Hizi ndo zile mada ambazo watu tukisema ukweli, akina
Titicomb wanatuambia tuna maslahi na China!!!
Yaani JF asiye na maslahi na China ni yule anayekubali kulishwa propaganda... na anakubali kulishwa propaganda, kwa sababu hataki kutafuta ukweli!!
Sasa ndugu yangu Meneja wa Makampuni, hao waandishi wa LESSON FROM SRI LANKA Hambatonta Port, wao waliingia field kufanya research au walikuwa wanatumia taarifa zinazochapwa magazetini kama vile makala za New York Times?!!
Nauliza hivyo kwa sababu mimi nina ripoti kabisa za Wasomi kutoka huko huko USA ambao baada ya kuhisi serikali yao inadanmganya watu, wakaamua kuingia field na kufanya research!!! Moja ya hizo ripoti ni June 2020 Working Paper ya The China-Africa Research Initiative iliyo chini ya Johns Hopkins University School of Advanced International Studies.
Narudia, hao sio waandishi wa articles bali researchers na hata ukiingia kwenye page yao wanakuambia:-
Ripoti ambayo waliitoa ni Working Paper, na linapokuja suala la Working Paper, wenyewe wanakuambia:-
Timu ambayo iliandaa hiyo Working Paper iliongozwa na Deborah Brautigam. Ukim-Google huyo mama, utakuta habari zake kirahisi tu!
Now the same question: Hizo reference zako na wenyewe waliingia field kufanya research?
Nasisitiza hilo kwa sababu moja tu: Kama unataka kutumia mfano wa Bandari ya Hambatonta kufanya propaganda, well and good, lakini kama lengo lako sio propaganda, narudia tena kama nilivyowahi kusema mara kadhaa siku za nyuma: SUALA LA BANDARI YA HAMBATONTA NI UONGO... HIZO NI PROPAGANDA ZA US GOVERNMENT NA MEDIA ZAO ILI KUZITISHA NCHI ZISIJIUNGE KWENYE BELT & ROAD INITIATIVE YA HASIMU WAKE MKUU KIBIASHARA!!
Kwanza niseme jambo moja! I have no problem mtu kupinga Mradi wa Bandari ya Bagamoyo lakini ni vema wakati mtu unapinga uchague kupinga kwa kutumia personal analysis au kupinga kupitia propaganda ulizojazwa!!