The Icebreaker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 22,278
- 65,817
Kwahiyo huu uzi wako hapa ulikua ni kwa ajili ya hao wazungu au kwa sisi waswahili?View attachment 3007077
Siwalazimishi kuamini hiyo dissertation marking yangu amini usiamini nimewafyatulia maneno 15,000 kwa week tatu tu wazungu.
Iła naamini majungu tu kwa sababu ata lecture zenyewe nilikuwa siendi vinginevyo ile kazi ni 90%+.
Sasa unajua shughuli unayotakiwa kufanya hadi wazungu wakupe A dissertation ata hiyo ya 70%.
Mie sio mzaha mzaha mjue, hiyo attendance nikwamba lecture zenyewe nilikuwa siendi.