Mkikuyu- Akili timamu
JF-Expert Member
- Feb 16, 2018
- 4,310
- 7,465
Katiba Mpya Kenya imeongeza ufisadi, Ukabila, Njaa, Ukosefu wa kazi, Police Brutality,na Uchumi kushuka kutoka 8% hadi 4.5%
Hio ndio ukweli
Hio ndio ukweli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani GDP inahesabika pesa tu au pamoja na miundo mbinu ya nchi ?.Wewe ndio umechemsha zaidi. Wewe sio mchumi sijui kwa nini unajifanya kuwa unafahamu haya mambo kiasi cha kumtusi MK254? Wewe ni mjinga kwa kulinganisha resources zilizo chini ya ardhi hapa Afrika Mashariki na Gdp ya Sweden. Kamwe huwezi linganisha resources ambazo hazijachimbwa na resources ambazo zimechimbwa na kutumika kuunda uchumi. Gdp ndio kigezo cha msingi kwenye kulinganisha utajiri wa nchi mbali mbali. Kulingana na akili yako finyu, DR Congo ambayo ina madini aina karibu zote ni tajiri kushinda UK ambayo haina madini mengi? UK ni tajiri kwa sababu wananunua madini kutoka nchi za kiafrika ingawa wao hawana madini ardhini. Kuwa na dhahabu ardhini bila ya kuwa na ujuzi wa kuyachimba na kuyarefine ni ujinga tu. Wao wana industries ya kurefine dhahabu, mafuta, steel, aluminium na kadhalika. Ilhali sisi Waafrika hatuna hizi industries. Kuwa na resources ardhini bila ya kuwa na akili ya kuyachimba na kuyarefine ni ujinga. Waafrika sisi ni wajinga kwa sababu tunaringa na madini yaliyo ardhini ambayo hatuna uwezo wa kuyachimba. Makampuni kutoka nje ndio yanakuja kuyachimba na kuyapeleka kwao. Usiwahi linganisha Gdp ambayo ni kigezo cha utajiri wa nchi na madini yaliyo ardhini ambayo bado hayajachimbwa.
Ndio maana ukaambiwa hata kama nchi masikini ila Thamani yake uwezi kulinganisha na pesa ya nchi fulani maana thaman ya nchi haifanani na kiasichochote cha pesa yani mfano wake Roho ,huwezi ukathaminisha roho ya mwenzio Kwa kiwango fulani cha pesa utaona inakidhi sababu ya tamaa yako tu ila sio thamani yake hiyo ndio maana huyo mbulula mk 254 anaonekana pimbi kufananisha kiasi cha pesa eti Kwa Tz ,ke, Ug , Ethiopia , sijui Sudan mbili du kweli njaa ni sawa na uchizi sio bure atakua ana njaa huyu ,hivi mtu kama huyu anawaza kweli kabla ya kuongea au anaropoka tu maana unaposema nchi ni vitu vyote vilivyomo humo ndani pamoja na watu, mito , maziwa , bahari ,milima , misitu , mbuga , madini sasa unaposema madini usihesabu Kwa nini kwani hayapoWewe ndio umechemsha zaidi. Wewe sio mchumi sijui kwa nini unajifanya kuwa unafahamu haya mambo kiasi cha kumtusi MK254? Wewe ni mjinga kwa kulinganisha resources zilizo chini ya ardhi hapa Afrika Mashariki na Gdp ya Sweden. Kamwe huwezi linganisha resources ambazo hazijachimbwa na resources ambazo zimechimbwa na kutumika kuunda uchumi. Gdp ndio kigezo cha msingi kwenye kulinganisha utajiri wa nchi mbali mbali.
Kulingana na akili yako finyu, DR Congo ambayo ina madini aina karibu zote ni tajiri kushinda UK ambayo haina madini mengi? UK ni tajiri kwa sababu wananunua madini kutoka nchi za kiafrika ingawa wao hawana madini ardhini. Kuwa na dhahabu ardhini bila ya kuwa na ujuzi wa kuyachimba na kuyarefine ni ujinga tu. Wao wana industries ya kurefine dhahabu, mafuta, steel, aluminium na kadhalika. Ilhali sisi Waafrika hatuna hizi industries.
Kuwa na resources ardhini bila ya kuwa na akili ya kuyachimba na kuyarefine ni ujinga. Waafrika sisi ni wajinga kwa sababu tunaringa na madini yaliyo ardhini ambayo hatuna uwezo wa kuyachimba. Makampuni kutoka nje ndio yanakuja kuyachimba na kuyapeleka kwao. Usiwahi linganisha Gdp ambayo ni kigezo cha utajiri wa nchi na madini yaliyo ardhini ambayo bado hayajachimbwa.
Hata mbowe kwani alishambuliwa kweli c maigizo tu unazani muheshimiwa kama yule aseme ameanguka kwenye ngazi akiwa tungi unazani Jambo jepesi tena cha zaidi alikua na kicheche huku mke kamuacha nyumbani !! , Kuigiza mda mwengine kweli inawezekana kua ipo ingawa hatuna uhakikaMagufuli anafanya maigizo hao wote wamekua wamepangwa na kuandaliwa
Wewe ndio umechemsha zaidi. Wewe sio mchumi sijui kwa nini unajifanya kuwa unafahamu haya mambo kiasi cha kumtusi MK254? Wewe ni mjinga kwa kulinganisha resources zilizo chini ya ardhi hapa Afrika Mashariki na Gdp ya Sweden. Kamwe huwezi linganisha resources ambazo hazijachimbwa na resources ambazo zimechimbwa na kutumika kuunda uchumi. Gdp ndio kigezo cha msingi kwenye kulinganisha utajiri wa nchi mbali mbali.
Kulingana na akili yako finyu, DR Congo ambayo ina madini aina karibu zote ni tajiri kushinda UK ambayo haina madini mengi? UK ni tajiri kwa sababu wananunua madini kutoka nchi za kiafrika ingawa wao hawana madini ardhini. Kuwa na dhahabu ardhini bila ya kuwa na ujuzi wa kuyachimba na kuyarefine ni ujinga tu. Wao wana industries ya kurefine dhahabu, mafuta, steel, aluminium na kadhalika. Ilhali sisi Waafrika hatuna hizi industries.
Kuwa na resources ardhini bila ya kuwa na akili ya kuyachimba na kuyarefine ni ujinga. Waafrika sisi ni wajinga kwa sababu tunaringa na madini yaliyo ardhini ambayo hatuna uwezo wa kuyachimba. Makampuni kutoka nje ndio yanakuja kuyachimba na kuyapeleka kwao. Usiwahi linganisha Gdp ambayo ni kigezo cha utajiri wa nchi na madini yaliyo ardhini ambayo bado hayajachimbwa.
Mbona umechanganya sn madesa mkuu.....kwani ww ndo unafanya maandalizi ya hizi sanaa za mkuu?Hata mbowe kwani alishambuliwa kweli c maigizo tu unazani muheshimiwa kama yule aseme ameanguka kwenye ngazi akiwa tungi unazani Jambo jepesi tena cha zaidi alikua na kicheche huku mke kamuacha nyumbani !! , Kuigiza mda mwengine kweli inawezekana kua ipo ingawa hatuna uhakika
C tunazungumzia kupanga, hivi apange ili iweje kama kukubalika magufuli kashakubalika tu uraiani hana mpinzani sasa mpaka apange watu kutaka nini?Mbona umechanganya sn madesa mkuu. Kwani wewe ndo unafanya maandalizi ya hizi sanaa za mkuu?
Kakubalika uraiani unamaanisha wapi mkuu.C tunazungumzia kupanga, hivi apange ili iweje kama kukubalika magufuli kashakubalika tu uraiani hana mpinzani sasa mpaka apange watu kutaka nini?
Wewe ndio umechemsha zaidi. Wewe sio mchumi sijui kwa nini unajifanya kuwa unafahamu haya mambo kiasi cha kumtusi MK254? Wewe ni mjinga kwa kulinganisha resources zilizo chini ya ardhi hapa Afrika Mashariki na Gdp ya Sweden. Kamwe huwezi linganisha resources ambazo hazijachimbwa na resources ambazo zimechimbwa na kutumika kuunda uchumi. Gdp ndio kigezo cha msingi kwenye kulinganisha utajiri wa nchi mbali mbali.
Kulingana na akili yako finyu, DR Congo ambayo ina madini aina karibu zote ni tajiri kushinda UK ambayo haina madini mengi? UK ni tajiri kwa sababu wananunua madini kutoka nchi za kiafrika ingawa wao hawana madini ardhini. Kuwa na dhahabu ardhini bila ya kuwa na ujuzi wa kuyachimba na kuyarefine ni ujinga tu. Wao wana industries ya kurefine dhahabu, mafuta, steel, aluminium na kadhalika. Ilhali sisi Waafrika hatuna hizi industries.
Kuwa na resources ardhini bila ya kuwa na akili ya kuyachimba na kuyarefine ni ujinga. Waafrika sisi ni wajinga kwa sababu tunaringa na madini yaliyo ardhini ambayo hatuna uwezo wa kuyachimba. Makampuni kutoka nje ndio yanakuja kuyachimba na kuyapeleka kwao. Usiwahi linganisha Gdp ambayo ni kigezo cha utajiri wa nchi na madini yaliyo ardhini ambayo bado hayajachimbwa.
Maneno ya chadema haya yanaonesha hisia tu sio uhalisia ,walimu wamelipwa kipindi chote cha korona Kenya wenye katiba mpya wameshindwa wanafunzi wanalia hiyo Kwa Imani yako labda ungefafanua wanalia wamefanyiwa kitu gani kibaya na Magufuli ambacho kilikua tofauti na utawala wa nyuma , sasa ukiwa tayar una chiki uwezi kuona uongoz kua bora hata kama bora miaka yote. Yani unachokizungumza wewe ni propaganda hauna tofauti na walibya. Hivi unajua kazi ya RaisKakubalika uraiani unamaanisha wapi mkuu....
WAKULIMA WANALIA
WAFANYAKAZI WANALIA SN
WAFANYABIASHARA WANALIA VIBAYA
WANAFUNZI NDIO USISEME
Uchaguzi ukiwa huru na haki hamna hata mmoja hapo juu atampa kura ndio maana hataki uchaguzi, hataki tumehuru, hataki katiba ya wananchi Ila yy anabadilisha hii mbovu iliyopo ili akivunja katiba asishitakiwe. Umewahi kuniuliza ni kwa nini?
Uraiani unemaanisha wapi mkuu
Mfanya biashara gani kafirisika kipindi hiki?Kakubalika uraiani unamaanisha wapi mkuu....
WAKULIMA WANALIA
WAFANYAKAZI WANALIA SN
WAFANYABIASHARA WANALIA VIBAYA
WANAFUNZI NDIO USISEME
Uchaguzi ukiwa huru na haki hamna hata mmoja hapo juu atampa kura ndio maana hataki uchaguzi, hataki tumehuru, hataki katiba ya wananchi Ila yy anabadilisha hii mbovu iliyopo ili akivunja katiba asishitakiwe. Umewahi kuniuliza ni kwa nini?
Uraiani unemaanisha wapi mkuu
Hakuna mahali nimelinganisha thamani ya nchi fulani na pesa ya nchi fulani. Rudia kusoma post yangu pole pole ili uielewe. Kimsingi,huwezi kuringa na madini ambayo hujayachimba. Mali ni ile ambayo umeishika mkononi au ambayo umeichimba. Kama hujaichimba basi hiyo ni kama kuhesabu pesa ambayo bado hujapata. Pesa unahesabu tu ile ambayo umeipata. Kama huna technology na ujuzi wa kuchimba na kurefine dhahabu utaihesabu vipi kama sehemu ya utajiri? Na utaipea value ipi? Utasema sisi tuna dhahabu kiasi cha $30 billion? Hata ukisema hivyo kumbuka bado hujaichimba kwa hivyo huwezi kuirecord kwenye vitabu.Ndio maana ukaambiwa hata kama nchi masikini ila Thamani yake uwezi kulinganisha na pesa ya nchi fulani maana thaman ya nchi haifanani na kiasichochote cha pesa yani mfano wake Roho ,huwezi ukathaminisha roho ya mwenzio Kwa kiwango fulani cha pesa utaona inakidhi sababu ya tamaa yako tu ila sio thamani yake hiyo ndio maana huyo mbulula mk 254 anaonekana pimbi kufananisha kiasi cha pesa eti Kwa Tz ,ke, Ug , Ethiopia , sijui Sudan mbili du kweli njaa ni sawa na uchizi sio bure atakua ana njaa huyu ,hivi mtu kama huyu anawaza kweli kabla ya kuongea au anaropoka tu maana unaposema nchi ni vitu vyote vilivyomo humo ndani pamoja na watu, mito , maziwa , bahari ,milima , misitu , mbuga , madini sasa unaposema madini usihesabu Kwa nini kwani hayapo
Umemsapoti mk 254 Kwa upumbavu aliouandika kua Uswisi uchumi wake unaweza kununua nchi ya Kenya, Tanzania, Uganda na Ethiopia na chenji ikabaki sasa huu si uwendawazimu huuHakuna mahali nimelinganisha thamani ya nchi fulani na pesa ya nchi fulani. Rudia kusoma post yangu pole pole ili uielewe. Kimsingi,huwezi kuringa na madini ambayo hujayachimba. Mali ni ile ambayo umeishika mkononi au ambayo umeichimba. Kama hujaichimba basi hiyo ni kama kuhesabu pesa ambayo bado hujapata. Pesa unahesabu tu ile ambayo umeipata. Kama huna technology na ujuzi wa kuchimba na kurefine dhahabu utaihesabu vipi kama sehemu ya utajiri? Na utaipea value ipi? Utasema sisi tuna dhahabu kiasi cha $30 billion? Hata ukisema hivyo kumbuka bado hujaichimba kwa hivyo huwezi kuirecord kwenye vitabu.
Hata usisome na hio roho yako mbaya.Sijahangaika hata kusoma hayo mashudu yote
Mimi nimemjibu kuhusu kununua nchi na wala sio hizo pumba ulizoniorodhoshea.
Mkuu acha kurukaruka kitembezembe.Maneno ya chadema haya yanaonesha hisia tu sio uhalisia ,walimu wamelipwa kipindi chote cha korona Kenya wenye katiba mpya wameshindwa wanafunzi wanalia hiyo Kwa Imani yako labda ungefafanua wanalia wamefanyiwa kitu gani kibaya na Magufuli ambacho kilikua tofauti na utawala wa nyuma , sasa ukiwa tayar una chiki uwezi kuona uongoz kua bora hata kama bora miaka yote. Yani unachokizungumza wewe ni propaganda hauna tofauti na walibya . Hivi unajua kazi ya Rais
Kakubalika uraiani unamaanisha wapi mkuu.Maneno ya chadema haya yanaonesha hisia tu sio uhalisia ,walimu wamelipwa kipindi chote cha korona Kenya wenye katiba mpya wameshindwa wanafunzi wanalia hiyo Kwa Imani yako labda ungefafanua wanalia wamefanyiwa kitu gani kibaya na Magufuli ambacho kilikua tofauti na utawala wa nyuma , sasa ukiwa tayar una chiki uwezi kuona uongoz kua bora hata kama bora miaka yote. Yani unachokizungumza wewe ni propaganda hauna tofauti na walibya . Hivi unajua kazi ya Rais
Nionyeshe ni wapi nimesema hivyo. Mimi tatizo langu ni huyo wazimu Naton Jr kuhesabu madini yaliyo ardhini kama sehemu ya utajiri. Chimba madini kwanza kisha uihesabu. Kama ni kweli Naton anavyosema basi DR Congo ingekuwa nchi tajiri zaidi duniani. Kamwe huwezi hesabu kuku kabla mayai hayajaanguliwa.Umemsapoti mk 254 Kwa upumbavu aliouandika kua Uswisi uchumi wake unaweza kununua nchi ya Kenya, Tanzania, Uganda na Ethiopia na chenji ikabaki sasa huu si uwendawazimu huu
Enzi za katiba ya zamani hapa kwetu ilikua hivi hivi kama tunavyoshuhudia kwa Watanzania, kwamba maskini wanyonge wanalaghaiwa na kunyanyaswa bila msaada wowote, hata wakifika kwa wakuu wa mikoa taswira inabaki ile ile, mpaka siku msafara wa rais utapita, kisha umpigie rais makelele hadi akuskie halafu unapewa mic uongee tatizo lako, hapo sasa ndio unakua umefika mwisho wa mateso yako maana ataamrisha suluhu.
Huwa natazama video za rais Magufuli, kweli ana nia ya dhati ya kutatua matatizo ya watu wake, lakini naona mzee wa watu ameanza kuchoka, siku za mwanzo mwanzo kwwenye hii misafara alikua anaskliza kesi za namna hii, lakini sasa hivi naona ameanza kuzichunia na inabidi mtu apige makelele sana ya kichizi kwenye hii mikutano ya kampeni ndio usklizwe.
Kwa hali ya hivi, maelfu na maelfu ya kero haziwezi kutatuliwa, lazima mtegemee katiba na sio kukaa mkisubiri misafara ya rais, mtamchosha sana.