Usisikilize maneno ya chadema wale wenzio wanapinga hata kama Jambo zuri lengo kutengeneza ukinzani ili kuvuta wafuasi kwenye chama chao ili wapate luzuku nyingi ya chama maisha yaendelee kwahiyo mtaji wa wanasiasa ni Mimi na wewe na ukikaa bila kushughulisha akili hata hiyo chadema ikichukua nchi mambo ndio yale yale huwez pata pesa bila ya kutega channel. Mimi sio ccm na ckumpigia kura Magufuli ila Kwa sasa namkubali Kwa kua anafanya kazi ya Rais . Maana Rais kazi yake kukusanya Kodi kisha kuzitumia ktk miundo mbinu ya nchi, kusimamia lasilimali ya nchi vizur kama kuingia mikataba yenye maslai Kwa nchi sasa wewe kama unataka ampe mtaji wa biashara kila mtu mwenye mawazo ya kufanya biashara hayo hayatokuwepo mpaka unaondoka duniani .kama una umri kidogo na kumbukumbu nakumbuka mh mkapa alisema hata Watanzania wale nyasi ila lazima ndege ya Rais inunuliwe ,lakini ndege yenyewe 1 tu na huku kukiwa hakuna miradi mikubwa ya ajabu inayojengwa. Sasa jaribu kufananisha hilo Jambo na aliyofanya Magufuli Kwa miaka mi5 chukulia kama mkapa angefanya kama hata Kikwete angefanya kama haya miaka ishirini hiyo je mpaka sasa Tanzania ingekuaje au labda sijaelewa maana Tanzania kubwa Sana labda wewe upo wapi mpaka huoni maendeleo maana isiwe nakulaumu kumbe kosa c lako
Siamini km ww ni mtz. Unavmawazo mgando sana. Una uzwazwa wa hali ya juu sn
- waliokosa ajira wanaomaliza vyuo tangu 2015 sio chadema
- wanaofunga biashara zao na kuhamishia nchi jirani sio chadema we mbwa
-kujenga shule alafu hazina walimu huku waliku WAMEJAA mtaani bila ajira sio chadema
-kujenga zahanati huku hakuna vifaa tiba na hakuna madaktari wkt madaktari wamejaa mtaani sio kua na akili sawa huku unaenda kujenga Uwanja kimataifa chato
-wanafunzi wenye sifa kukosa mikopo elimu ya juu sio tatizo la chadema
- wakulima kudanganywa na kudhulumiwa kwa ubabe na awamu hii sio tatizo la chadema
-uvunjifu wa katiba na kukiuka sheria ya manunuzi kwa kisingizio cha uzalendo sio tatizo la chadema.
-miaka mitano hakuna nyongeza ya mishahara wala kupandishwa vyeo hii yote ni chadema?
-wastaafu wanahangaikia kafao yao hawapati hii saababu ni ccm na serikali hii ya kishetani kuchota pesa mifuko ya jamii kwa maslahi yao binafsi
Sasa ww unayesema maendeleo unayaona wapi hasa?
Mkulima, mfanyakazi, mfanyabiashara, mwanafunzi hawawezi kuipigia kura ccm wala magufuli maana ni miaka 5 ya utapeli na uvunifu wa katiba na sheria za nchi.