Watanzania kabla ya kuanza mradi wa Bandari ya Bagamoyo tafuteni Articles za 'Lesson from Sri Lanka Hambantota Port'

Watanzania kabla ya kuanza mradi wa Bandari ya Bagamoyo tafuteni Articles za 'Lesson from Sri Lanka Hambantota Port'

Srilanka haikushikiwa bandari na china,Exim bank walikua wanaidai sri lanka dola bilion 1.4.
Sri lanka wakaona hawawezi kulipa kwa speed,bandari ilikua haingizi pesa haraka,wakatafuta kampuni iitwayo china metchant wakaikodisha bandari kwa miaka 99 na wakalipwa pesa cash bilion 1 na ushee usd,
So badala ya kuilipa Exim bank,hizo pesa wakaingiza kunako foregn reserve currency ili kubalance hesabu,,
Hivyo sri lanka bado hawakulipa deni,,bandari wamelease kwa kampuni nyingine ya kichina na wakalipwa cash
Hebu, bado sikuelewi vizuri mkuu Elungata.
Exim Bank ndio waliokuwa wakiwadai Sri Lanka deni la $1.4 Billion.

Sri Lanka Kashindwa kulipa hilo deni, kwa hiyo akaamua kuikodisha Bandari kwa miaka 99?; (kwa kulipwa deni la 1.4 Bn?) tu!

Nisiyoelewa ni sehemu hii:
Sri Lanka alipopata hiyo hela ya Mchina, kaamua kuiweka kibindoni? Deni kaachiwa mchina alipe, au siyo?

Kwa hiyo, Sri Lanka kwa kupata hiyo 1.4 Billion, hatadai chochote tena kutoka kwenye bandali hiyo katika miaka hiyo 99?

Huenda majibu ya maswali haya huna, na wala siyaulizi ili uyajibu, lakini naogopa sana kama nasi tukipata mkataba wa aina hiyo mahali fulani.
 
The issue is ,

Is Samia that competent to discover all that??

Sidhani.
Pamoja na dalili alizokwishaonyesha katika siku zake hizi 100, jibu langu kwako ni kwamba SIJUI, kama 'she is that smart.'
But, I am holding out, hoping that she may see it the way I have described it.
Kama kwa sababu zake, au kwa msukumo wa kundi linalompumulia kisogoni sasa hivi ataamua kusaliti taifa hili, kelele tutaendelea kupiga, na historia itamhukumu.

There is a rabid group pushing hard for their own interests behind this project. If she is blind, and cannot see that, then she is not fit to lead this nation. She will be part of the problem for everyone.
 
Sitakaa kubishana na mawazo ya kijinga.
Usikimbie mada naomba ujibu nlichouliza
1. Kwanini unatoa reference kwa port zilizofeli huweki successful ones ili tufanye comparative analysis wenyewe?

2. Unasema tutaporwa miradi? SGR mbona hatuogopwi kuporwa ilihali tunajenga kwa mkopo??

Tuache kuwa pessimistic tujifunze kwa waliofanikiwa sio waliofeli
 
Watanzania kabla ya kuanza huo mradi wa Bandari ya Bagamoyo naomba tafuteni Articles za LESSON FROM SRI LANKA Hambantota port.

Kama hizo article umezipata please tunaomba uzishare ndani ya huu uzi.

Wabongo mnataka mjidai mnawazidi akili wa SRI LANKA ninyi.

Tunataka siku mkianza kulia tulie sote.

Tafuteni Articles tuanze kusoma
Last year, with more than $1 billion in debt to China, Sri Lanka handed over a port to companies owned by the Chinese government. Now Djibouti, home to the US military’s main base in Africa, looks about to cede control of another key port to a Beijing-linked company, and the US is not happy about it.

Beijing “encourages dependency using opaque contracts, predatory loan practices, and corrupt deals that mire nations in debt and undercut their sovereignty, denying them their long-term, self-sustaining growth,” said US Secretary of State Rex Tillerson on March 6. ”Chinese investment does have the potential to address Africa’s infrastructure gap, but its approach has led to mounting debt and few, if any, jobs in most countries,” he added.

Some call this “debt-trap diplomacy“: Offer the honey of cheap infrastructure loans, with the sting of default coming if smaller economies can’t generate enough free cash to pay their interest down. In Sri Lanka, acrimony remains around Hambantota and projects like “the world’s emptiest airport.”

China has characterized its “Belt and Road” initiative as a win-win for its aspirations to become a global trade leader and developing economies’ desire to fund transportation infrastructure. It has certainly filled the vacuum created by a shrinking American presence in global institutions. But as with Western internationalist projects, China is also facing accusations of imperialist behavior when its debt plans go wrong.

The Center for Global Development, a non-profit research organization, analyzed debt to China that will be incurred by nations participating in the current Belt and Road investment plan. Eight nations will find themselves vulnerable to above-average debt: Djibouti, Kyrgyzstan, Laos, the Maldives, Mongolia, Montenegro, Pakistan, and Tajikistan.

The researchers note that they did not estimate how this debt would effect growth, and that they needed to assemble much of their data from media reports. But they still say their evidence should raise concerns about economic distress stemming from debt that would undermine development efforts altogether. In the past, China has responded to the debtors inconsistently and hasn’t followed best practices adopted by international lenders working with poor countries. Sometimes, the debt has been forgiven; other times, disputed territory or control of infrastructure has been demanded as recompense.

They argue that China should work to bring other countries into their investment programs to spread debt more equally, and adopt stricter standards and more transparency about how sustainable its support for developing economies really is. Some countries aren’t waiting on China to take action: Pakistan and Nepal turned down Chinese infrastructure loans last year in favor of other sources of funding.
 
Watu wanataka kujadili wewe unaandika ushoga wako. Akili itakuja lini. Nawe ulisoma kwa mkopo kweli au ni hao walioko Bungeni?
Babu kuwa mwelewa basi kila siku tujadili jambo moja? Sachi Uzi wa bandari ijengwe au isijengwe? Mule kuna mijadala yenye page 17 so unataka mjadala gani zaidi ya ule wewe Mke pole Pole?
 
Hakuna haja ya kuhofia eti mradi ukikamilika basi JPM atafunikwa ,hatuko hapa kulinda lagacy za watu⛹️👌,tuko kufanya maendeleo ya nchi yetu,jpm alifanya yake,mazuri na mengine yasiyo mazuri,tuache na wengine wafanye yao,hamna haja ya kuhofia eti watapata sifa kumzidi jpm,,hapa hatutafuti sifa za watu, na safari hii miradi ya maendeleo itafanywa bila kujali majungu ya watu wenye nyoyo za korosho
Ungejua nisivyomfagilia mwendazake Wala usingemtaja.
 
Usikimbie mada naomba ujibu nlichouliza
1. Kwanini unatoa reference kwa port zilizofeli huweki successful ones ili tufanye comparative analysis wenyewe?

2. Unasema tutaporwa miradi? SGR mbona hatuogopwi kuporwa ilihali tunajenga kwa mkopo??

Tuache kuwa pessimistic tujifunze kwa waliofanikiwa sio waliofeli
You don't know research, don't talk to me fool.

Huna hisia wala kumbukumbu vile nchi imeumizwa na mikataba mibovu ya kikwete, siongei na wafu.

Hujui hata nchi yenu ni moja kati ya nchi zilzodumaa kwa sababu ya sera na mikataba mibovu, haivyo hatua rekebishi ni lazima zichukuliwe, umeng'ang'a kuongea siasa uchwara kwa kuwa ndicho kitu unachodhani unakiweza, hufai kuongea na intellectuals. Please you fools, stay away from National issues.
I AM QUITTING YOUR STUPIDITY, I HAVE NO TIME TO WASTE WITH FOOLS. HATA MJE KUNDI KAMA NGUCHIRO, BADO NI NGUCHIRO WA MASHIMONI TU. SINA MUDA WA KUPOTEZA NA MAJUHA MAPUMBAVU. KWANGU MIMI AND OTHERS, TUNAMOVE KWA NAMNA NYINGINE YA KULIKOMBOA TAIFA DHIDI YA UFISADI, WIZI NA USHENZI WENU.
 
Bandari itajengwa na hutakuwa na la kufanya zaidi ya kulialia na kutukana tu humu JF.

Unabisha?
 
Bandari itajengwa na hutakuwa na la kufanya zaidi ya kulialia na kutukana tu humu JF.

Unabisha?
Ni nani kasema bandari isijengwe? Kama hujui hata agenda iliyoko mezani bila haka wewe ni lile kundi la mipumbavu , adui wa maendeleo tanzania.
 
Wewe ni marehemu, sehemu yakko ni kuzimu. Sasa nakuambia haijengwi. Pumbavu tena siongei na mifu!. Pumbavu majuha yanishi kivuli wkati yalishakufa zamanai. Mzoga ya mbweha
Teeh teeh.

MATAGA unapata na utaendelea kupata tabu sana.

Nakuhakikishia bandari itajengwa tu we ngedere uwe unataka au hutaki.

Na hata magu asingekufa bado bandari ingejengwa tu ingawa ingechelewa.

Mawazo ya bandari kutokujengwa futa kabisa akilini mwako.
 
Hivi wewe mzoga wa Mbweha vipi? Huna la kufanya? Unajua unachokitafuta hapa na ujing wako wa kutokuelewa hata mada? Unaowaita MATAGA unaelewa maana yake? Wewe usiyetaka Tanzania kuwa a Great Nation, unataka iwe weak Nation kwa maslahi ya nani kama siyo mfu wewe? Pumbavu sana.

Kawaambie mizoga wenzako wakariri hili. Kinachoongelewa ni mikataba ya uwekezaji kwamba iwe na maslahi kwa taifa badala ya genge la mafisadi kama ilivyokuwa kwa kukwete. Haya kariri huu mstari ushinde nao ukiupigia kelele. Pumbavu kwelikweli.
 
Kuna wakati tulikuwa chini sana kiuchumi nadhani kipindi cha marehemu Mkapa akaja na sera ya uwekezaji, zilikuwa zinatoka hoja kama hizi na watetezi walilenga kuamsha uchumi na kuongeza ajira zaidi lakini mapato zaidi kwa serikali. Na matokeo ya sera ya uwejezaji ule kila mtu ameona uzuri na ubaya wake.
Sasa mradi wa bagamoyo unakataliwa kwanini ?
Vipengere vya mkataba au hauna faida zinazotarajiwa?

Ama kuna maslahi binafsi yanatugawa?
Nadhani faida kuu ya mradi wowote wa serikali sio tuu mapato ya moja kwa moja kama wengi wanavyodhani,
bali ni fursa ambazo nchi na Mwananchi kwa ujumla watanufaika nazo, lakini hilo haliondoi kuhakikiwa usalama wa nchi na rasilimali zake. Sasa kwa mfano huo wa uwekezaji,
Bagamoyo ni moja ya mradi Mkubwa wenye fursa nyingi tuu lakini utaongeza GDP ya serikali ajira pia kukua kwa sekta nyingi kutokana na mradi huo mkubwa, labda kama kuna maslahi binafsi ya watu basi,
Tuchukue maneno ya mwendazake kama wakeup call tuanzie kurekebisha hapo. Nawakilisha.
 
Usizifananishe hizi bandari mbili, ya Srilanka ulikuwa mkopo kwa serekali, ya Bagamoyo ni uwekezaji Binafsi
 
Mchina kakataa kutoa ufadhili wowote kwenye mradi wa SGR, leo anataka apewe bandari afaidi na miundombinu ya SGR ambayo hajagharamia chochote, a big NO....
1624850649020.png

Magufuli secures $1.32b China support for Tanzania SGR
 
Watanzania kabla ya kuanza huo mradi wa Bandari ya Bagamoyo naomba tafuteni Articles za LESSON FROM SRI LANKA Hambantota port.

Kama hizo article umezipata please tunaomba uzishare ndani ya huu uzi.

Wabongo mnataka mjidai mnawazidi akili wa SRI LANKA ninyi.

Tunataka siku mkianza kulia tulie sote.

Tafuteni Articles tuanze kusoma
Kwenye Serikali ya sasa sidhni kama kun mtu mwenye akili ya kuilinda Mama Tanzania. Wacha kwanza litupate lands ndio tutatia akili. Ya IPTL, Symbion, SAA, Makinikia hayakutufundisha.
 
Watanzania kabla ya kuanza huo mradi wa Bandari ya Bagamoyo naomba tafuteni Articles za LESSON FROM SRI LANKA Hambantota port.

Kama hizo article umezipata please tunaomba uzishare ndani ya huu uzi.

Wabongo mnataka mjidai mnawazidi akili wa SRI LANKA ninyi.

Tunataka siku mkianza kulia tulie sote.

Tafuteni Articles tuanze kusoma
Mimi nafikiri tungewekeza zaidi kuimaliza Bandari ya Tanga ingalikuwa vyema zaidi maana Bandari ile itatusaidia sana ktk upunguzaji wa msongamano wa mizigo ya Rwanda, Burundi, Congo upande wa mashariki, Uganda na Mikoa ya Kaskazini mwa Tanzania.
 
Nilikosea sana kukutambua kama mwenye akili timamu,

Ipo hivi,

Wanajenga bandari,

Watamiliki Ardhi Kwa 99 years.

Haturuhusiwi kuendeleza bandari nyingine yeyote wala kujenga miundombinu yeyote kuzunguka bandari zetu.

Watacontrol mapato kwa muda wote huo.

Watajenga viwanda 190.

Halafu fedha za kujenga hiyo bandari tutawalipa.

Sasa sijui tutatoa wapi fedha za kuwalipa kama mapato yote wanachukua wao.

Hivi una akili kweli wewe??
Hivyo ulivyoandika hapo ni propaganda mlizolishwa na babu yenu mwendakuzimu mambo hayako hivyo kabisa.
 
Back
Top Bottom