Watanzania kama Kingereza kimewashinda, mbona msiwe mnatembea na wakalimani ili kuondoa aibu ndogo ndogo


Hapo umekosea, msemaji wa Rais wa Zimbabwe ndiye aliweza kutafsiri neno moja tu β€œmwaka” akasema β€œseason” lakini Rais wa Zimbabwe alitafsiri maelezo ya Dr Rais Magufuli vizuri saaaana, jamaa liliishi Bagamoyo ile miaka ya 70 mpaka 80!!! Kwa taarifa yako hata Kikwere Rais wa Zimbabwe anakijua I mean anazungumza kidogo! Uliza wale vijana waliokuwa wanaishi sehemu hizo miaka hiyo. Wa Namibia wengi walikuwa wanaishi pale Bungoni - Buguruni Ilala na ofisi yao kuu ya Swapo ilikuwa mkabala(opposite) Telephone House Dsm!!!!
 
I didn’t know that he was ze catalyst even in Zimbabwe.
A catalyst is a substance that alters the rate of chemical reaction but remains unchanged (chemically) at the end of reaction. Well, as an African leader he altered the norms by answering questions in Swahili.
Na eti alifanya PhD in Chemistry pale Dar slum University πŸ˜‚πŸ˜‚
Labda hukuwahi kusoma kemia, ila kama uliwahi kuisoma mpaka level ya juu utaelewa kuwa ni mambo ya ku balance equations na ku cheza na laws. Mda mwingi unatumia maneno kama dynamic equilibrium, disturbed conditions, electrochemical series, vapor pressure n.k. na katika mfumo wa elimu Tanzania mtu anaweza akaacha masomo ya kuandika insha (Historia) toka kidato cha tatu.
 
JPM alifanya maksudi tu, ni mfanya biashara mzuri!
Lengo lake kubwa ilikua ni kuuza lugha ya Kishwahili na alifanikiwa, kote huko alikopita ameshapata order ya kupeleka waalimu wa kufundisha hii lugha pendwa....
Mshukuru sana kwa niaba ya wakenya. Sasa subirini muone jinsi huu mchezo huchezwa
.
Wakenya ni janja janja
 
Alters? Alter is to change, right?
 
Insane
 
Kwa hivyo alienda kubadili nchi ya wenyewe na huo udikteta wake kama afanyavyo huko kwake.
I agree he's a catalyst Chamoto
 
Nimekuelewa boss, formular na chemical equations za phd thesis ya mzee alizisomea na kuziandika kwa kisukuma.
Nishakwambiaga, acha miraa, it is messing up your brain.
 
I didn’t know that he was ze catalyst even in Zimbabwe.
Kwa kweli Magu anatia aibu ingefaa kusema mapema kwamba naweza mudu maneno machache tu ya kingereza afu mengine awe na mkalimani badala ya kujifanya unajua unatuaibisha,sasa sijui huko kwa wazungu maana kuwaelewa tu wanapoongea kwa ile rafudhi yao ni shida
 
Kamdanganye Bibi yako mkuu,huku Tzn familia zenye vipato wanapeleka watoto wao shule zinazofundisha kwa kiingereza kuanzia nursury hadi secondary tena usikute na wewe wanao wako huko hakuna asiyependa kiingereza
Kingereza cha kuongea ndio kinasumbua watz wengi kwa vile hakuna mazingira ya kupractise kuongea,na ndio lugha rasmi ya kazi za maofisini
 
Ni aibu sana mtu kujigamba kua anajua kiingereza ndio bora kuliko wenzake
Na kujua kote huko kiingereza,bado mna.njaa,bado kuna watu zaidi ya milioni moja wanaishi kwenye vibanda.kama ng'ombe,bado Al shabab wanawasumbua
 
Hivi unaelewa Kiswahili wewe?! Hao wanaopeleka shule za Kiingereza ni imani yao tu kwamba hizo shule zinatoa elimu mzuri, ingawaje wapo pia washamba miongoni mwao wanaodhani Kiingereza ndio elimu mzuri! Kuwa na uwezo wa kifedha hakumfanyi mtu kutokuwa mshamba na ulimbukeni! Wengine ushamba ndo kipaji chao cha kuzaliwa! Lakini pia wapo wenye uwezo lakini sio washamba na limbukeni na ndio maana unakuta wana-opt kuwapeleka watoto shule kama Feza, ambako mtaala wao ni huu wa akina Kayumba, na dogo akitoka hapo yupo fit kuliko akina nyie mnaoabudu lugha ya mkoloni!

Lakini vile vile issue sio kupeleka watoto shule wakakifahamu Kiingereza bali issue ni kuonea fahari Kiingereza! Unafika mahali unataka watu wakujue kwamba unakijua Kiingereza ingawaje kwa Wakenya hata Kiingereza chao chenyewe hata kuvutia hakivutii kjutokana na lafudhi yao mbovu!! Hata huko maofisini ingawaje Kiingereza ni official language, utakuwa mshamba na limbukeni kuongea Kiingereza na wafanyakazi wenzako Waswahili eti kisa tu ni lugha rasmi ya kiofisi! Kiingereza kinatumika pale inapobidi; lakini mtu atakuwa mwehu yupo pale Kaunta ya CRDB anakuja mteja na kuanza "Hi! How can I help you!" Huo ni ushamba! Tena kuna malofa wengine unakuta yupo na Mzungu anajitahidi kuongea Kiswahili lakini lenyewe linalazimisha kuongea Kiingereza! Sasa kama sio ushamba tuite nini!

Na tukirudi upande mwingine, sio kwamba Wakenya hawakifahamu Kiswahili! Wanakifahamu sana tu ila wakikutana na Watanzania; sana na Watanzania, ndipo wanataka kujifanya hawakifahamu Kiswahili! Hawawezi kumtambia Mganda kwa sababu Waganda ni wazuri kwenye Kiingereza kuliko Wakenya lakini wanapenda sana kuongea lugha yao!! Aidha, tatizo la Wakenya na Kiswahili ni tabia yao ya kupenda kuchanganya sana na Kiingereza kutokana na ushamba ule ule niliousema hapo awali! Ukitaka kujua Wakenya Kiingereza sio chao sema tu ushamba na ulimbukeni, nenda vijijini au hata kwenye miji midogo na hicho Kiingereza chako kama hujakutana na Kipokoti pamoja na Kiswahili! Wakitoka Upokotini na kuingia Nairobi, ndani ya mwezi mmoja wanajifanya hawakijui Kiswahili!
 
Alafu cha ajabu Uganda wanaongea kingereza kizuri kuliko nchi yoyote EA alafu hata hawaringi na huwakuti wakiongea ovyo, ila sasa hapo kenya [emoji23][emoji23][emoji23]kuweni humble,
 
Hongera JPM Kwa kuongea kiswahili, hao waandishi walitaka waulize maswali.Haiwahusu uliwa cut short, hata Uingereza uiongee.
 
Hongera JPM Kwa kuongea kiswahili, hao waandishi walitaka waulize maswali.Haiwahusu uliwa cut short, hata Uingereza uiongee.
Kiswahili to the world [emoji7][emoji7][emoji7]
 
Mkuu hakuna mashindano ya essay,Kama kingereza sio dili kwa nini kitumike kama official language? Matokeo ya hii ndo hayo ya akina Magu kuzingua huko kwa watu Namibia,Zimbabwe si akomae na Kiswahili watu watafsiri kuliko kuzingua
 
Ndiyo maana hataki kwenda ulaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…