Robert Heriel Mtibeli
Platinum Member
- Mar 24, 2018
- 40,153
- 93,069
Mpo Salama!
Nilikuwa napitia orodha ya vijana wa Chadema na wanaharakati waliouawa, wengine kupotezwa kusikojulikana. Ni wengi.
Na imechukua muda mrefu Sana.
iko hivi; kwenye suala la Ukombozi huwezi komboa watu ambao hawapo tayari kukombolewa.
Hata Mungu alipotuma Manabii zake, au wakombozi aliwatuma kwa jamii ambazo zilikuwa zinamlilia, zinahitaji Ukombozi.
Mara kwa Mara Mungu alisema, Kilio chao kimefika Mbinguni penye kito cha Enzi.
Nikiwatathmini watanzania, wengi wao hawapo tayari kukombolewa.
Hawataki kukombolewa kwa sababu mbalimbali.
No hatari kutaka kumkomboa mtu ambaye hataki kukombolewa.
Ni hatari kutaka Kumkomboa watu ambao wameridhishwa na kuridhika na maisha wanayoyaishi. Ni hatari!
Vijana waliokufa ni wengi Sana. Na kama watanzania wengikuwa kweli wanahitaji kukombolewa ukombozi ungekuwa ushapatikana.
Haya