Enzi na Enzi
JF-Expert Member
- May 29, 2020
- 888
- 821
" GENTAMYCINE Sisi wana CCM hapa Kigamboni tulikwazika sana hasa na Kitendo cha Mtu ambaye Kwanza hakai nasi huku Kigamboni kuja Kugombea na tena Kilichotuuma zaidi ni Yeye kuja huku wakati akijua kabisa kuwa Kipenzi chetu wana CCM Kigamboni Daktari Faustine Ndugulile yupo, ametufanyia makubwa na hakuna Kosa lolote alilotufanyia. Jana tumetoa Meseji kwa walio huko Juu, " wamesema wana CCM Kigamboni.
" GENTAMYCINE kuna Tetesi tumeanza Kuzisikia tu kuanzia jana Usiku baada ya Matokeo kuwa kuna Mtu atalazimishwa ndiyo agombee kwakuwa tu anapendwa na sijui ili Kumlinda asije akaharibu zaidi. Sasa tunakutuma ukawaambie kuwa wakimpitisha tu huyo Mtu Wao wana CCM Kigamboni tutampigia Kura Mgombea wa Upinzani au Kumtaka Dokta Ndugulile ahamie huko tumpigie, " wamesema wana CCM Kigamboni.
" GENTAMYCINE hivi Mtu amepitwa kwa Kura 68 leo hii utalazimishaje ndiyo aje kuwa Mgombea Wetu? Kwahiyo wanataka kusema kuwa hao wana CCM 68 hawana Akili au hawaujui Umuhimu wa Mbunge wetu Kipenzi na aliyemaliza muda wake Dokta Faustine Ndugulile? Tunamuomba kwa Heshima na Taadhima kabisa huyo mwenye Chuki zake na Dokta Ndugulile ayamalize nae ili CCM Kigamboni isonge na akilazimisha tu yale yaliyotokea Kawe 2015 yatahamia huku, " wamesema wana CCM Kigamboni.
" GENTAMYCINE mwisho kabisa tunakutuma ukawaambie hao wana CCM wako Makao Makuu huko Dodoma ukienda kwamba tuna hadi Namba za Simu kama Ushahidi za Watu waliokuwa wakitumiwa Kugawa Pesa kwa Wajumbe wakiutaka watualike katika Kikao chao tuwape. Dokta Ndugulile anatutosha sana Kigamboni na ni Mzawa halisia sasa walazimishe wauone Moto wetu wana CCM Kigamboni, " wamesema wana CCM Kigamboni.
Baada ya GENTAMYCINE kutoka zangu Kigamboni sasa naelekea Jimboni Kawe ili Kamati ile ile ya Roho Mbaya Leo pia imlime Mla Kondoo nae.
Mtakuwa mmefurahia kupitishwa kwa ndugulile aliyetaka tufe kwa covid-19 ili nyie chadema mpate pakusemea.
Makonda kiboko yenu ndiye anayerudi.