Watanzania hawapo tayari kukombolewa. Kikawaida huwezi mlazimisha Punda kunywa maji

Japo kuna harufu ya mabadiliko naiona kwenye mitandao, ila huku nje maraia wengi ni wajinga na wapumbavu
Na kinachowadanya siku hizi kama huko mikoani wala si T-shirt na Kofia tena, ila ni uchezaji na uvaaji wa Diamond na Harmonize kwenye kampeni...
Ndo ukute sasa wanahadithiana na kuwasifia waliowaleta..
 
Mpo Salama!

Nilikuwa napitia orodha ya vijana wa Chadema na wanaharakati waliouawa, wengine kupotezwa kusikojulikana. Ni wengi.
Na imechukua muda mrefu Sana.

iko hivi; kwenye suala la Ukombozi huwezi komboa watu ambao hawapo tayari kukombolewa.

Hata Mungu alipotuma Manabii zake, au wakombozi aliwatuma kwa jamii ambazo zilikuwa zinamlilia, zinahitaji Ukombozi.
Mara kwa Mara Mungu alisema, Kilio chao kimefika Mbinguni penye kito cha Enzi.

Nikiwatathmini watanzania, wengi wao hawapo tayari kukombolewa.
Hawataki kukombolewa kwa sababu mbalimbali.

No hatari kutaka kumkomboa mtu ambaye hataki kukombolewa.
Ni hatari kutaka Kumkomboa watu ambao wameridhishwa na kuridhika na maisha wanayoyaishi. Ni hatari!

Vijana waliokufa ni wengi Sana. Na kama watanzania wengikuwa kweli wanahitaji kukombolewa ukombozi ungekuwa ushapatikana.

Haya
Watanzania wapo tayar kukombolewa tatizo kubwa ni matumizi makubwa ya nguvu ya dola kitu kinacho wafanya wananchi kuwa na hofu kubwa sana kujidhihirisha upinzani wao na hasa baada ya kutekwa na kuuawa,
 
Japo kuna harufu ya mabadiliko naiona kwenye mitandao, ila huku nje maraia wengi ni wajinga na wapumbavu
Ndo maana nawashangaa akina Lissu wanayapigania Matanzania ambayo hayapo tayari kukombolewa. Lissu angekubali tu kupiga dili na MACCM ale keki ya Taifa..aachane na watanzania ambao hawako tayari. Anaozea jela
 
Watanzania wapo tayar kukombolewa tatizo kubwa ni matumizi makubwa ya nguvu ya dola kitu kinacho wafanya wananchi kuwa na hofu kubwa sana kujidhihirisha upinzani wao na hasa baada ya kutekwa na kuuawa,

Unajua maana ya mtu aliyetayari kukomboa au kukombolewa?
Hofu haiwezi kuwa sehemu ya mtu huyo.
 
Mpo Salama!

Nilikuwa napitia orodha ya vijana wa Chadema na wanaharakati waliouawa, wengine kupotezwa kusikojulikana. Ni wengi.
Na imechukua muda mrefu Sana.

iko hivi; kwenye suala la Ukombozi huwezi komboa watu ambao hawapo tayari kukombolewa.

Hata Mungu alipotuma Manabii zake, au wakombozi aliwatuma kwa jamii ambazo zilikuwa zinamlilia, zinahitaji Ukombozi.
Mara kwa Mara Mungu alisema, Kilio chao kimefika Mbinguni penye kito cha Enzi.

Nikiwatathmini watanzania, wengi wao hawapo tayari kukombolewa.
Hawataki kukombolewa kwa sababu mbalimbali.

No hatari kutaka kumkomboa mtu ambaye hataki kukombolewa.
Ni hatari kutaka Kumkomboa watu ambao wameridhishwa na kuridhika na maisha wanayoyaishi. Ni hatari!

Vijana waliokufa ni wengi Sana. Na kama watanzania wengikuwa kweli wanahitaji kukombolewa ukombozi ungekuwa ushapatikana.

Haya
Leo umeandika kifupi na straight
 
Unajua maana ya mtu aliyetayari kukomboa au kukombolewa?
Hofu haiwezi kuwa sehemu ya mtu huyo.
Hii hapa ni kiashiria kuwa wapo walio tayari kwa ukombozi ingawa wanaweza wasiwe wengi sana...
👇
 
Haohao tungewaona live
 
Japo kuna harufu ya mabadiliko naiona kwenye mitandao, ila huku nje maraia wengi ni wajinga na wapumbavu
Huu ndio uhalisia wenyewe, ukombozi unatafutwa mitandaoni lkn uraiani viazi vinaendelea na maisha kama hamna tatizo vile!
 
Mpo Salama!

Nilikuwa napitia orodha ya vijana wa Chadema na wanaharakati waliouawa, wengine kupotezwa kusikojulikana. Ni wengi.
Na imechukua muda mrefu Sana.

iko hivi; kwenye suala la Ukombozi huwezi komboa watu ambao hawapo tayari kukombolewa.

Hata Mungu alipotuma Manabii zake, au wakombozi aliwatuma kwa jamii ambazo zilikuwa zinamlilia, zinahitaji Ukombozi.
Mara kwa Mara Mungu alisema, Kilio chao kimefika Mbinguni penye kito cha Enzi.

Nikiwatathmini watanzania, wengi wao hawapo tayari kukombolewa.
Hawataki kukombolewa kwa sababu mbalimbali.

No hatari kutaka kumkomboa mtu ambaye hataki kukombolewa.
Ni hatari kutaka Kumkomboa watu ambao wameridhishwa na kuridhika na maisha wanayoyaishi. Ni hatari!

Vijana waliokufa ni wengi Sana. Na kama watanzania wengikuwa kweli wanahitaji kukombolewa ukombozi ungekuwa ushapatikana.

Haya

Kuna ukweli kwenye andiko lako. Fikiria hizi ng'ombe: "ACT, g-55, aina za kina Lucas Mwashambwa, njinjo, Tlaatlaah, kumbuka vijana wa hovyo wapenda nyama na pombe za bure, nk, list ni ndefu isiyokiwa na ukomo."

imhotep, Fundi Nchundo, Drlfter, binti viziwi, Fortila, na wale wengine waliomo na wasiokuwamo au nasema uongo?
 
Back
Top Bottom