia: Full Time: Tanzania 0- 2 DR Congo | Qualification AFCON 2025 | Benjamin Mkapa Stadium | 15 Oktoba, 2024
Congo ni bora mara Mia kuliko sisi
 
“HAKI HUINUA TAIFA”
wewe unaugomvi na wenzio ukamshinde jirani?Mioyo ya watanzania wengi inalia ndani kwa ndani.
 
Usikute hawajatutia kwa kuwa hamasa za mashabiki wengi zimemezwa na Usimba na Uyanga.
Timu ya Taifa inaonekana ni kama timu ya Serikali inayotumia wachezaji wengi wa Simba na Yanga.
Na hata kama tungefunga mjadala ungehamia kuwa aliyefunga ametoka kwenye Timu yetu na sisi ndio tumemfanya kufikia kiwango hicho n.k
 
Back
Top Bottom