Watanzania hawawezi kuandika

Watanzania hawawezi kuandika

View attachment 3007077

Siwalazimishi kuamini hiyo dissertation marking yangu amini usiamini nimewafyatulia maneno 15,000 kwa week tatu tu wazungu.

Iła naamini majungu tu kwa sababu ata lecture zenyewe nilikuwa siendi vinginevyo ile kazi ni 90%+.

Sasa unajua shughuli unayotakiwa kufanya hadi wazungu wakupe A dissertation ata hiyo ya 70%.

Mie sio mzaha mzaha mjue, hiyo attendance nikwamba lecture zenyewe nilikuwa siendi.
Kwahiyo huu uzi wako hapa ulikua ni kwa ajili ya hao wazungu au kwa sisi waswahili?
 
Title : Watanzania awawezi kuandika

SIO awawezi ni hawawezi >> ongezea h

Mkuu Maxence Melo inabidi aujiri mtu wa kufanya editing za hapa na pale kwenye Maandiko yanayotupiwa humu la sivyo Maandiko mengi humu yanakua km vituko tu Kiswahili sio Kiswahili haieleweki mtu mwingine anaweza akaona kinyaa kusoma
 
Academic writing, logical writing, argumentation writing; is not about misspelling (grammar matters) but logic of the argument is foremost.

Shida ni kwamba wengi wetu hatuna uelewa wa kujenga hoja kuonyesha position yetu given the global understanding.

Uwezi kujisbdikia upuuzi tu kutoka kichwani kwako without academic justification or understood practices.
Acha ubishi wewe unavyokanusha lazima utumie prefix "ha".
 
Moja kwa moja kwenye hoja yangu

Kipimo cha elimu ni uwezo wa kuwasilisha hoja kwa kuzingatia mtiririko wa wa ushahidi unaokubalika kwenye jumuiya ya wasomi duniani na kwa mpangilio sahihi.

Maana yake nini uwezi jiandikia tu upuuzi ambao uwezi uthibitisha nje ya uelewa wa dunia kuhusu hilo jambo (vinginevyo inabidi uandike paper iwe peer reviewed ili dunia iwe na uelewa mpya).

Shida ya wasomi wetu sio kwamba awatambui hizo kanuni za uandishi (not just academically, ila ata.kwenye magazeti) waandishi wetu hawana uwezo wa kufuata academic structure kwenye kujenga hoja, kuonyesha uelewa wao on the topic (that they have done research) na mwisho ni grammar (kwa Kiswahili hii ni shida ya kuweka H na A ni minor) that’s the job of the chief editor.

Ili lalamiko ni kutokana na kupitia jukwaa la stories of change’ mule ndani kwa sababu kuna academic assessment watu wengi awawezi kuandika, hawaoni sababu ya ku-research topic topic wanazoabdika. Waandishi wanadhani wapo entitled na opinion without academic justification; kwa kifupi ni kwamba ukisoma topic za mule the whole seems pathetic.

More than. 90% of the topic presented dont even meet even level 2 (writing skills). You can’t just things from on top of your head.
Awawezi, awatatambui

Crap
 
Academic writing, logical writing, argumentation writing; is not about misspelling (grammar matters) but logic of the argument is foremost.

Shida ni kwamba wengi wetu hatuna uelewa wa kujenga hoja kuonyesha position yetu given the global understanding.

Uwezi kujisbdikia upuuzi tu kutoka kichwani kwako without academic justification or understood practices.
Another gibberish
 
Wewe MEMKWA acha kujifanya msomi. Rudi shule kwanza
 
Moja kwa moja kwenye hoja yangu

Kipimo cha elimu ni uwezo wa kuwasilisha hoja kwa kuzingatia mtiririko wa wa ushahidi unaokubalika kwenye jumuiya ya wasomi duniani na kwa mpangilio sahihi.

Maana yake nini uwezi jiandikia tu upuuzi ambao uwezi uthibitisha nje ya uelewa wa dunia kuhusu hilo jambo (vinginevyo inabidi uandike paper iwe peer reviewed ili dunia iwe na uelewa mpya).

Shida ya wasomi wetu sio kwamba awatambui hizo kanuni za uandishi (not just academically, ila ata.kwenye magazeti) waandishi wetu hawana uwezo wa kufuata academic structure kwenye kujenga hoja, kuonyesha uelewa wao on the topic (that they have done research) na mwisho ni grammar (kwa Kiswahili hii ni shida ya kuweka H na A ni minor) that’s the job of the chief editor.

Ili lalamiko ni kutokana na kupitia jukwaa la stories of change’ mule ndani kwa sababu kuna academic assessment watu wengi awawezi kuandika, hawaoni sababu ya ku-research topic topic wanazoabdika. Waandishi wanadhani wapo entitled na opinion without academic justification; kwa kifupi ni kwamba ukisoma topic za mule the whole seems pathetic.

More than. 90% of the topic presented dont even meet even level 2 (writing skills). You can’t just things from on top of your head.
Aliyesema "nyani hauni kund.le" alisema kweli.
Wewe "writing skills" yako ni ya level gani!!??
 
Hiki ndio kinachowaaribu; grammar is 5% on academic.

Issues za msingi ni structure na research evidence; ambazo hakuna.

Watanzania tunadhani unaweza jiandikia mambo tu kutoka kichwani kwako.
Unazidi kuandika utumbo tu

Throwing a few words here and there mara global, mara research, mara structures

Mara hakuna research evidence, lakini hapohapo unasema Awajui kuandika,

Tafuta mada nyingine…. Hii umejinyea
 
Back
Top Bottom