Watanzania kabla ya kuanza mradi wa Bandari ya Bagamoyo tafuteni Articles za 'Lesson from Sri Lanka Hambantota Port'

Wanatuambia Tanzania itapata kodi kwenye bandari ya wachina bagamoyo, lakini hawatuambii likizo ya kutokulipa kodi
/tax holiday ni miaka mingapi? Ajira za bandarini ni za makuli!! wabeba mizigo! Sehemu zote nyeti watatajaa wachina maana huwezi kumpangia mtu na mali yake!!

Akikuweka mfukoni day 1 huwezi kuwa mjanja day 2!! Zaidi ya hapo blackmail itafanya kazi!! Watakutishia kukufichua!! Angalia huko Sri Lanka, wachina wamebeba bandari na ardhi inayozunguka na hawatalipa kodi kwa miaka 32!! Hapa keetu itakuwa zaidi ya hapo!! Sri Lanka wanalia lakini hawana jinsi!

On Friday Sri Lanka's parliament approved wide-ranging tax concessions for the port deal, including a tax holiday of up to 32 years for the Chinese firm, that opposition parties objected to.
 
Na pia hao watoa uamuzi wasome

Social economics is a branch of economics—and a social science—that focuses on the relationship between social behavior and economics. ... These practitioners of social economics use history, current events, politics, and other social sciences to predict social trends that could potentially impact the economy.

Wasije kuleta matatizo ya kisiasa nk
 
Mchina kakataa kutoa ufadhili wowote kwenye mradi wa SGR, leo anataka apewe bandari afaidi na miundombinu ya SGR ambayo hajagharamia chochote, a big NO.
Nyie tatizo lenu mnalishwa tu matango poli na kuyameza tu bila kujua kiundani!!ndio maana mnapewa majina mabaya tu!!kwanza mradi wa SGR, ulikuwa ujengwe na wachina , na ndio maana EXIM BANK, ya china ikakubali kutoa mkopo kwa ujenzi wake, sasa jiwe akawakataa wachina na kuleta hao waturuki, sasa kwa akili zako ndogo, ulitegemea exim bank china, iweze kutoa mkopo tena?!!mbona ni suala lipo wazi tu kuwa mradi unaofadhiriwa au ni mkopo na wachina/wajapani mala nyingi utakuta lazima mkandarasi atoke kwao.shida iko wapi?kwa hiyo dangote kwenye ujenzi wa barabara ambazo ndio anatumia kusafiridhia cement zake , amezichangia kwenye ujenzi wake?!!sasa hiyo bandari itajengwa ukiona hutaki kulishihudia hilo, siku wanazindua, ujenzi wake nenda pale wakufukie , ufe kishujaaa mkuu.
 
Kwa maneno yako mwenyewe, sisi tunatoa ardhi!! Tunaitoa kwa nani? Tunaitoa kwa mchina! Mchina atamiliki sehemu ya ardhi ya Tanzania!! Ili tupate nini? Ili tupate ajira!! What a shame!! Unauza sehemu ya nchi kwa kubadilishana na ajira!! Ajira yenyewe lazima itakuwa kwa sehemu kubwa ni kada ya chini!! Makuli/wabeba mizigo!! Watajazana wachina hapa kwenye kazi za maana!!!! !wa kifupi ni utumwa kwenye nchi yako mwenyewe Yaani mtu na akili yake anasema sisi tunatoa ardhi na siyo mkopo!! Halafu tunajisikia vizuri ! Tunajiona tuna akili! Tusitegemee kodi maana kuna tax holiday ya zaidi ya miaka 30 kwa miradi ya kifisadi!
 
Majibu yamo humu soma page to page Mabeberu, Vibaraka wa Mabeberu, Wazalendo wa Hayati Magufuli, na Mradi wa Bandari ya Bagamoyo
 
Atakae saini huu mkataba baadae uje kujulikana ni wa KIFISADI wanawekana keko kwa muda fulani halafu wanatumie ile sheria ya KU BARGAIN wanatoana ili wakale pesa vizuri.

Hii nchi ilipofikia hamna kuaminiana kabisa, maana waliokabidhiwa mamlaka kulinda maslahi ya wananchi ndio wapiga DILI
 
Halafu wachina walivyo, watatia fitna na kuua milango mingine yote ili ategemewe yeye tu katika hilo lango moja.

Hapo ndipo watu wataanza kufukua hizi topic na kuishia kuweweseka na kuanza kutafuta wachawi.
Hiyo inaitwa monopoly strategy, na akishaaua atakuwa na kubaki peke yake atakuwa huru kubadilusha tarif mda wowote na huna pa kwenda
 
Hizi hapa 1. Lessons from Sri Lanka on China's 'debt-trap diplomacy' - ISS Africa

2: Game of Loans: How China Bought Hambantota
 
Watu wanachoshindwa kuelewa ni kuwa mradi wa bagamoyo sio lazima afanye mchina hata sisi tunaweza kufanya kwa pesa zetu za ndani au mkopo
 
Elewa kitu kimoja ktk uchumi, but yeyote anaye kupa kitu ujue na ana faidika, na kuna sehemu anafaidika kuliko alivyo kupa hicho unacho kuona kama msaada.
Mfano Exim Bank china watapata interest, na wakati mwingine hiyo interest ina cha juu cha baadhi ya viongozi au wafanya biashara, pili kampuni za kwao ndio zitakuja kufanya ujenzi, Mali ghafi utatoa kwao na wafanyakazi au expertise , hivyo 90% ya hiyo hela inaenda huko.
 
Pumbav kabisa, mimi nimeongelea ufadhili siyo mkopo, hatuwezi kumpa bandari afanye magendo yake pasipo sisi kuona kinachoendelea.....hatuko tayari kupoteza tembo wetu, madini na bandari zetu kufa kifo cha mende kisa mchina......china wana eneo kubwa sana la bahari kwa nini wasijenge kwao?
 
Huo ndio ukweli, sasa inakuwaje mtu anakuja kuwalaumu eti wachina walikataa kuufadhiri mradi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…