Watanzania kushangilia kuangushwa kwa Makonda katika kura za maoni Jimbo la Kigamboni kunaashiria nini?

Makonda angeongoza ungeongea uozo huo????

Au kisa Dkt. Kashinda ndo maana unasema bado mchakato unaendelea
Angeshinda makonda mchakato ungeishia hapo ???
Acha kujifariji kijinga hujui lolote ktk siasa hizi
Sijui lolote au wewe ndio hujui lolote? Utaratibu upo vipi? Pumbavu shenzi.
 
Ndani ya 24hrs thread zisizopungua 20 za kumuhusu Makonda[emoji23]na bado kuna member wengine zaidi ya 20 wanaandaa thread mpya[emoji23].
Huyu Makonda anakitugani cha kutisha?
Bwana eee kamuulize Mkurugenzi wa CIA Pompeo. Over
 
Kumbe makonda anachukiwa mi sikuwa na jua nikona watu wanavyo mshangilia nikajua wanampenda....
 
Media influence kwa KUFANYA UVAMIZI CLOUDS?....
 
Ndani ya 24hrs thread zisizopungua 20 za kumuhusu Makonda[emoji23]na bado kuna member wengine zaidi ya 20 wanaandaa thread mpya[emoji23].
Huyu Makonda anakitugani cha kutisha?
Muuwaji yeyeto anatisha
 
Lazima kuna kitu amekufanyia
 
Wapinzani wangejipanga vizuri wakapeleka watu mahiri kwenye majimbo ya Segerea na Temeke wangeweza kushinda kwa jinsi hali ilivyo!
 
Rubbish,unatufundisha kazi?
 
Kura
 
christeve88
Umeuliza tunaanzaje kumchukia Makonda?

Swali jepesi na nitakupa jibu lake

Kila mtu anajua kuwa uRC ni utumishi wa Umma na unapaswa uwe mnyenyekevu na kuwatumikia hao watu waliokupa dhamana hiyo..

Sasa huyo Bwana Makonda, alitaka wananchi ndiyo wamtetemekee na kumuhofia yeye, kitu ambacho siyo sawa
 
Ana dharau sana, amekosa hekima ya kiuongozi, ana sifa kupitiliza, haheshimu viongozi wenzake. Hafai kuongoza watu.

Anasahau kuwa uongozi ni dhamana, lazima kila unachoongea kiwe na mipaka. Hafai..
Your browser is not able to display this video.
 
These are ignorant of the world around them, ni mbumbumbu wa kinachoendelea duniani!
Hawa mbumbumbu wanahangaika na hali zao, wanajua mbunge hagawani nai mshahara wake wala mafao yake.
Sasa sijui nani mbumbumbu, anayetumia muda wake kushabikia mambo yaliyo nje ya uwezo wake, au anaetumia muda wake kufukuzia mambo yake?

These ``ignorant of the world around them´´ would like to share👇🏿 with you;


AMEN🙏🏿.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…