Opportunity Cost
JF-Expert Member
- Dec 10, 2020
- 9,034
- 6,913
Hao Wana matatizo yao ya madeni afu wameshindwa mezani kwa nini unataka kila mtu ashindwe mezani?Huko Samoa, uongozi mpya umeingia madarakani na kuamua kuuMagulify mradi wa ujenzi wa bandari ya Bagamoyo ya huko.
Wachina ni janga la dunia kwa sasa.
Habari zaidi soma hapa: Samoa to scrap China-backed port project under new leader
Sgr umeiweka wazi? Ndege je? Mkataba gani Tzn hii ccm wamewah weka wazi?Kama china anataka kuifanya Tanzania a strategic investment area kwa ajili ya maslahi yake ya kibiashara kwenye eneo la afrika haiwezi kuwa kwa ujanja ujanja, lazima hiyo mikataba iwekwe wazi ambayo ina reflect interest na maslahi yetu kama nchi kwenye huo uwekezaji, full stop.
Pambafff! kama mmekula pesa za mchina mtazitapika hiyo project haifanyiki....Hayo maneno wewe umeyatoa wapi? Ardhi bure itakuwa na mipaka gani? Hiyo ardhi ataipeleka China?
Hivyo viwanda na Bandari zitajengwa China au Tzn? Propaganda za kijinga alizowalisha yule mharibifu
Nani kasema hayo? Au ndo unamrefer yule jamaa mwongo?
Hata ningekuwa mimi siwezi maana Road and Belt yao ilitaka wafanywe hiyo miradi yote wao kwa pamoja ndio maana JK alimalizana nao ila Magu kavinjaMkuu, labda kama utakuwa hukunielewa kabisa. Tambua kuwa:
1. Ninatambua kuwa kulikuwa mradi wa bandari ya Bagamoyo ulioasisiwa na JK awamu #4.
2. Ninatambua pia kuwa mradi huo ulipigwa munda "unceremoniously" na JPM awamu #5.
3. Mimi na wewe hatujui contents za mradi ule.
4. Ninakusoma wewe vyema kwa nini mradi ulipigwa chini.
5. Sizikatai sababu ulizozitoa, ila tu ninakwenda mbele kukuunga mkono kwa mshangao kuwa, kwamba inawezekana je?
View attachment 1832409
Kwamba kwa mujibu wako JPM aliamua kuwakomoa wachina kwa kuuzima mradi wote kwa sababu tu hawakuwa wamevutiwa na mradi wa SGR?
Hebu zirejelee kuona kama sababu hizo siyo za kitoto kabisa?!
😆😆😆😆 Ndo unavyojifariji hivyo au sio,wait you will see..kwanza mkataba wa bombadia muliweka wazi?Pambafff! kama mmekula pesa za mchina mtazitapika hiyo project haifanyiki....
Mbona wao na baba zao hawatoi ufashili? 😆😆😆😆Kubwa jinga ktk ubora wako!!eti ufadhiri , miaka hii kuna nchi inaweza kufadhiri mradi wa matrilion?na kwani inakuwaje donor cantri kulilia ufadhiri wakati unajiweza hahaa!!mataga masalia bwana!!yaani kwa akili yako hii inaonekana hata hujui chochote kitu kwenye mradi huo wa bandari!!Hadi sasa hujaamini kuwa hiyo bandari itajengwa?!pole sana !!nadhani shule mnafungua wiki ijayo sio mbali!!eti china ina eneo kubwa sana kwanini wasijenge huko?daaaa, mwendazake alifanikiwa sana kuwa washbrain !!
Sawa, si mnashupaza shingo eti mtafanya lobbying, we will see....😆😆😆😆 Ndo unavyojifariji hivyo au sio,wait you will see..kwanza mkataba wa bombadia muliweka wazi?
Usiwe mjinga wewe na kutoa mfano wa kijinga ,Slilanka na Bagamoyo ni project mbili tofauti,hapa ni wabia wa pande 3 sasa kwani wabia wakikubaliana ku bear risks kuna shida gani?Wanatuambia Tanzania itapata kodi kwenye bandari ya wachina bagamoyo, lakini hawatuambii likizo ya kutokulipa kodi
/tax holiday ni miaka mingapi? Ajira za bandarini ni za makuli!! wabeba mizigo! Sehemu zote nyeti watatajaa wachina maana huwezi kumpangia mtu na mali yake!!
Akikuweka mfukoni day 1 huwezi kuwa mjanja day 2!! Zaidi ya hapo blackmail itafanya kazi!! Watakutishia kukufichua!! Angalia huko Sri Lanka, wachina wamebeba bandari na ardhi inayozunguka na hawatalipa kodi kwa miaka 32!! Hapa keetu itakuwa zaidi ya hapo!! Sri Lanka wanalia lakini hawana jinsi!
On Friday Sri Lanka's parliament approved wide-ranging tax concessions for the port deal, including a tax holiday of up to 32 years for the Chinese firm, that opposition parties objected to.
Wewe na akili zako mbovu unaweza muamini dikteta uchwara? Yaani mtu mwongo na Mzee wa propaganda za kijinga kwa ajili ya maslahi yake ndio reference? Mbona unakamatiwa akili kirahisi Sana?Shida moja kwenye haya mambo, hata mama akiwategemea wataalamu wake kumshauri, nao wataangalia msimamo wa mama kwanza, yaani hatutapata USHAURI ule wa kitaalamu. Mwendazake aliishatwambia kuhusu masharti yale ya bandari ya Bagamoyo, wengi wanaompinga hawasemi kama alicho twambia ni uongo au laa, wanampinga kwa chuki tu.
Ni vema tukajua in and out, kama yale aliyasema mwendazake ni ya kweli au uongo, kama ni ya kweli, kwanini tukimbilie Bagamoyo ilihali Tanga, Mtwara pia zipo? Kwanini tusi suspend operations za bandari moja wapo halafu tukafanya ukarabati wa KUFA mtu huko then tuendelee kuliko kuanzisha kitu kipya ilihali kuna vya kuendeleza? Unless, tuambiwe mwendazake alitudanganya
Lobbying ya nini Mzee,wekeni wazi kwanza mkataba wa bombadia na sgr na Nyerere HP ndio tuelewane 😆😆😆😆Sawa, si mnashupaza shingo eti mtafanya lobbying, we will see....
Kwenye Twiga ya makinikia ya Magu asilimia ni ngapi?Nguvu ya umma bado ni kubwa, watu wanaweza kuweka pressure uwekwe wazi mkataba.
Tusirudie mambi ya mradi wa gesi (90% inaenda kwa wawekezeji), IPTL na Tanesco scandal, mikataba hovyo ya madini na Acacia, Meremeta, radar mbovu.
Imetugharimu na inaendelea kutugharimu matrillioni ya shilingi.
Tumeshayasoma sana ya Sri-Lanka, Zamba, Kenya... Huyu mama anatunyima furaha na confidence kuwa taifa letu na mali zake zipo salama... Tumekosa furaha, tunahisi kuuzwa... Wakati anaelekea kweye hayo maamuzi, japo atuhakikishie na kutupa matumaini kuwa Tanganyika yetu ipo salama mikononi mwakeSisi tuna bahati moja. Kuna nchi nyingine zimefanya makosa, zikajikuta zime-surrender vipande vya ardhi China hivyo tumeshajua hawa jamaa siyo watu wazuri. Lakini ajabu naona mama Samia ndiyo yuko mbele kuwakumbatia. Tutakuja kujuta sana.
Sikio la kufa huwa alisikii dawaHata ningekuwa mimi siwezi maana Road and Belt yao ilitaka wafanywe hiyo miradi yote wao kwa pamoja ndio maana JK alimalizana nao ila Magu kavinja
Kuna watu wanajiona wajanja kwenye hili kisa wametanguliza maslahi yao, hii inaweza kuleta political crisis ambayo haijawahi kushuhudiwa......hapo mchina amedinda na mkataba wake wa miaka 99 hasikii la mtu.Tumeshayasoma sana ya Sri-Lanka, Zamba, Kenya... Huyu mama anatunyima furaha na confidence kuwa taifa letu na mali zake zipo salama... Tumekosa furaha, tunahisi kuuzwa... Wakati anaelekea kweye hayo maamuzi, japo atuhakikishie na kutupa matumaini kuwa Tanganyika yetu ipo salama mikononi mwake
Kumbuka huu mradi ni PPP na utaratibu wa PPP unajulikana,mambo mengine yako negotoatable na nimesoma somewhere kwamba Wachina wako tayari kwa lease ya miaka 33 na mambo mengine ya kikodi na yatajadiliwa yawekewe sawa.Ule uzushi wa eti ni marufuku kuendeleza bandari zingine ni upuuzi tuu wa MwendazakeSikio la kufa huwa alisikii dawa
Kwenye proposal ya port na industrial hub ya Bagamoyo serikali ya Magufuli aikuwa na shida na miradi mingine itayojengwa hapo.
Kwanza serikali walikuwa awataki ubia kwenye ivyo viwanda wala kujua vitaendeshwa vipi kila kitu wafanye wenyewe na kumiliki wao wenyewe 100% subject to adhering to Tanzania investment laws ata kesho wanaweza anza huo uwekezaji.
Magufuli yeye alikuwa interested na aspect za port peke yake na umiliki wake hapo ndio kwenye shida.
Wachina ndio wanaolazimisha hiyo miradi mingine iwe sehemu ya makubaliano ya bandari na wapewe concessions ambazo wawekezaji wengine wapewe.
In other words wanauza gunia ambalo 20% mchele na 80% mahindi kwa bei ya mchele. Serikali aitaki kununua gunia lote wanachotaka ni huo mchele 20% hiyo 80% wakauze kwengine.
So kama sijui kama industrial hub itachochea uchumi wachina hawajuzuiwa kuanza, isipokuwa hawataki kutofautisha huo uwekezaji na bandari.
Nyie watu muwe mnasikiliza hoja za watu wa serikali walichokuwa wanapingana nacho kwenye huo mkataba ni kitu gani haswa; kuliko kuokoteza uongo wa mtu kama Zitto.
Mkuu 'macho_mdiliko'Wewe ni mjinga kabisa. Wewe unadhani kuwapa watu lango la kuingia nyumbani kwako walijenge halafu walimiki na kuliendesha ndiyo bora? Si bora hata hao walichokuwa mkopo? Wewe unafikiri mchina ni mjinga awekeze matrilioni ya fedha wakati anaona kutakuwa na hasara?
China angeonyesha mfano kwa kuiruhusu marekani ijenge na kuendesha bandari nchini kwao bila wao kujua kinachoendelea, hapo tungejua china kakomaa kweli kwenye international diplomacy....Sikio la kufa huwa alisikii dawa
Kwenye proposal ya port na industrial hub ya Bagamoyo serikali ya Magufuli aikuwa na shida na miradi mingine itayojengwa hapo
zaidi ya bandari tu.
Kwanza serikali walikuwa awataki ubia kwenye ivyo viwanda vingine wala kujua vitaendeshwa vipi kila kitu wafanye wenyewe na kumiliki wao wenyewe wachina 100% subject to adhering to Tanzania investment laws ata kesho wanaweza anza huo uwekezaji mwingine.
Magufuli yeye alikuwa interested na aspect za port peke yake na umiliki wake hapo ndio kwenye shida.
Wachina ndio wanaolazimisha hiyo miradi mingine (industrial park) iwe sehemu ya makubaliano ya bandari na wapewe concessions ambazo wawekezaji wengine awapewi.
In other words wanauza gunia ambalo 20% mchele na 80% mahindi kwa bei ya mchele. Serikali aitaki kununua gunia lote wanachotaka ni huo mchele 20% hiyo 80% wakauze kwengine.
So kama mnadhani industrial park itachochea uchumi wachina hawajuzuiwa kuanza, isipokuwa wao ndio hawataki kutofautisha huo uwekezaji na bandari.
Nyie watu muwe mnasikiliza hoja za watu wa serikali walichokuwa wanapingana nacho kwenye huo mkataba ni kitu gani haswa; kuliko kuokoteza uongo wa mtu kama Zitto.
Hiyo ni sehemu ya bandari tuKumbuka huu mradi ni PPP na utaratibu wa PPP unajulikana,mambo mengine yako negotoatable na nimesoma somewhere kwamba Wachina wako tayari kwa lease ya miaka 33 na mambo mengine ya kikodi na yatajadiliwa yawekewe sawa.Ule uzushi wa eti ni marufuku kuendeleza bandari zingine ni upuuzi tuu wa Mwendazake
Sioni shida hapo so long as mradi ni PPP na una multiplayer effects kubwa kuliko kuangalia kwa jicho la kisiasa badala ya kiuchumi
Hata ningekuwa mimi siwezi maana Road and Belt yao ilitaka wafanywe hiyo miradi yote wao kwa pamoja ndio maana JK alimalizana nao ila Magu kavinja
Swala la bandari ya Bagamoyo hilo halina ubishi lazima ijengwe; Dar aiwezi kuwa expanded anymore it’s reaching its saturation point.China angeonyesha mfano kwa kuiruhusu marekani ijenge na kuendesha bandari nchini kwao bila wao kujua kinachoendelea, hapo tungejua china kakomaa kweli kwenye international diplomacy....