Nishasema ninavyojua hakukuwa na mapigano ya kuuana, kama kuna waliouawa, sifahamu, sina dataJibu swali wakati Nyerere anapigania uhuru watanganyika wangapi waliuawa
Unaelewa maana ya neno mapigano kweli weweNishasema ninavyojua hakukuwa na mapigano ya kuuana, kama kuna waliouawa, sifahamu, sina data
Rudia kusoma, nimetaja aina ya mapiganoUnaelewa maana ya neno mapigano kweli wewe
Hamna uhuru alioupigania huyo Nyerere full stop watu sio wajinga miaka hii kukaa na kuanza kuwadanganyaRudia kusoma, nimetaja aina ya mapigano
Dogo,Hamna uhuru alioupigania huyo Nyerere full stop watu sio wajinga miaka hii kukaa na kuanza kuwadanganya
We ni kubwa jingaDogo,
Jikite kwenye mada au anzisha uzi
🚮We ni kubwa jinga
Kubwa jinga ni matusi mbona Mimi umeniita dogo au ndio hujielewi?🚮
Wee mbususu, matusi yanakujaje tena hapa?!!!
mkuu nilikuwa ninatafakari mifano hii iliyotudumaza!Mpo Salama!
Nilikuwa napitia orodha ya vijana wa Chadema na wanaharakati waliouawa, wengine kupotezwa kusikojulikana. Ni wengi.
Na imechukua muda mrefu Sana.
iko hivi; kwenye suala la Ukombozi huwezi komboa watu ambao hawapo tayari kukombolewa.
Hata Mungu alipotuma Manabii zake, au wakombozi aliwatuma kwa jamii ambazo zilikuwa zinamlilia, zinahitaji Ukombozi.
Mara kwa Mara Mungu alisema, Kilio chao kimefika Mbinguni penye kito cha Enzi.
Nikiwatathmini watanzania, wengi wao hawapo tayari kukombolewa.
Hawataki kukombolewa kwa sababu mbalimbali.
No hatari kutaka kumkomboa mtu ambaye hataki kukombolewa.
Ni hatari kutaka Kumkomboa watu ambao wameridhishwa na kuridhika na maisha wanayoyaishi. Ni hatari!
Vijana waliokufa ni wengi Sana. Na kama watanzania wengikuwa kweli wanahitaji kukombolewa ukombozi ungekuwa ushapatikana.
Haya
Nukuu kutoka kwa Mao Tse TungHizo vita za kina mkwawa na majimaji hazikuwa na vita za Tanganyika. Ilikuwa ni vita za mataifa husika tajwa hapo
Tanganyika ilianzishwa na Wakoloni. Kumbuka hilo.
Swali, kwani hawa wanaopigania haki fulanifulani wanapigana vita?
Usijue Ben Saanane, Ali Kibao, Soka, Alphons Mawazo na wengine waliuwawa kinyama? unafahamu sema unajizima data kwa kuwa wewe ni mnufaika wa utawala dhalimu wa CCM..Nishasema ninavyojua hakukuwa na mapigano ya kuuana, kama kuna waliouawa, sifahamu, sina data
Ukitoa Jamiiforum uko sehemu nyingine watu wanawaza mpira
Ni kweli kabisa wote waliouawa au kutaka kuuliwa kama Tundu Lissu na ikashindikana ndio wakombozi wa kweli, tatizo wakombolewa hawako tayari.
kwasasa nimejua ni kwann WAASI huua mpaka Raia na sio VIONGOZI wa SERIKALI pekee,....
Binafsi naona tz tupo sehem nzuri...
Uandishi tofautiMpo Salama!